Search results

  1. Director Chuma

    Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
  2. Director Chuma

    Elimu ya bure ya video production

    Darasa bado linaendelea youtube kwa lugha ya Kiswahili nimepost kipindi kipya, Ingia YouTube andika Director Chuma utanipata Karibu utumie vema fursa hii ya kupata au kuongeza ujuzi bure kwa kusubscribe na kucoment utakachopenda baada ya kutazama kipindi Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. Director Chuma

    Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

    Kama ulikuwa na ndoto au unapenda kujua au kuongeza ujuzi wa Video production, basi ninadarasa YouTube unaweza kuandika Director Chuma utanipata. Ninafundsha kiundani sana na kwa mifano. Lengo ni kusaidia wahitaji kwanza kabla ya yote natamani siku 1 Tanzania tupige hatua zaidi katika video...
  4. Director Chuma

    Darasa la VIDEO PRODUCTION kwa Lugha ya Kiswahili

    Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma) Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu Kama...
Back
Top Bottom