Search results

  1. K

    Jamani Bima ya Afya vipi washatoa shotlist?

    nauliza kuhusu ile interview ambayo ilikua kama kongamano la wenye degree na wasio na kazi, lililofanyika tarehe 7 mwezi huu, pale kurasini. Hawa jamaa hawajaanza kuita?
  2. K

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    nakuunga mkono, watu wana ushabiki wa jina, kwamba UDSM ina elimu nzuri. Hiyo ilikuwa zamani.!! Stukeni, acheni ushamba wa elimu.
  3. K

    Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

    hii ndio Tanzania, tunaadhimisha miaka 50 ya UHUNI bila hata ya kuwa na uhuru wa kujiexpress! Hao Al shaabab wamehamia Tanzania lini au ndo propaganda za kutuzuia kusambaza sumu za ANTI-DOWANS tu. Wana intelijensia watakuepo kutulinda.
  4. K

    Elections 2010 Helkopta ya CUF yafunika Igunga

    Helicopta ya CCJ imeonekana Nzega ikijiandaa kuvamia anga la Igunga.
  5. K

    Rais Kikwete arejea ghafla ikulu ya Dar es salaam

    kurudi ikulu hakumaanishi moyo wa upendo, bali ni kutaka kuonesha kama anajali, angetuma HELICOPTER mapema (alizofanyia kampeni) kidogo ningesema anajali waTZ.
  6. K

    Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

    matokeo ndiyo yatakayozungumza. Now ni propaganda za kutiana presha tu.
Back
Top Bottom