Search results

  1. nduza

    Call forwarded on condition

    Wakuu msaada, Kwa siku ya tatu sasa kila nikipiga simu mtu akipokea tu huwa inaniletea hayo maneno hapo juu nimejaribu kuangalia kama kuna mtu anafuatilia simu yangu lakini imenionyesha kwamba not forwarded. Shida inaweza kuwa ni nini? Kuna wakati pia naweza kumpigia mtu akawa hanisikii kwa...
  2. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  3. nduza

    January Makamba must go

    Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara...
  4. nduza

    Makusanyo ya tozo: Sasa serikali inafanyia nini hizi pesa?

    Salaam wakuu, Nimejaribu kutathmini kuhusu hii tozo na wataalamu zaidi watusaidie. Nimeskia takwimu zikisema kuwa kwa siku inafanyika miamala milion kumi nchi nzima kwa mitandao yote ya simu sasa tuassume kwamba katika miamala yote hiyo miamala laki mbili tu ni ya shilingi laki moja yani...
  5. nduza

    Msaada; King'amuzi kuimenifanyia hivi leo

    Kingamuzi kimeisha leo nimewasha TV imeniandikia hivi kila nikiselect hainiletei matokeo naombeni msaada wakuu Ni dstv Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  6. nduza

    Naweza kufanya hivi kwa askari wa kibongo kweli

    Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  7. nduza

    Maswali nnayojiuliza kuhusu gesi yetu asilia ya mtwara

    -Tanzania ina gesi asilia ambayo ni nyingi sana kwanini serikali yetu iliamua kutumia mabilioni ya pesa kujenga stiglers gorge badala ya kujenga vituo vya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi? -Kama gesi ililetwa kutoka mtwara mpaka kinyerezi kwanini visijengwe vituo vingine vikubwa kuliko...
  8. nduza

    Leo katika historia

Back
Top Bottom