Search results

  1. wankuru nyankuru

    Hivi CCM inashindana na chama gani kama upinzani upo haupo vile

    Sioni kama ni vyema CCM kuendelea kutumia nguvu nyingi kujitamba na kujigamba majukwaani kwani Hadi Sasa sioni chama Cha kushindana na CCM. Upinzani wenyewe ni kama upo haupo, chadema nao ni kama wapo hawapo, ict wanaojiita wazalendo nao ni kama hawapo vile. Kwa kurahisisha ni kwamba upinzani...
  2. wankuru nyankuru

    Muda mwafaka wa waheshimiwa kujipitisha pitisha ili kujionesha kwa wananchi

    Sasa ndio muda mwafaka Kwa waheshimiwa kujionesha mbele ya jamii kuwa wako karibu na wananchi hasa tunapoelekea kwenye kipindi Cha uchaguzi. Baadhi ya matukio yanayoweza kuambatana na kujipitisha ni pamoja na: 1. Kutoa misaada Kwa makundi maalum 2. Kuhudhuria matukio ya kiserikali. 3...
  3. wankuru nyankuru

    Tetesi: Mongella kupewa ubunge wa kuteuliwa Kisha kwenda kugombea ubunge Jiji la Arusha

    Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji. Lakini utabiri unaonesha kwamba...
  4. wankuru nyankuru

    Mongella kuwa katibu mkuu CCM taifa na Makalla kuwa mwenezi wa CCM taifa

    Kufuatia pangua pangua iliyofanywa usiku huu, uwezekano upo wa mabadiliko kwenye nafasi ya katibu mkuu wa CCM taifa ambapo John Mongella aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha anaweza kupewa nafasi hiyo na nafasi ya ukatibu mwenezi taifa kuchukuliwa na Amos makalla. Takwimu zinaonesha hao ndio Kwa...
  5. wankuru nyankuru

    Rais Samia mteue Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi Lakini pia wananchi wengi wametokea kumpenda Ole Sabaya kutokana na matendo na kazi nzuri aliyoifanya...
  6. wankuru nyankuru

    Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    Jana kulikuwa na Sherehe ktk eneo la club D Jijini Arusha ,nikiwa ukumbini Ile natoka Sasa kwenda nyumbani nikakuta gari imegongwa na huyo mtu akawa ameondoka, kuuliza walinzi nao wanajidai Kila mtu hajui aliyegonga. Sasa Kwa sababu amekimbia bila ya kuwa na utu, mm natoa siku tatu ajitoke...
  7. wankuru nyankuru

    Matokeo ya sensa: Karatu DC uwiano wa wanawake kwa wanaume (sex ratio ) 100/107

    Takwimu za sensa zinaonesha Karatu ndio halmashauri yenye uwiano mkubwa wa wanawake dhidi ya wanaume kuliko kwingineko. Yaani wanaume ni wengi kuliko wanawake. Sex ratio= kati ya wanawake 100 Kuna wanaume 107. Shida nini huko Karatu?
  8. wankuru nyankuru

    Godbless Lema tunaomba uhamie CCM kwa sababu Arusha inahitaji mtu mwenye akili nyingi kama zako

    Kuna uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini. Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee , viongozi na hata vijana wanasema Lema ana akili nyingi sanaa na akipewa nafasi hiyo ataipeleka Arusha...
  9. wankuru nyankuru

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wengi wao wanapoenda maofisini kufanya field work huishia kuwa waosha vyombo vya chai asubuhi na muda wa saa Saba mchana

    Kulingana na tafiti simple case study niliyofanya kwenye ofisi Kwa kuchukua sample ya ofisi 5 Kwa kutumia njia ya kutazama ( observation study) Kwa muda wa wiki Moja Kwa miezi 2 tofauti nimebaini kuwa wanafunzi wengi wanaojitolea kwenye ofisi za watu mbalimbali huishia mara nyingi kufanya kazi...
  10. wankuru nyankuru

    Makonda hatambui na hajui majukumu aliyopewa na wakubwa wake mpaka akapangiwe na mamlaka nyingine ni dharau Kwa mamlaka ya uteuzi

    Nimeona kwenye chombo kimoja habari inayohusu maneno ya Paul Makonda ikiwa ni mfululizo wa kauli zake baada ya kuteuliwa kwenye nafasi yake mpya hivi karibuni. Habari hiyo inasema ataomba ruhusa ya kuonana na wabunge ili wamwambie wanataka awe mwenezi wa namna gani. Amesema atamuomba...
  11. wankuru nyankuru

    Kuna watu wanasema tuliombee taifa la Israel mm hata siwaelewi

    Wapendwa napenda tena kuwaita toka ndani ya moyo wangu, mje msimame na taifa la Israeli wakati huu, nina mengi sana ya kusema juu ya taifa la Israeli, watu wake, na jiji la Jerusalem, Si kwamba nimepewa mzigo tu wa kusimama kwa ajili ya taifa la Israeli, lakini nina connection na bond...
  12. wankuru nyankuru

    Waliokuwa wakisema mkataba wa DP World uko sawa kwa sasa wana maoni gani baada ya mkataba kurekebishwa?

    Takribani miezi michache iliyopita baadhi ya wachumia tumbo bila ya kusikiliza maoni ya wananchi walikuwa wa kwanza kusema kuwa mkataba wa DP world uko safi na kuutangaza Kwa gharama yoyote Ile ili watu waamini kuwa ulikuwa safi Kwa maslahi ya taifa. Jana umesainiwa mkataba uliofanyiwa...
  13. wankuru nyankuru

    Kwanini Kwa asilimia kubwa nchi za kiarabu na Asia ndio zinazokumbwa na matetemeko ya ardhi na mafuriko?

    Nimefanya utafiti simple tu Kwa kuchukua idadi ya majanga ya kidunia yaani matetemeko ya ardhi na mafuriko yaliyokwisha tokea tangu 2000-2023. Nimegundua Kwa kiwango kikubwa majanga hayo yanazikumba nchi za kiarabu mfano uturuki, Libya, Morocco n.k na nchi nyingi zenye asili ya watu wa Asia...
  14. wankuru nyankuru

    DOKEZO Kuwepo kwa changamoto ya maji Mtaa wa Losirway jijini Arusha kunaweza pelekea mlipuko wa kipindupindu

    Takribani mwezi Sasa wananchi wa Mtaa wa Losirway uliopo Kata ya Moshono Jijini Arusha hawajapata maji. Hali hii imepelekea kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka wa wananchi wa Mtaa huo. Pamoja na malalamiko hayo, hakuna anayejali kilio hicho iwe Menejiment ya AUWSA au Mkuu wa Wilaya ya Arusha...
  15. wankuru nyankuru

    Rais Samia ingilia kati changamoto ya maji na umeme Kata ya Moshono Jijini Arusha, unahujumiwa na watumishi wako

    Kumekuwepo na changamoto ya kukatika kwa umeme kwa takribani siku nzima katika Kata ya Moshono iliyopo jijini Arusha Kwa takribani mwezi mzima Sasa. Sambamba na changamoto hiyo, kumekuwepo pia Kwa changamoto ya maji kwenye kaya za watu kwa takribani wiki ya pili Sasa. Pamoja na changamoto...
  16. wankuru nyankuru

    Je baada ya rais kustafu ataandika kitabu Cha kujutia kusaini mkataba wa DP Dunia?

    Kumekuwepo na maneno ya hapa na pale kutoka Kwa wananchi wakijiuliza maswali mengi kuhusu mkataba wa DP world kwamba baada ya rais kustafu je nae ataandika kitabu Cha historia yake na kujutia kusaini mkataba huo? Licha ya tahadhari zote kutolewa juu ya mkataba unaodhaniwa kuwa ni mbovu...
  17. wankuru nyankuru

    Wabunge waanza kwenda kutubu Vatican, Siasa na Dini ni ngumu kuvitenganisha

    Mbunge Neema Lugangira wa CCM kutoka mkoa wa Kagera amesafiri hadi Vatican Kupata Baraka za Baba Mtakatifu Papa Francisco mwenyewe Mh Neema amefanikiwa kufika nyumbani kwa Papa Francisco na kupokea Mkono wa Baraka Mh Neema Lugangira amemshukuru Mungu wa mbinguni kwa Baraka hizi baada ya...
  18. wankuru nyankuru

    Wafanyabiashara hukwepa kulipa Kodi kwa kuwapa wateja Customer bill huku wateja wakiamini tayari Kodi imekatwa

    TRA fuatilieni Kwa umakini kwenye restaurant kubwa nchini ambazo Kwa siku zinaingiza wateja zaidi ya 200 nyingi ziko Jijini Dodoma, Mwanza, Mbeya, DSM na Arusha. Wafanyabiashara hao wamekuwa wakiwapa wateja wao customer bill baada ya kupata huduma. Kwa haraka mteja anazani ndio Kodi tayari...
  19. wankuru nyankuru

    Viongozi wa dini waumini wakishindwa toa sadaka na zaka msiwalaumu

    Mimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa kupitia sadaka za waumini yaani waumini wakisema wasitoe sadaka ndani ya miezi 3 tu hali ya viongozi...
Back
Top Bottom