Search results

  1. jacjaz

    Mwanamziki anayefaa!

    Amani iwe nawe msomaji. Ikitokea kwamba maisha yako yanafikia ukingoni na ni lazima mpenzi,mke au mume uliyenae arithiwe na mwanamziki mmoja nje au ndani ya nchi,ungemchagua nani?! Siku ya msiba wako wimbo upi wa mwanamziki huyo mume,mke au mpenzi wako ungependa asikie au upigwe?! Nawasilisha
  2. jacjaz

    Mtangazaji wa Zamadani-TBC

    Amani iwe nanyi wanajamii! Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa kifupi hafurahishi kama alivyadhamiria! Ni mtazamo tu
  3. jacjaz

    Mtazamo wa Maradona

    Hivi Braza Maradona mzima kiakili au anaigiza kuwa bado kadata kimtindo?! Anasema Morinho anaweza kugeuza coin kuwa rose lakini yeye bado hampendi kama kocha...!
  4. jacjaz

    Mabadiliko..

    Hivi ni kwanini wengi wetu tunabadilika baada ya ndoa hata kama uchumba ulidumu muda mrefu kiasi cha kutosha kujuana vyema!? mfano; mtu ulimjua kuwa ni mcheshi,muongeaji mzuri tu,mshauri wa ukweli na anakwenda na wakati,ila baada ya ndoa anakuwa mpole,mwenye aibu zaidi na anayekubali kila kitu...
  5. jacjaz

    Chonde chonde JF....!

    Amani iwe nanyi nyoote! Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na kukandia mada ya mwenzake analeta yake ya kijinga zaidi,mfano mtu anadai anamatatizo na haucgeli wake au mchumba...
Back
Top Bottom