Search results

  1. Witmak255

    Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Hili Jambo limenishangaza kidogo.! Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
  2. Witmak255

    USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi pale ninapojariwa kitu. Mwaka jana nilienda kutembelea kituo flani cha yatima ili kutoa...
  3. Witmak255

    Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

    Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na wanawake kwa wanaume wote hapa jukwaani ambayo iki-comment sehemu ID za kike zote haziwezi kum-QUOTE...
  4. Witmak255

    Kuna ugonjwa ukiumwa unakuwa unakiona kifo

    Kama huamini Mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu...
  5. Witmak255

    TCRA Mmeshindwa kuzuia wizi unaofanywa na kampuni za simu kwa wateja wake ama na nyie mmeamua kuubariki

    Wakuu poleni na hili janga la Corona ni mda kidogo nilipotea humu hali yangu kiafya haikuwa nzuri kidogo,tuendelee kuchukua hatua stahiki za kujilinda na kuwalinda wengine,Si mzaha Corona ipo takribani siku 15 mpaka juzi zilikuwa siku za kifo kwangu hakika malaika wa mungu walikuwa upande wangu...
  6. Witmak255

    Sitaki kuamini kama mimi ni kilaza namna hii

    Habari zenu wanajamvi, Nikiwa nipo mapumzikoni huku kanda ya ziwa nikijificha na hii hatari ya corona huko mjini, sasa kuna kadogo hapa kapo form 2, kakaniuliza "Brother wewe si ulisoma Sayansi Advance" Nikakajibu Yes. Akaendelea, Basi ngoja nikuletee maswalai ambayo nimemuuliza mwalimu wangu...
  7. Witmak255

    Wanaume wenzangu, munawezaje kumpa mwanamke mimba halafu munakimbia malezi?

    Kheri ya mwaka mpya wakuu! Najiuliza hapa, huu ukatili kwa hawa malaika wasio na hatia mnawezaje kuwafanyia? Tena yawezekana mama zao mliwatongoza kwa kuwabembeleza sana mpaka wakawakubalia at the END unakutana na mdada maskini wa Mungu kachoka na kitoto chake mgongoni hajui hata atakilisha...
  8. Witmak255

    Ni kweli Nyerere alikufa tarehe 14/10/1999 au tunafichwa uhalisia wa kifo chake?

    Mwamba wa Afrika Mwalimu J.K Nyerere pumzika kwa amani huko aliko, umefanya makubwa katika hii nchi wewe ndio kielelezo cha uzalendo, Pale Butiama familia yako inaishi maisha ya kawaida kabisa huwezi kutofautisha familia yako kwa maisha wanayoishi na mkulima wa kawaida, RIP babu. Swali la...
  9. Witmak255

    Kwa haya yanayoendelea South Africa, yamenifikirisha kuhusu kazi za mabalozi wetu nje ya nchi

    Kuna mambo mengi yanatokea huko nchi za nje lakini hili la South Africa limenitafakarisha kidogo, Kama utamaduni tuna embassies katika nchi nyingi hapa duniani, Tumepeleka mabalozi katika hizo nchi na nje ya Balozi kunakuwa na Balozi mdogo Councillor na office staff. Binafsi sijui hasa hawa...
  10. Witmak255

    Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Habari zenu wanajamvi Miaka sita (6) iliyopita nilichukua mkopo bank ya CRDB kwa dhamana ya utumishi na marejesho yakiwa yanakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, moja ya masharti ya ule mkopo ilikuwa ni lazma ukatiwe bima dhidi ya kifo au ulemavu wa kudumu, maafisa mikopo wa CRDB walinielimisha...
  11. Witmak255

    Depoti ya Halmashauri ya Ilala Iliyo karibu na mkuki house ilivyogeuka kambi ya mateso kwa wananchi na Kitovu cha ukusanyaji wa Rushwa

    Naandika haya nikiwa nimeyashuhudia kwa macho yangu, miezi miwili iliyopita nilikatiza maeneo hayo nikiwa naelekea kituo cha gerezani kupanda mwendokasi, ghafla nikasikia sauti ya mama wa makamo ikisema " mwanagu nisamehe hapa sina hata mia tano, nisamehe mungu atakulipa" ikabidi nipunguze...
  12. Witmak255

    Watanzania changamkieni fursa ,,Achaneni na Tz ya ccm

    Tafadhari kwa walio tayari kwenda wawasiliane na Millard Ayo awape utaratibu wa kufika huko. Unaambiwa huko ukifika tu unayaona maisha bora kwa vitendo na SI kuyasikia kwa mdomo ama kuyaona kwa maandishi hahaha.
  13. Witmak255

    Albino: Mtego uliwekwa kwa mtu aliyekuwa anataka nywele za Albino, zilipopelekwa kwa Mkemia Mkuu majibu yakatoka ni za mdoli

    Mambo mengine ni ya kuhuzunisha sana lakini unajikuta unacheka hamna namna, Just Imagine kabisaa mwenye nywele zake anakuja kuambiwa ni za mdoli hahaha.
  14. Witmak255

    Suala la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa linalofanywa na RITA pamoja na HELB limekaaje?

    Jana mchana ninepigiwa simu na ndgu yangu ambae amemaliza kidato Cha sita hivi majuzi, amerudi kijijini kwa Wazazi wake baada ya kumaliza masomo yake ya advance. Alinipigia kuniomba nimsaidie Tsh 15,000/= ambayo ataitumia Kama nauli na malipo ya kuhakiki cheti chake Cha kuzaliwa ili aweze kuomba...
  15. Witmak255

    Suala la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa linalofanywa na RITA pamoja na HESLB limekaaje?

    Jana mchana ninepigiwa simu na ndgu yangu ambae amemaliza kidato Cha sita hivi majuzi, amerudi kijijini kwa Wazazi wake baada ya kumaliza masomo yake ya advance. Alipigia kuniomba nimsaidie Tsh 15,000/= ambayo ataitumia Kama nauli na malipo ya kuhakiki cheti chake Cha kuzaliwa ili aweze kuomba...
  16. Witmak255

    Unaijua nguvu ya pesa? Ndio nasisitiza tuisake

    Pesa haijawahi kushindwa jamani, pesa inamtoa mtu uzeeni inampeleka ujanani, pesa inafanya babu anaitwa baby, pesa inafanya IST iwe gari ya kuhongwa. No way out vijana na wazee wenzangu tuitafte pesa kwa jasho na damu
  17. Witmak255

    Thadhei Ole Mushi: Ni matumizi gani tunabana? CCM mpya inafilisi nchi

    Rais Magufuli aliagiza Ndege yetu moja ipigwe Rangi kwa brush za hapa bongo baada ya watu kutaka kuipeleka Canada ikachorwe twiga tu kwa mamilioni ya shilingi. Hakika Mh Rais aliumwa sana na kitendo kile ikabidi wapewe mafundi wetu hapa nchini ili wamchore wakatumia million saba tu twiga...
  18. Witmak255

    Ni kwanini wakurugenzi wa taasisi za utumishi wa umma zinawabania watumishi wa umma ikiwa serikali iliruhusu?

    Hawa ma - CEO wa taasisi za umma baadhi yao wamekuwa na roho mbaya kupita kiasi, hakuna kitu cha hovyo Kama mtumishi amepata nafasi ya kuhamia taasisi nyingine tofauti na anayofanyia kazi kikwazo kinakuwa kupitishiwa barua yake kwwnye ofisi anayofanyia kazi na hawa wakurugenzi. Serikali...
  19. Witmak255

    Wakala wa Barabara nchini (TARURA) sasa wameingia kwenye Biashara hatarishi ya Parking System

    Na Alloyce Nyanda Mtozi Wakala wa Barabara nchini (TARURA) sasa wameingia kwenye Biashara hatarishi ya Parking System ,leo ukiwa na gari lako ukaingia mjini ukapaki kuna watu wanakupiga picha plate namba yako wanatuma kwenye System yao . Na bei halali ya Parking ni 1500 tu ,ikitokea umesema...
  20. Witmak255

    Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

    Kijana mmoja amejirusha kutoka ghorofani na kufariki dunia papo hapo baada ya kufuatilia mafao yake katika ofisi ya PSPF JIJINI MWANZA. Ambapo alipewa mlolongo mrefu wa fedha yake na kuambiwa sheria ya Sasa ya mafao inamtaka MPAKA AFIKISHE MIAKA 55 ndipo aende akachukue pesa yake Hali...
Back
Top Bottom