Search results

  1. B

    Wizi maeneo ya Goba, polisi tusaidieni

    Tupia picha zao hapa mkuu tuanze kuwatafuta fasta. Atakae waona popote asaidie kutujulisha humu.
  2. B

    Sitapanda tena basi la Taheemed la Nairobi to Dar

    Ni ujumbe muhimu sana huu kwa wenzetu wa law enforcement. Tahmeed zote, zinazotoka Mombasa na zile za Nairobi wazichunguze kwa makini sana. Safaari zao nyingi zinaharufu ya either wahamiaji haramu au miraa na mambo yanayofanana na hayo. Tahmeed zimewahishikwa na hizo vitu na bado upo uwezekano...
  3. B

    Ninachumbiwa na mtanzania aishiye Denmark, naomba ushauri

    JIlizishe kama hauingizwi ktk mtandao wa biashara ya kusafirisha binadam. Wengi wameenda nchi za watu kwa kisingizio cha ndoa, yaliyowakuta huko ni tofauti na walivyoahidiwa na wala siyo kama vile walivyotarajia. Akili mukichwa!!! Kama umeunganishiwa huyo mchumba ni mbaya zaidi....
  4. B

    Uhamiaji ndio Idara bora zaidi kuliko idara zote za serikali

    Basi ondoeni kipengele cha tiketi ya kwenda na kurudi hapo ili msichanganye waombaji. Wajue wakiwa na hicho kitambulisho cha taifa inatosha. Inaleta Confusion!!!!!
  5. B

    Uhamiaji ndio Idara bora zaidi kuliko idara zote za serikali

    Umewahi kukata ticket ya ndege kwenda nje ya nchi bila passport? Katika kujaza taarifa za kupata ticket ya ndege kuna kipengele cha namba ya passport ya msafiri. Sasa nyie mnavyomtaka mtu awe na ticket ya ndege ndipo aombe passport kweli mnaonesha uelewa wa mnachokiomba????? Ebu kuweni serious !
  6. B

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Hivi Porsche Cayene ni bei gani hadi inanifikia mkononi? Niko DSM.
  7. B

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kukesha
  8. B

    Katuni gani kwenye gazeti umeimisi sana?

    Tolu bhana aliwahipita nje ya choo cha passport size. Ndani mdada anaoga. :)
  9. B

    Tunakoelekea: Kujiunga Master's degree lazima uwe na GPA 3.5 ya undergraduate

    Itarudisha heshima ya elimu. Sio kama sasa ambapo kila bachelors holder anaewezakulipa ada basi anaswaga tu masters.
  10. B

    Ajali yaua 29: Mabasi ya Kampuni moja ya City boy yagongana Singida, ni basi la Dar na Shinyanga

    Inasikitisha sana kama walikuwa wakifanya hayo manjonjo huko nyuma na abiria hawakuwahi kuwakemea au kuwareport popote. Abiria wawe na utamaduni wa kukemea na kuwareport madereva wanaoonesha tabia zisizofaa wawapo safarini. Inauma sana kupoteza maisha ya watu. RIP Marehemu.
  11. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ofisi inaraha yake
  12. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Democrats safari hii watapoteza kiti
  13. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mshindi ni sabuni ya mche
  14. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mvuvi wa changu au kolekole?
  15. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    ndoa imekuwa ndoana
  16. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mgongo wa kobe
  17. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mengi ni mkurugenzi wa kampuni flani hapa nchini
  18. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    chembe nyeupe ndizo muhimu ktk kupigana na magonjwa mwilini
  19. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    langu lako
  20. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mwendo wa maringo
Back
Top Bottom