Search results

  1. Mwana Mpotevu

    Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Kwanza tafuta watu wazima walio karibu na mzazi mwenzio na hasa wale wanaojua kuwa mlikuwa katika mahusiano. Jatibuni kuyaongea kwa busara zao inawezekana akawasikiliza na akabadilika. Ikishindikana basi fuata tu utaratibu huo wa kwenda ustawi wa jamii kama Mobeto. Lakini usiwe mkali (harsh)...
  2. Mwana Mpotevu

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Rais John Pombe Magufuli amemteua Dr. Slaa kuwa Balozi muda huu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Novemba, 2017 amemteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi. Dr Willibrod Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika. Dk Slaa azungumza na...
  3. Mwana Mpotevu

    TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Mamlaka ya mapato Tanzania inadaiwa kuifungia Radio Free Africa ya Mwanza inayomilikiwa na Antony Dialo kutokana na kudaiwa kodi kubwa. Ofisi za Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star Tv, Radio Free Africa (RFA) na Kiss FM zimefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
  4. Mwana Mpotevu

    Foleni kubwa Kitonga baada ya Lori kufunga njia

    Ajali imetokea Kitonga Lori la miti/milingoti limeanguka na kuziba bbarabara. Juhudi za kulitoa zinaendelea. Nitaweka picha soon
  5. Mwana Mpotevu

    Rais Magufuli aridhia Jaji Mwendwa Judith Malecela kujiuzulu

    Hiyo ndio taarifa kamili iliyotoka Ikulu. Unataka ukamilifu upi zaidi?
  6. Mwana Mpotevu

    Rais Magufuli aridhia Jaji Mwendwa Judith Malecela kujiuzulu

    Rais Magufuli amekubali kujiuzulu kwa Jaji mwingine leo hii Jumanne 20 Juni. Jaji Mwendwa Judith Malecela amekubaliwa kujiuzulu kuanzia leo. Sababu haijasemwa na Ikulu katika taarifa yake leo hii. ====== IKULU, DAR: Rais Magufuli, ameridhia ombi la Jaji wa Mahakama Kuu Mwendwa Judith Malecela...
  7. Mwana Mpotevu

    Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

    D k 48 kipindi cha kwanza????????? Haipo hiyo kitu. Kipindi mwisho dakika 45 tu
  8. Mwana Mpotevu

    Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Dr Mkumbo na Dr Semakafu! Sasa wamejidhihirisha sura zao halisi zilikuwa ni zipi tangu ndani ya upinzani (kwa Dr Kilila) na kwenye Bunge la Katiba na taasisi yake ya Ulingo (kwa Dr Semakafu). Asante JPM kutuonyesha ukweli wa upande halisi wa shilingi kwa wasomi hawa wawili.
  9. Mwana Mpotevu

    Shy-Rose Bhanji aendelea kububujikwa machozi dhidi ya maamuzi ya Magufuli

    Aaache kulialia. Hajazaliwa kuwa mbunge maisha yake yote. Apanguse mchanga ili aendelee na safari akatafute kitu kingine cha kufanya. Maisha hayajasimama yapo tu na inabidi yaendelee kuwapo.
  10. Mwana Mpotevu

    Waziri Mkuu apokea ripoti ya Kifo cha Faru John. Ni kweli Faru John alikufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA KIFO CHA FARU JOHN *Ni ya uchunguzi uliofanywa na Mkemia Mkuu wa Serikali WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa rasmi ya uchunguzi wa kifo cha Faru John kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, Prof. Samwel Manyele ambaye...
  11. Mwana Mpotevu

    Kumekucha: Wakili msomi Peter Kibatala na Tundu Lissu kumtetea Ney wa Mitego mahakamani

    Unaweza ukarudi hapa tena ukayarudia haya maneno yako? Maana Bosi mkuu kawatoeni nishai wote mliokuwa mnamsagia nazi Ney na skumbe hata Rais anaupenda wimbo huo.
  12. Mwana Mpotevu

    Zitto Kabwe: Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge

    Yes mkuu, ndivyo katiba yetu inavyosema. Bunge likivunjwa unaitishwa uchaguzi mkuu mpya wa Rais na Wabunge.
  13. Mwana Mpotevu

    Zitto Kabwe: Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge

    Lakini akivunja bunge ni kwamba lazima nae anaachia madaraka na uchaguzi unakuwa ni wa Rais na Wabunge. Je, ana uhakika yeye wa kurudi madarakani ukiitishwa uchaguzi mpya leo?
  14. Mwana Mpotevu

    Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Kazi imemalizika zamani watu wanakunywa mvinyo kwa furaha zoteeee
  15. Mwana Mpotevu

    Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Duh Nimemmis Angela Kairuki hahahah
  16. Mwana Mpotevu

    Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha utafukuzwa uanachama kwa usaliti
  17. Mwana Mpotevu

    Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Anderletch ya Ubelgiji vs Manchester United
Back
Top Bottom