Search results

  1. Z

    Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao kuezeka nyumba hii

    @Njuka II Mkuu unaweza nisaidia makadirio kwa nyumba yenye vipimo hivi (13.15x12.9)
  2. Z

    Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    Hata Mimi nasubiri hili jibu toka kwa mleta mada
  3. Z

    Kumbukumbu nzuri kwenye maisha yangu(Baba yangu)

    Kumbukumbu nzuri sana!, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
  4. Z

    She wants to pay me "in kind"

    Mkuu ni mleta uzi anadai 12K KTSH na sio TSH hivyo ni around 200K TSH.
  5. Z

    Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    Hapo solution ni moja tuu kutumia Money Laundry way, Kuna watu wako kwenye hii business for years na kila nchi wapo. Hao unawapa mzigo wanachukua % yao pesa yako unaenda kuichukua unapotaka. Mfano unaweza ambiwa kila wiki utakua unaenda kuchukua milioni 100 cash let say kwa mchungaji fulani...
  6. Z

    Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

    Hahaha siti ya mbele, nasubiri wenye taaluma hii kwa maoni yao.
  7. Z

    Wanaume wabaya sana

    Pole sana bibie, Siti ya mbele for the first time.
  8. Z

    Plot4Sale Wahi viwanja vya makazi na uwekezaji jirani na barabara kuu kilwa road

    Mkuu hivi kwa nini ukanda wa Mbagala, Vikindu, Kisemvule hadi Mkuranga na kuendelea hupenda kuuza viwanja kwa Futi na sio Mita?, hii hupelea viwanja kuwa vidogo sana, kusongamana na hata wanao-nunua kutofanikiwa kupata hati kwa wakati.
  9. Z

    Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

    Mkuu location ni mkoa gani?, Pia unaweza kuweka cost za fundi pekee?, je fundi wako ni mtalaam na ana-uzoefu wa kujenga hidden roof kuanzia msingi hadi kuezeka? danymTZ
  10. Z

    Wanawake weusi are so sweet

    Hahahaha!, Mkuu nadhani ulipaswa kuweka wazi kwamba picha hii hana mahusiano na mada tajwa.
  11. Z

    Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Daah huyu mwamba kanifanya nicheke sana kwa mshangao wake. All in all zote ni changamoto katika maisha chamsingi ni kuendelea kumshukuru Mungu na kusonga mbele huku tukiendelea kuomba rehema zake.
  12. Z

    Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

    @Bray baba Mkuu endelea basi na story, wataalam wa saikolojia tunasubiri tukupe-ushauri..!
  13. Z

    Kilimo cha alizeti

    Ichonde moja hiyo
  14. Z

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Chai hii, uko kwenye daladala mida ya saa moja usiku, umeenda ukalala mpaka saa mbili na nusu wakati una-apointment na fundi mwenzako saa 12 jioni. Timelines haziendani na story.
  15. Z

    Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Tuliosoma SAME SECONDARY na kula sana totoz za MASANDARE Vidole juu. Mdau umenikumbusha mbali sana, hapo MASANDARE ni kijiji maalum cha ku-hudumia wa wanafunzi wa SAME SECONDARY.
  16. Z

    Njooni ndugu zangu mnishauri

    Fuata wazo hili la mdau.
  17. Z

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mimi password ya simu yangu ni 1107, hii ni tarehe 11 kwezi wa 7 mwaka 2016, nilijitoa rasmi katika chama cha CHAPUTA
Back
Top Bottom