Search results

  1. chuxxe

    Msaada wakubadili apple id password

    Habari wakuuu Kuna mtu anauwelewa wakubadili apple id kama umesahau password yako nimejaribu wameniambia niwait siku 10 na me niko na vitu vya umuhimu so kama mtu anauwelewa wakuchage apple id kwa njia lahisi itakua poa sana Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
  2. chuxxe

    Msaada wa kufunga Wi-Fi

    Wakuu Nimejipanga na kiasi cha 300k niko sehem ambayo fibe bado hazijafika na ninaitaji kufunga wifi ya unlimited na yenye network tulivu Sana je ni company ipi inaweza nipa huduma hiyo
  3. chuxxe

    Naomba ushauri kuhusu kusogeza meno ili yalingane

    Habari wana JF, Nipo hapa kuomba ushauri wenu, nina meno yangu mawili yamezidi nje, so kwa sasa yamekuwa yakinikera sana. So nilikuwa naitaji kuyaweka sawa ila nahofia sana kama sitopata madhara yoyote yale coz kuna doctor nimeongea naye amenambia haina madhara. Sina pesa za kuweka zile...
  4. chuxxe

    msaada wa game parkage wakuu naitaji za ps3 na pc

    wakuu mwenye game parkage za pc na ps3 anisaidie ntachangia japo kidogo coz me pia nilikuwa nazo ila disk yangu imecorupt
  5. chuxxe

    Wakuu nauza setup yangu ya gaming pc

    Core !5.....4generation....hard disk.. 1tb......8ram......graphics card....amd...rx....550...2gb.........gddr5.........monitor..multlsync ea291wmi... Nch..29 wide-screen 1080p .... Inakuja na. Stend yake..graphics card Inaplay 4k resolution inafanya edit zote za graphics. Mashine ipo kwenye good...
  6. chuxxe

    Tujuzane jinsi ya kutengeneza gaming pc case diy

    Nimejaribu kufikiria wapi ntapata gaming pc case kwa hapa bongo nikipengele kidogo kupata pia nimeajibu kuangalia mtandaoni...zipo hata bei yake si yakutisha sana ila mpka ifike hapa naona ni kipengele kidogo. [emoji848][emoji848][emoji848]nimejaribu kufikiria kwani hapa bongo hatuwezi...
  7. chuxxe

    Mwenye game la FIFA 20 la PC naomba anisaidie

    Mwenye FIFA msaada jaman na mortal kombat 11 far cry 5 na need for speed payback kiufupi naitaj game za PC [emoji120][emoji120]
  8. chuxxe

    Tujuzane kuhusu wireless file transfer kutoka kwenye simu kuelekea kwenye pc au PC to phone

    Habari wana jf. Leo ningependa kukujuza jinsi ya kutransfer file kutoka kwenye simu kuelekea kwenye PC au kwenye PC kuelekea kwenye simu bila kutumia cable yoyote. Kikubwa pc yako iwe na wifi.or bluetooth maana hii ni wireless download PC remote kwenye simu yako. App hii itakusaidia kuhamisha...
  9. chuxxe

    Game unazo weza kucheza bila graphic card hata kwenye dou core

    Watu wengi tumekuwa na changamoto za graphic card ikitegemea na na mashine kama laptop ama desktop zenye graphic card mpunga wake ni mrefu leo, ntakuwekea baadh ya game 50 unazo weza kucheza bila graphic card..... 1call of duty world at war 2call of duty mordem warfare 123 4call of duty black...
  10. chuxxe

    Naomba kujuzwa utofauti wa IDM na torrent

    Mimi nilikuwa mpenzi sana wa torrents na vingi nilijifunza humu humu mpaka kuusu maswala ya seeders niliyapata humu humu mwanzoni kabisa kwa network nilikuwa nadownload GB 14 tyu yhn kwa masaa sita nilikuwa napata 1 Mbps ila badae ilikuja kupanda mpka 5mbps. Baadaye nikaja kuhama nilipokuwa...
  11. chuxxe

    Leo ningependa kujuzwa kuhusu VFX FX NA CGI pamoja na application zake

    Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa wale wenye elimu na utaalamu wa mambo haya
  12. chuxxe

    Msaada nikiweka graphics card yangu inanipa ujumbe huu

    kuna mtu kaniuzia graphics card ila nikiweka kwangu inaonesha imedisplay ila ina andika. "This device is not working properly because Windows cannot load the drivers required for this device. (Code 31) The driver trying to start is not the same as the driver for the POSTed display adapter."...
  13. chuxxe

    Msaada: Nahitaji kuongeza njia za RAM kwenye Desktop yangu

    Msaada jamani, Desktop yangu ina njia 2 za kuwekea RAM na mimi nimeweka RAM 2gb kila njia ila nina RAM zingne nahitaji kuongeza na hakuna njia ya kuweka. Je, kuna kifaa chochote kinachoweza kutumika kuongeza hizo njia?
  14. chuxxe

    Msaada kuhusu izi Intel hd

    Habari zenu wana jf Leo nilikuwa naomba kujuzwa kuusu izi Intel HD 3000, 4000 na zingne pia nimekuwa naangaika sana kuelewa maaana Intel HD 3000 nimeikuta kwenye core i3 na Intel hd 4000 nimeikuta kwenye core i3 pia hapa nilikuwa naomba kuelewa kitu wazee kuhusu izi Intel HD
  15. chuxxe

    Naomba msaada kuhusu kazi ya Proccesor katika Computer

    Habari wanaJF, Nitangulize shukrani kwenu wana JamiiForums nimekuwa muuliza mkubwa kidogo coz nahitaji ufahamu Nilikuwa nahitaji kujuzwa ufanyaji wa kazi wa "Proccesor" katika "Computer" haswa kujua hizi Core Je, husaidia nini katika "Computer Performance". Au Quality ya Graphics Naomba...
  16. chuxxe

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili la SSD katika Computer

    Habari wanJF, Nimekuwa nikishagazwa sana na bei ya SSD na ukubwa wake maana nyingi ninazoziona ni GB150 mpaka GB25. Ila bei yake imechangamka sana je! matumizi yake yapoje au hazijai mapema kama HDD maana naona zina spec ndogo sana
Back
Top Bottom