Search results

  1. God knows

    INAUZWA Brand new Laptop Bag for Sale

    Habari za jioni wakuu, Nauza begi la laptop jipya halijatumika kabisa. Nipo DSM Bei: 30,000 Value price estimated between 70,000 - 100,000 PM if you need. Photos below
  2. God knows

    Vifaa vya network (IT) - Zanzibar (Unguja)

    Wadau, Kuna vifaa vya network vinauzwa. Vipo Zanzibar (Unguja), vilibaki wakati wa kufanya kazi fulani hapa sasa hatuwezi kuvirudisha Bara tena. Kama unavihitaji, please let me know. Bei ya kutupwa. Contact: PM
  3. God knows

    Subwoofer ya gari inauzwa

    Bado ipo. karibu PM tuyajenge
  4. God knows

    Subwoofer ya gari inauzwa

    :D:D:D:D:D Wateja watakuja inbox
  5. God knows

    Subwoofer ya gari inauzwa

    Asante mkuu.
  6. God knows

    Subwoofer ya gari inauzwa

    Nimepata mziki mwingine. Kwa hiyo sioni haja ya kukaa na mziki ambao siutumii.
  7. God knows

    Subwoofer ya gari inauzwa

    Habari wanajamvi, Nauza subwoofer ya gari (deochestra). Ina mziki mkubwa sana. Ipo tayari kuunganishwa na radio yeyote ya gari na kuanza kutumika. Bei: 100,000 Location: Dar (Posta) Contact: PM
  8. God knows

    Uwanja wa wazi - eneo la kuuzia chakula

    Wadau habari, Naweza pata eneo la wazi, au mahali pa kuuzia chakula maeneo ya kinondoni? Angalau sehemu ya kuweka meza 10 za chakula, kwenye hii barabara yanapopita mabasi ya makumbusho - stesheni.... Kama una eneo, tafadhari karibu PM.
  9. God knows

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Hello Mkuu, naomba specifications za hii gari, niangalie info kwa google. Nimeipenda!
  10. God knows

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Wakuu nahitaji mark x, Offer yangu ni 8M. Ikiwa nyeusi namba D itapendeza zaidi.
  11. God knows

    Msaada - kesi ya madai

    Habari wadau, Naombani msaada katika hili. Kama nilimkopesha mtu hela by word of mouth bila kuandikishana popote na sasa ananizungusha kulipa, je naweza kumfungulia kesi ya madai? Nilifanya bank transfer ila hatuna mkataba wala mashahidi. Ilikuwa ni kati yetu wawili tu.
  12. God knows

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    Hawa jamaa wa ushauri, LOL! Sina chochote kile, ila nahitaji gari kwa sasa.
  13. God knows

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    Hapana, Asante
  14. God knows

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    Thanks in advance
  15. God knows

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    Sio ndogo sana, sema madalali ndio wanazingua, wanataka 8.5 kwa namba D. Naamini nikimpata mmiliki moja kwa moja, 8M ni valid price.
  16. God knows

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    Wadau, hakuna mtu anayeweza kunipa hiyo gari? Sijapata hadi leo......
  17. God knows

    Nauza pikipiki (mpya)

    Humu humu ndio.
  18. God knows

    Nauza pikipiki (mpya)

    Nashukuru wakuu. Nilifanikiwa kuiuza kwa bei hiyo hiyo ya 1.8M
  19. God knows

    Nauza pikipiki (mpya)

    Sawa, Asante.
Back
Top Bottom