Search results

  1. P

    Jiandae leo maana kesho haitabiriki...,

    BIG UP for JamiiForums [ Jukwaa la Ujasiriamali & Jukwaa la Ufugaji na Kilimo ] Be blessed Wakuu, tunawasalimu ! Tunapenda kutumia fursa hii kuwakilisha kile tunachoamini ni ‘mpenyo’ kwa wengine katika UFUGAJI. Tumia vema weekend yako kujifunza mambo kadha wa kadha muhimu katika ufugaji...
  2. P

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Nipatie mawasiliano yako tuone kama tunaweza fanya biashara.
  3. P

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Wanapatikana chotara (rir,kuchi, Kenbro) bei bado ni ile ile sh elfu 2000 kwa kifaranga cha siku moja mpaka tatu. Karibu sana
  4. P

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Dagaa ya wapi unayo ndugu, wewe unauza bei gani
  5. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Nashukuru mkuu, karibu sana
  6. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Thanks mkuu, Nitakutumia
  7. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Inawezekana mkuu, ila jaribu kutembelea bank mbalimbali utapata taarifa sahihi zaidi
  8. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Asante mkuu, Tunamshukuru Mungu anayetuwezesha. Karibu sana
  9. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Asante mkuu, Karibu sana Poultry Sayuni
  10. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Asante mkuu, Ukija tuonane. Pamoja sana.
  11. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Kwa sasa hatuna office kwa mikoa hiyo mkuu
  12. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Mkuu hiyo dawa inakuwa ktk vichupa viwili, kimoja ni unga unga na kingine ni maji, unachanganya vyote pamoja .
  13. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Pole mkuu, Nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Inabidi dawa uwape wote. Kama sio makali unaweza tumia fluban otherwise tylodox ni nzuri kwa mafua makali.
  14. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Yaani wa kienyeji pure ni issue kupata. Ukikosa hao wa Ma Joe jaribu kutembelea masoko ya hapa dar unaweza kupata wa kuanzia.
  15. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Mkuu usipende kulaumu bila kujua, mbona nilikutumia pengine haikufika. Nimekutumia tena mkuu.
  16. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Duuuh, hao ni kuku wakubwa mkuu, hatuna kwa sasa.
  17. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Karibu sana kwenye fani, TUNAWEZA
  18. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    Mkuu unaweza kuchoma mwenyewe ikiwa unajua, na huwa inachomwa sehemu ya kwenye bawa.
  19. P

    Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

    pH 7, muhimu katika banda la kuku ni kwamba upepo ukingia upate pa kutokea pia, madirisha ya ukubwa wa kutosha ni muhimu. Bila kusahau kwamba kuku 3-4 kwa sq 1
  20. P

    Je unajua kwamba baada ya Miaka 1-1.5 kuku huanza kupunguza utagaji?

    Za siku mamy! Mareks waweza pata pale pamba house, sikumbuki ghorofa ya ngapi ila ukifika pale waweza ulizia office zinazoshughulika na dawa za mifugo.
Back
Top Bottom