Search results

  1. N

    Ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva

    Habari wadau! Katika mitandao ya kijamii kuna clip inamuonesha Kamanda wa usalama barabarani akiongelea juu ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma ya udereva. Nasisitiza hapa amesema MADEREVA WOTE WA MAGARI. Narudia " MADEREVA WOTE WA MAGARI WATEMBEE NA NAKALA ". Hatua kama hiyo italeta taafurani...
  2. N

    Ombi kwa Rais Samia juu ya usalama wa Raia katika barabara zetu

    Pole na majukumu mheshimiwa Rais na pole pia kwa msiba wa kuondokewa na watanzania wenzetu 14 huko mkoa wa SIMIYU. Mheshimiwa Rais naandika ombi hili nikiwa na masikitiko ya kuwapoteza hao ndugu zetu. Binafsi sina ninayemjua lakini wale ni watanzania wenzetu na huo ndiyo msingi wa maumivu...
  3. N

    Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

    1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA. Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
  4. N

    Dkt. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu

    Dr. Naomi Katunzi ni hazina kwa Taifa letu. Huyu mama anao uzoefu mkubwa sana wa kiuongozi. Mheshiwa Rais ikikupendeza Mama huyu mpatie Wizara ya Elimu. Hakika Wizara hii itakuwa imepata mkombozi mkubwa ayejua mfumo mzima wa Elimu yetu hapa nchini. "Naomi B. Katunzi is a Research Associate on...
  5. N

    Vyuo Vikuu vya Umma; Mama Samia Rais wetu vinusuru Vyuo hivi

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili. Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi Mitaala ya Vyuo Vikuu...
  6. N

    Mkutano wa Rais na Wafanyabiashara

    Hakika mkutano huu ulofanyika majuzi ulikuwa ni mkutano wa kiutendaji. Hakika wafanyabiashara waliweza kuongea kwa uwazi kama Mheshimiwa Rais alivyowaomba. Pamoja na kuufuatilia mkutano huo "live" bado shauku ya kuendelea kusikiliza recorded video bado ninayo kwani mkutano ule hakika uliweza...
  7. N

    Kumbukumbu ya Halila Tongolanga

    Juni 5-7/2017 majonzi makubwa yalitawala kwa kuondokewa na mwanamziki ambaye hakika alitoa mchango mkubwa katika sanaa. Huyu ni Halila Tongolanga. Nadhani wengi wetu mtakumbuka kibao chake ambacho kilivuma sana "Kila mtu ave na kwao". Hakika kibao hicho hata leo kikipigwa wengi wetu hutulia...
Back
Top Bottom