Search results

  1. M

    tuachane na gym! njia rahisi ya kupunguza uzito

    Aiseeee! hii imeniacha hoi... kama ni kweli basi wanaojiuza wote wangekuwa vimbaumbau maana kazi wanayofanya si haba.
  2. M

    Mimba ya mke wangu inanitesa

    Pole sana mkuu, yatakwisha tu hayo, halafu unaonekana baba mzuri unamjali mkeo
  3. M

    Naiba, nakiri ila sijutii hata kidogo

    Mh! kweli maisha ni utata mtupu.
  4. M

    “Leo hapana mpenzi…..!”

    Kuna baadhi ya wanaume wanafikiri mapenzi ni kitandani tu, wanashindwa kuwaandaa wake zao kisaikolojia kabla hata ya kufika kitandani. Haijalishi mmeishi katika ndoa kwa muda gani lakini kama upendo kwa mke upo hakutakuwa na udhuru huo. Imagine umetoka kumgombeza mkeo au umemjibu vibaya then...
  5. M

    Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!

    Ujumbe umefika, iko poa sana hasa picha zimenifanya nivutiwe zaidi kuisoma.
  6. M

    Nimemfumania mke wangu, nimechanganyikiwa! Ushauri tafadhari...

    Pole sana, ila ninajiuliza kwa nini nyie wanaume huwa mnakuwa wagumu kusamehe pindi wake zenu wanapocheat? Wewe hujawahi kucheat? Pia jaribu kuangalia sababu za mkeo kucheat.
  7. M

    Wanawake wenye sura hii hawajali na wanajua kupenda…!

    Jinsia inafanana na hao wadada uliowaweka but sura sifanani nao.Nasubiri toleo lijalo utakalotoa. Au ndo ushafika mwisho?
  8. M

    Je utafanyaje mmeo akikuletea mtoto wa nje ya ndoa?

    Kwa hiyo mumeo awe free kuleta watoto ilimradi usimjue mnaeshare dudu? Una moyo wa pekee.
  9. M

    Wanawake wenye sura hii hawajali na wanajua kupenda…!

    Siku nikiona sura na wasifu ninaofanana nao basi nitaamini ayasemayo Mtambuzi.
  10. M

    Tabia ya kushika / kuchungulia simu za waume / wake zenu muache!! Ohooooo

    Ndoa zina mengi jamani.Kukosekana kwa uaminifu ndio kunatufanya tupekue simu za wenza wetu.
  11. M

    Hatimae mke wangu kasalimu amri

    Na wajinga ndio waliwao.
  12. M

    Chupi yako unaanika wapi.................?

    Sehemu nzuri ya kuanika pichu ni kwenye kamba juani ili ikauke vizuri. Kama yupo kwenye nyumba ya kupanga nadhani haileti picha nzuri kuziacha wazi bali anaweza kuzifunika juu kwa kutumia kanga nyepesi na kuzibana vizuri na kibanio. Si vizuri nguo za ndani kuonekana ovyo ingawa ni muhimu zikauke...
  13. M

    Kila nikimkumbuka naumia roho!

    JF inaweza kuwa inasaidia kuongeza mtandao wa wapenzi wenye wapenzi walio na wapenzi wenye wapenzi. Amekusaidia kuvunja mtandao huyo na inaonekana haikuwa mpango wa Mungu.
  14. M

    Sababu za watu kusaliti katika mapenzi

    Kweli kumridhisha mtu ni kazi sana.Sometimes unaweza juta kwa nini uliingia kwenye ndoa.
  15. M

    Wanawake: Mume ghafla anaanza kukosoa chakula chako………!

    Sio siri inakera sana. Kuna wanaume wana gubu jamani.
  16. M

    Bringing up your Kid to be Appreciative...

    Mada yako nimeipenda kwa sababu imenielimisha. Ni kweli familia nyingi zenye uwezo mkubwa kifedha haziwatendei haki watoto. Mtoto mpaka anaingia form one hawezi hata kufua nguo zake za ndani, za shule ndio usiseme. Hii ni kwa sababu akiwa nyumbani vyote hivyo vinafanywa na housegirl. Hata kama...
  17. M

    Unataka kumjua anayekuibia mumeo? Mbinu hizi zitakufaa!

    Kwa hiyo nyumba ndogo moja unayo tayari? Aisee!
  18. M

    Wanawake na Simu Za Mkononi

    Ikikaa jikoni nikienda sebuleni kuandaa chakula naisahau jikoni, Wanawake tuna mambo mengi jamani, so simu huwa ya muhimu pale ninapoihitaji tu.
  19. M

    kwa wanandoa wanawake-kwa nini ujichoshe na mume?

    Umenena vyema mkuu, kweli ndoa ni safari ndefu na si lelemama .Cha ajabu ndoa nyingi za siku hizi zinavunjika hata kabla ya miaka 3 waliyopaswa kuenjoy.
  20. M

    SEX in marriage. Kipi ni kipi?

    JF kuna mambo jamani, u have made my day. Halafu shost unaweza kuwa mwandishi mzuri wa hadithi nimependa uandishi wako unaleta mvuto. Ndoa haina formula kila mtu ana namna yake ya kuishi na mwenzi wake. Mtajuana hukohuko.
Back
Top Bottom