Search results

  1. M

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Ndg hivi unakumbuka kipindi cha mgao mkali wa umeme watu/ama ndg zetu/ama watz wangapi walipoteza maisha kwa upuuzi na tamaa za viongozi yaani mikataba ya wizi aka Richmund,dowans n.k hivi wahusika unawajua ama unajitoa akili,kama hujui basi ilikuwa ni serikali ambao tumewapa dhamana ya...
  2. M

    Chadema mikoani watofautiana

    Huo ni mtazamo chama hakiwezi kusambaratika,kupasuka wala kusinyaa sanasana itakuwa kinyume cha hayo. Ni nani atakayekubali kuongozana na kiongozi msaliti yaani ufuatane nae ukafie jangwani!?????maana lazima pia mbeleni huko awasaliti pia. Waombe radhi kama hawataki waondoke na wasijidanganye...
  3. M

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    wacha igawanyike tutoe chuya tubaki na mchele safi eboo!
  4. M

    Walevi wanaomtuhumu Mh LOWASSA hawaniumzi kichwa

    Ni kweli na mimi nawaunga mkono huyu mzee hata mimi nilidhani ni mchafu kama ilivyokuwa inaelezwa lakini tumeyasikia yale yaliyo nyuma ya pazia hata kama ni kwa kiasi kidogo. Jamani let us be fair ni viongozi wangapi waliopo madarakani ambao hawapigi videal ama madeal ya hapa na pale kwa hakika...
  5. M

    Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    wewe askari gani anaogopa changamoto hao el shabaab wanataka maandamano ya amani ya watz yanawahusu nn hawa askari hawatufahi kama askari badala ya kuhakikisha ulinzi yeye anaogopa!!!!
  6. M

    Irene na ndikumana warudiana.

    Hivi sasa ile taarifa ilimwongezea nini ama kumpunguzia nini !!!! Kama ni ujiko basi ni poor analyst. Sifuri= zero=nill
  7. M

    Lowassa: Wakining'oa NEC nitaeleza ukweli kuhusu Richmond

    wengi wanaowapigia kura ni wa vijijini ambako elimu ya uraia bado ni challenge!!!!
  8. M

    Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

    Jamani pinda mi naona anafanya mchezo wa kuigiza haelezi mambo ambayo wamekwisha fanya( + ve things) naona anajiongelesha tu!!!!
  9. M

    Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

    :embarassed2: sekta ya kilimo ina ajiri asilimia kubwa ya watz ajabu ni kwamba sekta hiyo ss hv ndo imekuwa sehem ya watu kujipakulia kwa kisingizio cha kilomo kwanza!!
  10. M

    Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

    pinda anajibu hoja za EL kuhusu ajira
  11. M

    Bungeni: Ripoti ya Jairo yawasilishwa, wabunge wachachamaa!

    :embarassed2:Jamani sasa huyu UTOH mbona kajialibia kumbe hata mitihani ya CPA tunayofanyaga huwa wanashauriana regardless of the point archived yaani kweli SHAME ON HIM!! kwa kweli INTEGRITY YA CAG kuwa doubted ni big scandal sijui atajisafisha vipi? HATA HATI CHAFU ZA BAADHI YA WILAYA...
  12. M

    Wapinzani jengeni utaratibu wa kujibu hotuba za rais!

    TUTOLEE UHARO WAKO 'if u have nothing to share ''nenda kalale usilete issue za udini !!
  13. M

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    NI KWELI ILA HAIJALISHI NGUDU YANGU MUNGU WETU HANA UBAGUZI,HAWAI AMA KUCHELEWA REHEMA ZAKE NI KWA KILA MTU BILA KUJALI ILA NI KWA WOTE WAMCHAO NA KUMWAMINI KATIKA KWELI! bado nasisitiza hakuna kilichowahi kushindika kwa Mungu,hakuna kinachoshindikana na hakuna kitachoshindikana!!!
  14. M

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Jamani mi nina imani kuwa wakati akiendelea na matibabu india ndugu,familia na marafiki na sisi wote tunaompenda tumwombee na ndugu wampeleke nigeria kwa mtumishi wa mungu t.b joshua hakuna kinachoshindikana kwa yesu!! Kama familia,ndugu na marafiki wanapitia kwenye huu mtanda plse plse plse...
  15. M

    Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    anaongelea kushuka kwa dola na Euro!!! kwamba zinaathiri biashara ya utalii nchini pamoja na mfumuko wa bei sababu chakula na mafuta!!
  16. M

    Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

    Hana lolote mnafiki na mshenzi tu....................... Ukombozi utakuja tu...............................
  17. M

    Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

    .............. Huyu raisi wetu kwa kweli mi simuelewi anaongea na wazee na wazee na wazee ( ni vizuri) ila wazee hawa wameishi ndani ya katiba iliyopo hii katiba mpya ni vijana wa sasa na wajao suala la kuongea na wazee halina mantiki kwa kipindi hiki kwani nchii ni ya wazee anatumia wazee...
  18. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Na mimi naunga mkono hoja zenu aisee hivi haya makundi mengine vipi mbona kimya?trade unions ( ni muhimu sana tukapata opinions zao ni muhimu sana sababu lina watanzania wengi ukiachilia ambao hawapo kwenye sekta rasmi )!!!! HII NCHI SIJUI LINI TUTAPATA UHURU?
  19. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Celina Kombani anachonganisha wabunge wa cdm wa zanzbr na wananchi wao eti wamewasaliti kwa kuudharau muungano.
  20. M

    Ushauri wa Bure kwa TBC1!

    Ni kweli tbc hata mimi nimenote hii ila wajue kuwa ccm haitakuwapo milele na hawana uhakika kama hata kesho,wiki ijayo,mwezi ujao,mwaka ujao ama miaka ijayo hiyo ccm itakuwepo wanatakiwa watende haki hao wanaowabagua wanaweza kuwa ndo viongozi wao sasa sijui wataacha kazi ama??wajirekebishe...
Back
Top Bottom