Search results

  1. Nenga

    Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    👆Mwongo wewe shule zetu kiingereza kilianza kufundishwa Darasa la Tatu sio la kwanza na naamini wafanyakazi wa Immigration walikuwa wanajua kiingereza vyema Ndio maana ho wa Nigeria waliweza kuwaelewa vyema. Binafsi nna uzoefu na Hawa mapopo kwanza hawaga aibu na kuongea kwa kisha our our as if...
  2. Nenga

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Anthony Komu, Kubenea na yatarajiwayo

    Wao Chadema wanamuita Shushushu wa grade one ndani ya chama, bilashaka Kubenea na Komu ndiyo wanavuliwa uanachama leo. Kasema huyo shushushu wa grade one maana yake kasema Mbowe Mbowe.
  3. Nenga

    A Compromised Possibility: Iweje Ripoti ya Kamati ya 2 iibukie Acacia-London kabla ya kwa Magufuli?

    Naona mnafanya jitihada za ku pre empt kamati ya pili sio ehe!
  4. Nenga

    KIBITI: Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Mtunda auawa kwa kupigwa risasi

    Bujibuji target sio CCM, nafikiri kuna haja ya kutoka nje ya box ili tujipe nafasi ya kujiuliza na kutafakari kwanini ni Rufiji tu? Nani yupo nyuma ya mpango huu dharimu? Kwanini wanauwa ? Ni nini mipango yao mkakakati katika kuyatenda hayo? Pia hapa tunajadili uhai wa mtu, je ni sahihi kweli...
  5. Nenga

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Zk wa Serikali inunue Richmond, ZK wa Tunaharibu uhusiano wetu na China kwasababu tu, uamuzi wa kukopa pesa Exim Bank of China umebatilishwa!? Leo kadandia issue ya Ndege tena amesahau kwamba alituambi hata hizi bombadier ni used. Siwezi kuwa Na ubongo wenye malyenge katika kutambua hili. Zk ni...
  6. Nenga

    Mwenyekiti wangu, Mfukuze Nape Uanachama Mara Moja

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako, sio kila ukitumwa unatumika tu kiraisiraisi, hata mtumaji atapata shaka juu yako ya kuwa siku moja utamgeuka. wakati fulani ni vyema mtumwa ukatumiaakili yako vyema ili kujenga imani hata kwa anaye kutuma kutenda jambo kama hili ililolitenda hapa.
  7. Nenga

    #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Sikubaliani na wazo la kuufunga mtandao huu, mwenye kutoa hilo wazo naye anabinya katiba, mitandao yote duniani kisheria ya "cyber laws"hazinaga ujanja wa kukataa kutoa information kwa ajili ya usalama wa Nchi. Maxmelo anapaswa kufanya hivyo kwa mujibu wa cyber law yetu. Mkipata muda ipitieni...
  8. Nenga

    Kampuni ya AQUA iliyoleta ukakasi ishu ya Dangote ni ya nani?

    Shame on us, discussion yetu imekosa uzalendo kabisa, tunajali maisha ya Dalali mmoja ambaye anatishia kupoteza ajila za ma elfu ya Watanzania! Hii si sawa kabisa hata kama una chuki na Rais kwa itikadi ya Chama chake au vip. Suala la uchumi ni mtambuka ,halina itikadi wala chama. Tuache unazi...
  9. Nenga

    Kwanini Pasco wa JF anaficha sababu alizoambiwa 2014 kuwa zitampeleka Magufuli Ikulu?

    Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza. Tafuteni mambo mengine ya kujadili hapa ili kujenga fikra chanya kwa watanzania .
  10. Nenga

    Ethiopia nao wamenunua ndege za mapangaboi kama za Tanzania

    Ni mvivu wa kufikoria tu anaweza linganisha Ethiopia Airway na Air Tanzania. Ushauri wa bure kukaa kimya kwa mambo tusiyoyajua ni busara. Sisi watanzania vyama vyetu vimetutoa uzalendo kabisa. Hivi uaanzaje kukejeli jitihada za Serikali yenu kulikwamua shirika la ndege lenu lililo taabani...
  11. Nenga

    TAFFA yawakataa mawakala wa forodha kutoka Rwanda kuja Tanzania kufanya kazi

    Mawakala wa Tanzania wezi sana, hawana uadilifu hata kidogo, ni wanyonyaji kabisa na ikiwezekana Nassaco irudi tu. Wamekuwa wakiwaibia wafanyabiashara kwa kigezo cha maofisa wa TRA kuomba Rushwa, hawa ni mawakala la Rushwa na sio forodha. Katika kila container moja analotoa la mfanyabiashara...
  12. Nenga

    Radio One wamziba Lowassa alipoishutumu huu utawala kwa Udikteta wakati wa BBC Swahili

    Dar siasa mbaya sana hata Radio nazo mnazishutumu? Kabla ya kutoa shutuma hapa ungejilizisha na policy ya Radio One then ukapost thread yako. Unaweza ukapewa notes na mwenyenyumba wako ukaja na thread ya namna hiyohiyo hapa. No research no right to speak.
  13. Nenga

    Muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja nyumbani

    Watanzania bure kabisa sisi, kila kitu tunafikiria ki siasa tu. Nchi aiendeshwi hivyo, tunaanza kuwa na negative attitude na Ndege zetu na tuna publisise kwenye media bila kuangalia athari zake! Tunafikiri Wakenya au Waganda watakuja kusifia vya kwetu! Huu ni umaskini wa fikra kwelikweli na kama...
  14. Nenga

    Naomba kujua sababu za Rais kutumia majina manne badala ya matatu kama Watanzania wote

    Kazi kweli kweli hata majina manne imekuwa issues kiasi hichi, Ben sanane dadavua mambo badala ya kuyaacha hewani na ni vyema ukaja na ushahidi wa hicho unacho maanisha hapo juu.
  15. Nenga

    Zitto: Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni sahihi, unapaswa kuungwa mkono na wazalendo wote Tanzania

    Ku M priempt Rais watu mnaweza sana, lakini ki ukweli alieleza kwamba mpango huu ataukamilisha ndani ya kipindi chake cha miaka mitano kilicho baki , kwa kutoa data sahihi za muda uliobaki, yaani miaka minne na miezi sita. Suala la budget limetoka wapi tena? Watu wazima tunapotezeana muda...
  16. Nenga

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    Wakuu huyu mzee Kingunge kazeeka sana sasa na ndio maana hata mawazo na matamshi yake yamekuwa tata wakati wote. Kuna wakati fulani amekuwa akimuumiza hata huyo anayempigania apate u rais, mfano Watanzania wote hawakuwai kubaini kama kuna watu wamekosana na inawalazimu wakutane ili wapatane na...
  17. Nenga

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Bilashaka mtu mzima una jazba, sijakuamulia, hujaniomba msaada na pia na sikujui sana kama unavyodhani ila nimesema records zinaonyesha umekwisha wahi kuwa kiongozi uvccm ilala. Pole sana kiongozi ndio ukubwa huo.
  18. Nenga

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Kaka wafanyie tu kazi hao TBC1 then ufurahie huo ujira wao, jiulize kwanza kwa nini watu wa Arusha awajalalamikia Chanel Ten au ITV? Wewe unafahamika vyema umekwisha wahi kuwa kiongozi wa UVCCM wilaya Ilala, kama unabisha sema, bilashaka kwa uelewa wangu ni miongoni mwa wafanyakazi wa TBC1...
  19. Nenga

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu Tanzania lakini bara zima la Afrika linapokuja suala la Uhuru wa vyombo vya habari. Kitendo kilichoripotiwa kwenye mitandao...
Back
Top Bottom