Search results

  1. ARV

    Vodacom hii sio halali, ni kama wizi

    Kuweni makini wateja wa vodacom, ukinunua bundle la internet unapewa la night bundle tu (la kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 11 alfajiri). Leo nimenunua bundle la 5,000 mara ya kwanza nikapewa la night, nikadhani nimekosea nikanunua tena la 5,000 nikapenda bundle la night, nikawa makini zaidi...
  2. ARV

    Tutamsaidiaje huyu binti? Nimehuzunika sana leo

    Jana nilikuwa katika bar moja maeneo ya Tabata, nikashuhudia binti mhudumu wa bar hii akitendewa unyama na mmiliki wa bar. Amempiga makofi, ngumi na mateke..kufuatilia kwa karibu tukagundua alisahau kutoa chupa kwenye meza ya wateja waliomaliza kunywa na kuondoka (tukaambiwa sheria ya bar hii...
  3. ARV

    Tahadhari namba hii +255743539329

    Namba +255743539329 imenipigia na kujifanya kunipa hongera eti nimeshinda bonus ya Mpesa, wanasema niwatajie kiasi kilichopo kwenye account yangu ya mpesa, nikacheka nikawaambia kwa nini mmetumia namba binafsi? Wakakata simu haraka na sasa hawapatikani tena. TCRA naomba niwasilishe malalamiko...
  4. ARV

    Msaada: Activation not completed

    Habari wadau. Naomba msaada kwa anayejua kuondoa hii kitu. Ni Samsung S7 mpya. Toka last week imegoma kabisa nimefanya factory resert lakini inagoma na inaweka notification kwenye screen juu kushoto. MSAADA PLEASE.
  5. ARV

    Natafuta shamba Chanika

    Natafuta shamba ukubwa kama heka 1, maeneo ya Chanika au popote karibu na DSM. Muuzaji awe na documents muhimu zinazoonesha umiliki wake. Lisiwe zaidi ya km 1 kutoka main road (barabara ya kutokea Airport)
  6. ARV

    Nyumba inapangishwa

    Ipo Mwanza. Room 3 mbili zina choo ndani, room moja master na makabati ya nguo ya ukutani, sebule,jiko,stoo,fenced,24hrs water supply. carparking area. 150mts from main road. 0755923565
  7. ARV

    Msaada; Kudownload video kutoka facebook

    Wakuu kuna video nyingi nzuri nawekewa na jamaa zangu kwenye facebook. Nataka nizidownload lakini sioni hiyo option. Naona tu option ya ku-share. Msaada jamani anayejua nafanyaje hapa.
  8. ARV

    Ndege zote zinazotua uwanja wa ndege wa Mwanza zimezuiwa leo

    Umeme wa TANESCO umekatika, Generator ya Mwanza Airport mbovu. Ndege zote zinazotua kuanzia saa moja usiku zimefutwa. Hii nchi ngumu kuishi. ===============
  9. ARV

    Wrestling is Fake, Ni maigizo

    Nimebishana na jamaa yangu jana mpaka tukafikia kugombana anang'ang'ania huu mchezo ni wa kweli 100%, amenifanya usiku huu nikeshe nikifuatilia huu mchezo kwenye net na moja kati ya evidence nyingi nitakazompelekea leo ni hii nilioambatanisha hapa chini, na wewe unaamini hii kitu ni Real...
  10. ARV

    hellow

    hey please naomba mnisaidie kuaply chuo kunaanza lin jaman na mkopo pia
  11. ARV

    Msaada;kuzuia sms za minara kwenye tecno n3

    Kwa anaejua jinsi ya kuzuia msg za mnara wa simu,kila baada ya dakika kumi zinaingia si chini ya msg tatu kutoka vodacom. Napata shida kila wakati ni kudelete tu msg, Natumia TECNO N3. Help please...
  12. ARV

    Msaada wa internet-ideos

    Wakuu naomba msaada, nina kasim Ideos lakini kana maandishi with googleTM, android version 2.3.7, ni touch screen. Sasa nimeweka line ya voda na nikajaribu kuunga internet kwa kutuma neno internet kwenda no.15300 lakini inagoma, je hii ni mpaka niende vodashop ndio waniungie? Tafadhali msaada.
  13. ARV

    Voda watoa ofa mpya - super cheka

    TSHS 100/= SMS 10 TSHS 200/= DAKIKA 10 + SMS 25 + MB 10 TSHS 300/= DAKIKA 20 + SMS50 + MB 15 TSHS 400/= DAKIKA 30 + SMS 100 + MB 50 TSHS 1000/= DAKIKA 50 + SMS 25 TSHS 2000/= DAKIKA 100 siku 2. TSHS 5000/= DAKIKA 300 siku 5. KUPATA OFA HIZI PIGA *149*01 Nimeamini voda wako poa wanatoa...
  14. ARV

    Kamchezo kazuuuuri ka simu.

    Kuna kimchezo nacheza hapa kinanifurahisha kweli na wewe jaribu weka CM yako VIBRATION kisha TIA kwenye MAJI alafu BEEP uone inavyo OGELEA..! Yaani hadi Raha.
  15. ARV

    Radio free na matokeo ya olympic

    Leo asubuhi wamenikera kwenye kipindi chao cha michezo, eti wametangaza mechi kati ya Great Britain vs Korea iliyopigwa jana usiku eti hakukuwa na mshindi baada ya kuisha dakika 90 wakiwa drooo na ikaongezwa dakika 30 napo hawakufungana na katika penalt napo wakatoka droo, kwa hiyo wakatangaza...
  16. ARV

    Msaada; google chrome in english

    KWA ANAYEJUA JINSI YA KUBADILI AU KUDOWNLOAD IWE KATIKA LUGHA YA KIINGEREZA, NIMEJITAHIDI KUGOOGLE NAAMBIWA HUWA INADOWNLOAD KUTOKANA NA ENEO HUSIKA, KAMA UKO UARABUNI INADOWNLOAD KIARABU, KAMA UKO CHINA ITADOWNLOAD KICHINA. MIMI HAPA NIMEDOWNLOAD IMEKUJA KISWAHILI NA MIMI NILIKUWA NATAKA YA...
  17. ARV

    Lilian Thuram fact.

    Lilian Thuram alichezea Parma ya Italy kuanzia mwaka 1996 mpaka mwaka 2001. Alicheza mechi zaidi ya 200 na kufunga goli moja tu! Tena la kujifunga!
  18. ARV

    Msaada: Window 7

    Wataalamu naomba mnisaidie hili, hapa ofisini mi natumia computer HP with window 7,shida yangu ni kupata recent documents za WORD ambazo nimezifanyia kazi karibuni, labda jana tu jioni. Sasa nikienda hapa kwenye start then Microsoft Excel kuna ka-arrow kwa mbele nikipeleka hapo cursor naziona...
  19. ARV

    MY CV attached

    Please verify my CV...pdf attached..
  20. ARV

    Msaada: Hii msg ni ya kweli...wataalam nijuzeni

    Nimetumiwa hii msg kwenye mail box yangu, mi sio mtaalam wa ma-IT, hivi ni kweli mtu anaweza kupata information zangu zote kutoka kwenye PC yangu kwa kufungua tu hilo faili? Please Be Extremely Careful especially if using internet mail such as Yahoo, Hotmail, AOL and so on. This information...
Back
Top Bottom