Search results

  1. safuher

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    Huko ulaya ndio msbingwa wa machafu na uhuru wa kuutumia mwili mtu atakavyo. Kwa nini wanamsokota sana huyu jamaa wakatii wao ndio wapiga debe wa haya mambo machafu ya kutafunana ?
  2. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Haya ni madai hewa tu ambayo hayaathiri chochote kwangu. Kama wewe kazi yako ni kusapoti kila waisilamu wanachofanya mpaka wakifanya ushoga unasapoti sawa. Kama wewe unasapoti kila wanachofanya waisilamu mpaka wakilawiti watoto katika madrasa sawa. Kama wewe kazi yako ni kusapoti kila...
  3. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Haya ngoja tuone nani ni mvivu,ni bora niwe mvivu wa kusoma kuliko kuwa mvivu wa kuelewa. Sijaona,huwenda lipo kama unavyoashiria ila mimi sijaona kwa kweli,kama wewe unalo andiko ambalo ni khaaswa. limekuja kukemea jambo hilo utuwekee. Usije ukanijia na andiko ambalo ni la ujumla (aaamu) kwa...
  4. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Ameen na wewe pia. Tuzidi kufuatilia zaidi undani wa jambo hili
  5. safuher

    Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

    Kitambo sana nilikuwa sikubaliani na watu wanaoniambia eti nisile chumvi nyingi,nilihisi mbona chumvi ni amazing tu na haina shida ? Eti wanasema chumvi inaweza kuleta pressure ila mimi sikubali bado naendelea kupigs chumvi kama kawaida.
  6. safuher

    Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

    Huduma hizi ni bora ujiunge peke yako au ujiunge na watu ambao upo tayari kuwalipia endapo hawalipi..
  7. safuher

    Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

    Nimeachana na mambo ya mafuta,sipaki mafuta na wala situmii sabuni. Nadhani haya maproduct ndo yanaharibu ngozi zetu.
  8. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Naam ngoja nikusome zaidi nione wapi nimechanganya mambo. naam haswaa. Naam naam hakika. Naam hakika ndugu yangu ndivyo ilivyo. Hapa ndipo shida inapoanzia,na nitakujibu katika nyanja mbili. 1.KiDINI : unapokuwa umefunga alafu mtu akala unamuona basi ELEWA kwamba mtu huyo hakunyimi uhuru wa...
  9. safuher

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Mkuu nina mke na watoto
  10. safuher

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Kuna tofauti ya imani na ujinga. Hata waisilamu magaidi wanaojiripua wale hutuona sisi wenzao ambao hatujiripui kwamba tuna imani dhaifu,rejea mawaidha ya aboud rogo namna anavyotunanga waiisilamu ambao hatujiripui. Hivyo huwenda ukadhani ni imani kumbe ni ujinga
  11. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Kuwepo kwa sheria hizo hakunizuii mimi kusema kuhusiana na taratibu za kiiisilsmu
  12. safuher

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Qurani imefaradhisha jambo hilo kwa waumini yaani waisilamu walioiamini dini,na wala Qurani haijamtenza nguvu mtu mwingine kwamba ni lazima asile na hata hadharani. Qurani iliyokuamrisha kufunga wewe muisilamu wapi Qurani hiyo imemkataza asiye muisilamu kula hadharani,aya ipi ? Ndio Maana...
  13. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Hii ndio mpya naiisikia leo kuhusu mimi 😂😂,kuna file langu unalo ambalo mimi silijui hongera sana. Jambo la msingi ni kujibu hoja yangu na sio kuanza kunipakazia vitu ambavyo havina ushahidi wowote.
  14. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Ni kweli na ndio maana hata mimi sijawapangia nini wafanye,au nimewapangia wapi ? Sasa kitendo cha wao kuingiza pombe hakituzuii sisi kusema pombe haifai katika uisilamu. Wao acha waingize pombe ila na sisi tutaendelea kuhubiri kwamba uisilamu umekataza pombe. Wao acha waendelee kuzuia watu...
  15. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Tofautisha kati ya kitendo ambacho ni halali kukifanya iwe sirini ama hadharani kama kula chakula,kunywa maji,kufua n.k Na kuna vitendo ambavyo ni halali sirini lakini hadharani havifai kama vile kuvaa kichupi kama unavyosema. Kula ni kitendo cha halali iwe hadharani ama sirini.
  16. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Dini Kuwa kwao kwamba majority ni waiisilamu hakuondoi uhalisia wa kwamba bandiko langu linahusu dini(usilamu)
  17. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Mimi nazungumzia uisilamu sijazungumzia nchi husika. Makusudio yangu ni kufikisha ujumbe kwamba sijaona andiko katika UISILAMU(sio katiba ya watu fulani)
  18. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Andiko langu liko wazi kwamba sijaona katika maandiko ya kiisilamu katazo la kula mbele ya aliyefunga na kwmaba eti kitendo hicho ni dhambi,sijaona katazo hilo. Mbona wewe unaitaja zanzibar wakati andiko langu nimetaja uisilamu mkuu. Ni vizuri tukawa tunaelewa makusudio ya maandiko,sio vizuri...
  19. safuher

    Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Andiko langu linahusu uisilamu na sio nchi fulani. Ujumbe wangu ni kuwa sijaona katazo la uisilamu wenyewe likisema kwamba ni dhambi kula mbele ya mtu aliyefunga. Elewa ninaposema uisilamu,sijataja nchi. Kama kuna Nchi inakataza ijue tu keamba inakataza kwa utashi wake na sio sheria ya Dini...
Back
Top Bottom