Search results

  1. D

    Foleni Maili 35 barabara ya Morogoro

    Kuna lori la mafuta limedondoka misugusugu na limemwaga mafuta hicho ndiyo chanzo cha foleni
  2. D

    Mabasi kuungwa chassis

    Mambo vipi wakuu? Nakumbuka kuna kipindi fulani miaka ya zamani kidogo serikali ilizuia buses zilizoungwa chassis zisioperate maana sio salama na ni kweli sio salama kabisa, ila sikuhizi kuna mtindo wa kuunga chassis na kuongeza tag axle kwenye bus kibao tu lakin kama imepotezewa vile...
  3. D

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Hiyo hadi mkononi ni kama 50m
  4. D

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Hapana coaster saizi ni kuanzia milioni 70
  5. D

    Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

    Hakuna gx100, gx100 zote zina 1g-fe na zenye 1jz na 2jz ni jzx100 tena hiyo ya kwako sio kabisa maana zenye 1jz ni roulant edition ndo zina 1jz gte na hazipo hivyo kama hii yako, so yako inawezekana ni 1jz ge ni jzx100 ila non turbo #HomeGarageTz
  6. D

    Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

    mwanangu kuna sf5 sti type 2M iyo ngoma ni ya mwaka 2000 adi subaru wanadeclare it was the best forester ever made
  7. D

    Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    we jamaa[emoji35] JF mmezidi uongo sasa khaah....et at least engine ya 6km/l iv uko serious wewe......kwa uzoefu wangu katika magari gari ya 6km/l inaohopeka sana coz fuel consumption inaonekana juu asa we umekosa vya kutudanganya ndo utuambie kuwa una 2.5km/l kadanganye watoto wa vidudu uko
  8. D

    Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

    subaru sio babywalker Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

    ni ugeni wa gari Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Najuta kwanini niliuza gari yangu

    this killed me Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    hilo nalo neno man[emoji108] Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  12. D

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    hapo tatizo lipo kwenye charging system cheki alternator yako pamoja na VR kama ni vizima Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  13. D

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    ishu ni pulley au rollers tu apo Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  14. D

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    Njoo kwangu tutarekebisha Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom