Search results

  1. M

    Je, " kukanyagana" kwa waziri Lukuvi na mkurugenzi wa TIC mr Mwambe mbele ya Rais Magufuli kunatoa tafsiri gani?

    Wizara ya Ardhi inadai pango la ardhi kutoka kwa wawekezaji ambao wapo chini ya TIC. Mwekezaji analipa Facilitation Fee ambayo ni 10% ya pango ya ardhi kwa TIC kwakuwa TIC ni wakala wa ardhi. Shida ni pale mwekezaji analipa hiyo 10% TIC bila kulipa pango la Ardhi kwa Wizara.
  2. M

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Shame! Tumezoa kuona kazi ya kuandika mabaya tu ikifanywa na vyombo vya habari vya magharibi, siku hizi kwa sababu ya njaa inafanywa na baadhi ya Watanzania wenyewe!
  3. M

    CCM ilivyomdhalilisha Marehemu Reginald Mengi

    Ukisoma kitabu chake Dr. Mengi kiitwacho I CAN, I MUST, I WILL hasa Chapter ya Pili ndipo utagundua umeandika uharo. Nenda kakisome utajua kwanini kilizinduliwa na JPM.
  4. M

    Mnyika awaweka 'kikaangoni' Rais Magufuli, Spika Ndugai kuhusu Ripoti ya CAG

    Sher ia inasema Rais asipowasilisha kwa muda tajwa basi CAG atalazimika kuiwasilisha taarifa hiyo kwa Spika au Naibu Spika. Kwahiyo, wananchi hatuna ulazima wa kumlazimisha Rais kuwasilisha taarifa hiyo Bungeni. CAG mwenyewe atapeleka muda ukipita wa Rais kufanya hivyo. Mh. Rais endelea kujenga...
  5. M

    Siasa ya nchi yetu ni ipi?

    Siasa ya TANU ni Ujamaa ambayo ilijenga imani ya wana TANU. Naamini CCM nayo iliamua kuitumia na kuisimamia hadi sasa. Baba wa Taifa alitangaza siasa ya KUJITEGEMEA kuwa ya taifa (rejea Azimio la Arusha 1967). Enzi za Chama kushika hatamu tukaunganisha siasa ya taifa letu kuwa SIASA YA...
  6. M

    Tukimchukia Dudubaya, tuwe na uthubutu pia wa kumchukia Cyprian Musiba

    Walio hai wana nafasi ya kukanusha, hao uliowataja wapo hai wakanushe au waende mahakamani kama alivyofanya Mh. Membe Vs Musiba. Vipi kuhusu Ruge, lini atapata nafasi kukanusha ya Dudubaya?
Back
Top Bottom