Search results

  1. Alistalikopaul

    Yanga ni kikundi cha wahuni

    Hata wewe ukizubaa utanunuliwa tu
  2. Alistalikopaul

    Kocha Al Ahl: We will play against Yanga and Madeama like never before

    [emoji23][emoji23][emoji23] kama kawaida muhasibu aendelee hivi hivi maana nyuzi zake hua zinakuja na bahati kwa yanga
  3. Alistalikopaul

    Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    Ni dhahiri una hisia kwa huyo muhudumu
  4. Alistalikopaul

    Tunauza Mabalo ya mtumba

    Bei za balo mtandaoni hua zinautofauti sana na bei halisi za mtaani. Kama hapa bei ni Kali kuliko hata za huku sumbawanga
  5. Alistalikopaul

    Kiua magugu shambani

    Kibokogold Snowburner Guard force Bluster E.t.c. dawa ni nyingi sana selective tena ukiwahi hapo ndo itafanya kazii vzuri.
  6. Alistalikopaul

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Uandishi wa hovyo huu. Binafsi sijaelewa hiyo saluni inashida gani
  7. Alistalikopaul

    Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

    Kweli aisee Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
  8. Alistalikopaul

    Mazoea ya kulala bila nguo

    Basi kuanzia Leo nianze kulala uchi jini mahaba akaribie kwangu maana kulala Peke yangu na baridi hii upwiru unakaba koo
  9. Alistalikopaul

    Je, Economy Driver Company sio matapeli?

    Sijui chochote kuhusu hiyo kampuni Ila kwa maelezo y'ako mafupi hao ni matapeli. Wanatapeliwa hao
  10. Alistalikopaul

    Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Hana hata mapmbno 10 ya maana analeta utoto ndondi haina adabu akizubaa atajikuta uswekeni huko.
  11. Alistalikopaul

    Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Laki hii hii 100k au umeamua kufurahisha jukwaa. Bondia mwenye nyota mbili hana thamani hiyo.
  12. Alistalikopaul

    DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Walisema wanaenda congo Ila wenzao wanazidi kusota rumande tu na kuna hatihati wakala mvua za kutosha maana ulifanyika uharibifu mkubwa saana
  13. Alistalikopaul

    DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wenzake wa kabwe wilaya ya nkasi walijidanganya hivo hivo Ila unaelekea kukata mwezi sasa watu wanazidi kusota rumande na waliokufa waliShazikwa kijjn mambo yanaendelea kama kawa. Walipiga vitisho vingi Ila mwisho wa siku wananchi ndo wanabaki kua wahanga wakubwa.
Back
Top Bottom