Kamati ya maadili haina maana tena. Ili inafanya kama Mahakama na mahakamani mtuhumiwa anaweza shinda au kushindwa.
Sasa sijawahi kuona mtu anaitwa halafu anashinda, sasa ile ni kamati ya maadili kweli au ni rubber stamp tu ya Ndugai?
Moyo Wenye Huruma
Ni dawa Kwa Wenye Machozi,
kila aonaye Thamani Ya mwenzake
Hupata thawabu ktk ufalme wa Mungu,
Najua Si rahisi Kuishi Bila Kikwazo Ktk Maisha
Napenda kukuomba radh kwa lolote nililo wahi kukukosea au kukuudhi maana naelekea ktk mwezi mtukufu wa ramadhani, kama huna kinyongo...
Kipindi cha jk sikuwahi kusikia majigambo mengi sana na sidhani kama hiki cheo cha msemaji mkuu wa serikali kilikuwepo kama kilikuwepo basi very strategic na scienrific siyo hili lijamaa la leo.
Yaani hata wakizindua choo lazima wasema tumetekeleza. Sijawahi kuona serikali ya ajabu kama hii...
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii...
#Rwanda
Paul Kagame, on Radio Rwanda: "If our country ranks first in Africa, and the whole world is watching us today, it is not because we have the Vatican, the Kabba, the White House, the Elysee or the Taj Mahal here at home.
No more because you have a certain Paul Kagame as Head of State...
Somo kidogo:
Kwenye uchumi matamko na hata vifo wakati mwengine huweza kuchangamsha bei, haswa bei za fedha za kigeni au bei za hisa. Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na @BarrickGold lililenga kupoza bei ya Dola. Lakini soko limegoma na leo dola imefungua na shs 2415 ⬆️.
Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.