Search results

  1. N

    Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  2. N

    Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni? Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake? Mabosi wake hapo Utopoloni...
  3. N

    Kwako Magori: Tunahitaji kiungo mkabaji na namba 9 na beki 2/3 siyo kiungo mashambuliaji

    Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa? Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya...
  4. N

    Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    Dah, hizi fununu za kishingo zinanikera sana, huyu na Zoran walikimbia majukumu wakijua makundi ni shughuli nzito. Kishingo kafika makundi kakimbia, Zoran angekuwepo hata makundi Simba isingefika. Hata kama uamuzi wa kuleta kocha ni wa wote kwenye bodi, ila CEO ndiye atabeba lawama au pongezi...
  5. N

    Draw ya Yanga Shirikisho kufanyika Cairo keshokutwa Jumanne

    Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo. Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde...
  6. N

    Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  7. N

    NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

    Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2. Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
  8. N

    IFFHS: Simba Queens ya Tisa kwa Ubora Afrika

    HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
  9. N

    Unachelewa kwenda Sudan halafu unatumia ndege ya abiria, ikibadili ratiba je?

    Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee! Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani...
  10. N

    Yadaiwa CEO alimpa makavu Kanjanja huko Angola akakataa mahojiano

    Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi. Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick yake una bifu nayo akuchekee tu kama ndalakyuya, wenye akili walijua hukuwa pale kwa nia nzuri. Kama...
  11. N

    AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  12. N

    Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

    Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
  13. N

    Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

    Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini. Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma hasira yake kuna mambo anataka alazimishe Simba wafanye ku share mipango yao na Yanga, au kwa...
  14. N

    Novemba 21: Matola kasome kozi ya CAF A Diploma, usikimbie

    Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee. Uongozi wa Simba pangeni ratiba kabisa huyu jamaa apewe nafasi akapate cheti hicho, ikibidi hata yule Sebastian Nkoma naye aende...
  15. N

    Yanga yatanguliza mashushu Sudan, mmoja kati ya walioenda ni Mwakalebela

    Yanga SC ni timu kubwa sana wakati timu nyingine hubabaika sana na kutanguliza mashushushu wiki 2 kabla wao wanapeleka baada ya mechi ya kwanza, huo ndiyo ukubwa wa timu inayojiamini. Yaani kiwango cha Mamelodi, Raja, Wydad. Sasa zikiwa zimebaki siku 5 ndipo Yanga wamepeleka mashushushu wawili...
  16. N

    BREAKING NEWS: Enock Mwepu wa Brighton na Zambia hatacheza tena soka, kakutwa na Ugonjwa wa Moyo

    Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah! ======= BREAKING NEWS DARK DAY FOR ZAMBIA Shattered dreams, Sorry Computer Enock Mwepu has been forced to...
  17. N

    'Aliyetaka kuuza mechi ya Simba vs Zamalek 2003 bado ana kinyongo. Tarehe 23 kuweni makini nae'

    Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez. Lengo lao kubwa ni yule dada aondoke, sasa anaondokaje ni kumuabisha kwa matokeo haswa mechi vs utopolo, sasa angalia...
  18. N

    Haji Manara ampinga bosi wake Ali Kamwe, ni dharau kwa wana Yanga

    Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao. Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa...
  19. N

    Huko CAF Simba ya 14, De Agosto 28, Namungo 56, Utopolo 75

    Ohoo walifungwa na Namungo hawa? Kwaiyo nini? unawachukulia Namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa, Simba ni ya 14 ikiwa na pointi 28, De Agosto ni ya 28 ikiwa na pointi 10, Namungo ni ya 56 ikiwa na pointi 2, Utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5. Kuweni na heshima, wapuuzi...
  20. N

    Al Ahly mdomoni mwa wachambuzi wa bongo, watakaangwa kwa kosa hili kama la Simba

    Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi...
Back
Top Bottom