Search results

  1. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ilo tatizo lilikuwa kama hili langu?
  2. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sina uhakika juu ya Ilo ila ntajalibu
  3. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hata uki connect kwenye simu tu speed inakua ndogo sana hata Instagram haifunguki
  4. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sikuwahi kwenda ila nilitoa taarifa kwao Airtel wakasema Ilo tatizo limetokea baada ya kuwa walikua wanafanya malegebisho but soon ingekaa sawa but after kama 2 weeks ikakubali nikajiunga Tena kama kawaida yangu nikaweka mizigo ya kutosha torrent almost kama gb 130hiv haikumaliza hata week...
  5. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kama bado mnampango wa kuendelea kutumia Airtel 5g Sina ushauli ila taarifa nilizopata Airtel Wana limit data na sio unlimited router yangu nimelipia mara mbili nikidownload file kubwa kama mbili tu za gb 45 mtandao unashuka kifurushi kikikaribia kuisha wanapandisha speed after that inashuka...
  6. chuxxe

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mwenye laki Saba mkononi aje nimuuzie core i5 11gen Inter iris inside Ram 8gb ddr4 Micro SSD gb 500 Graphics card Nvidia mx 350 Mashine ni nyembamba sana 0688823704
  7. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii SI tharau Sasa Kuna router inatoa speed kama hii dunian?
  8. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hiii changamoto ya internet ya Airtel kuwa chini ni kwangu tu au Kuna wengne pia wanapitia yhn mtandao umekua chini mpaka unaboa nimejalibu kuongea na alienifungia anadai kuwa hata yeye hajui maana wateja wengi wanampa lawama
  9. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sa itakuwaje
  10. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mbona mie natumia mpaka Leo icho kifurushi
  11. chuxxe

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Ayah mie nipeni link ya pes 17 patch 24 wazee
  12. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sikuwa naelewa utendaji wake wa kazi Kama niivyo basi bado naitajika tu kwenda TANESCO
  13. chuxxe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Chief out of mada kidogo Sehem nilipo Kuna shida ya Umeme It means nipo na wapangaji wenzangu so kwenye suala la Umeme kidogo imekua changamoto Kuna vimita nimeviona sehem ni kama zile sub meter zile zinazo usika na kuesabia uniti ulizo tumia ila hii inakua tofaut kidogo yenyewe inahesabu...
  14. chuxxe

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Chief Kuna duka Moja k.koo nimeona wanauza Lenovo core i7 11gen zinakua na Nvidia mx 350 nataka nichukue Moja kwa gaming vip itafaa maana ni used unaweza nipa pia makadirio ya bei nzur nicije kupigwa
  15. chuxxe

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Nilichukua kwa mtu display ilikuwa imezingua ila nimeshauza
  16. chuxxe

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Shukran mkuu nimefanikiwa kuweka window hapo Kuna drive kama za touchpad wifi zime miss
  17. chuxxe

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Chief na serious issue hapa Hii mashine yangu ni 12gen Kila nikiweka window inadai hivo Nimetumia Kila njia imeshindikna Nimeingia google wameniambia nitumie RST driver lakin bado Inatumia SSD gb 250
Back
Top Bottom