Hili ni janga, afadhali upofu wa macho kuliko upofu wa akili, afadhali kiwete wa miguu kuliko kiwete wa ubongo. Kama mpaka sasa hujatambua kuwa kuna mabadiliko, wenye akili tena waasisi wa CCM walishatabanahisha kifo cha chama chao hakika wewe ni sehemu ya R.I.P. CCM.
CONTRADICTION: "....Hamkusikia alivyosema, Mimi ni Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo? Mtamwitaje Mungu wa wafu? Basi, Yeye si Mungu wa wafu bali walio hai. ....Kinachokufa ni mwili, roho humrudia muumba
C
1. Mgogoro wa 'nchi' ya Z'bar umeongeza mgogoro kikatiba. Nakushauri upitie katiba ya JMT na ya Z'bar. Kufunika bomu lililokwishawashwa utambi, si dawa ya kuzuia lisilipuke.
2. Suala la Waziri na Katibu ni kiini macho au sinema ambayo ina matukio ya hatari na vifo lakini staring hauawi. Hizo...
Hana kinyongo bali huo ndiyo ukweli. CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. Kama anazo sifa za kuwa rais wakati ukiwadia wana-wa-nchi watasema wenyewe. Mwl Nyerere alitahadharisha kuwa ikulu ni mahali patakatifu na mtu safi hawezi kupakimbilia, kwamba ukimwona mtu anakimbilia ikulu mwogope kama...
BENDERA YA CCM
1. Nyundo = Gonga vichwa vyao ubongo utoke hadi wafe.
2. Jembe = Chimba kaburi uwazike marehemu waliogongwa na nyundo hadi kufa
3. Kijani = Waozee kaburini hadi nyasi ziote, mpaka mwisho wa dunia.
Kuwepo au kutokuwepo kwa ufisadi inatokana na mfumo wa chama kinachoongoza serikali iliyopo madarakani. Siyo suala la wanaume wala wanawake. Acha kudanganya watu na siasa zako za ubabaishaji.
Kama mtu hujui kitu ni bora ukanyamaza siyo lazima uchangie thread. Pima kwanza uwezo wa ubongo wako kufikiri na kuchanganua mambo. Kuvua nguo sehemu husika na kwa wakati husika ni jambo la kawaida, kinyume chake unaonekana mwendawazimu. Kunyamaza pia ni hekima.
Akihutubia akiwa amesimama, au kukalia kiti kingine bila kibali cha power of gods, not Almighty God (Jehova), matokeo tunayafahamu kwamba ni mzee wa mieleka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.