Wakati huo huo alikuwa na passports 2 moja kadi ya CCM na nyingine ya Bibie kwa sababu naye alifanya ule mchezo wa wapemba under pretext kuwa yeye asli yake ni ni jirani na tall hapo les Grands-Lacs
BOYZ II MEN sasa hivi wako kwenye obscrurity
Kuna makundi mengine mawili na wako so silent utadhani hawana wanachokifanya lakini wapo
1. AI
2. Clones
itabidi kufungua uzi mpyaa na kwa faida zaidi itabidi iwe jukwaa la siasa na sio huku
wao washaweka vijana wao
kuna walio in their mid 20s
kuna walio in their early 30s
Kuna walio in their 40s
most interesting thing tazama wanafanya nini bear in mind majority ya hao "new turks" wako serikalini na private sector na hawajawa exposed kwenye party machinery for obvious...
Mukhabarat have bigger fish to fry. Hawana muda wa ku deal na wachangiaji au mada za humu. Afterall hili dude ni la kwao, ndio maana halihitaji matangazo kujiendeza
Siku wakihitaji watu waingie kazini kufanya info warfare dhidi ya external enemies then utashangaa watu watakavyoingia kuchangia...
Chief,
Hao wote uliowataka ni irrelevant
Watu washaanza kujipanga for the next 50 years. Kuna new players na hao woote mnaowaona jamaa washasema hawana influence yoyote ile hivyo kwa sasa tazama hao vijana in their mid 20s
Hao wengine its its just a matter of time wa check out au tuseme...
Bwenga ni part and parcel ya Mukhabarat ndio maana kila kitu kinafungwa lakini hili dude liko live 24/7. Kwa lingo yetu yeye anakuwa agent provacateur for obvious reasons. Kitu kingine nataka nikuhakikishie, Mukhabarat hawana tatizo na hili dude, as a matter of fact wana bots zao just incase...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.