Search results

  1. S

    Kuza kipato chako kupitia instagram (instaprofitgram)

    Wa Africa wengi tunatumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujifurahisha na kupunguza tu stress za maisha, tofauti na wezetu wanatumia mitandao ya kijamii kukuza vipato vyao, kama na wewe unataka ukuze kipato chako kupitia INSTAGRAM basi tumia blog hiyo hapo chini, utakutana na kitu kinaitwa...
  2. S

    Make money online

    Kupitia LEGIT ONLINE JOBS unaweza kuongeza kipato chako kwa kutumia akili yako na mikono yako tuu, basi tumia akili yako na hiyo mikono yako kuongeza kipato chako,SIO LAZIMA UKITAKA FANYA USIPO TAKA ACHA, maelezo yote yapo kwenye link hapa chini Legit Online Jobs - Special Offer
  3. S

    WASANII:Epuka kuibiwa

    Jifunze namna yakuandika PERFORMANCE CONTRACT ili mpunguze malalamiko yakuibiwa kila siku na mapromoter wenu, Ingia kwenye LINK hii hapa chini itakusaidia kupata PERFORMANCE CONTRACT DETAIL zinazoweza kukulinda hata ukienda mahakamani kushitaki endapo limetokea tatizo fulani (ni bure...
  4. S

    Format ya talaka (devorce)

    Sio vizuri kutoa taraka au kupokea taraka, lakini kama yamekushinda format yake iko kwenye link hapo chini. 1) Bofya hiyo link 2) Juu kabisa ya hiyo link utakuta neno ''FAMILY'' 3) Ndani ya FAMILY utakuta ''SEPARATION AGREMENT'' and ''PRENUPTIAL AGREEMENT'' 4) Click kwenye ''separation...
  5. S

    Namna yakuandika ''busnesss plan''

    Kama ulisha wahi kufikilia namna yakuandika Bussness plan basi ifuate link hapo chini, hakika itakusaidia coz kuna muundo wa busness plan inavyo takiwa kukaa alafu zuri zaidi unaelekezwa kabisa tena kwa mifano. fuata process hii kuifikia hiyo busness plan. 1) Click hiyo link hapo chini 2)...
  6. S

    Kwa wasanii wa bongo

    Jifunze namna yakuandika PERFORMANCE CONTRACT ili mpunguze malalamiko yakuibiwa kila siku na mapromoter wenu, Ingia kwenye LINK hii hapa chini itakusaidia kupata PERFORMANCE CONTRACT DETAIL zinazoweza kukulinda hata ukienda mahakamani kushitaki endapo limetokea tatizo fulani(ni bure hakuna...
  7. S

    Unaweza pata msaada wa kisheria mtandaoni.

    Poleni na majukumu wana JF, kwa kupitia LINK hiyo hapo chini unaweza pata msaada wa kisheria, hasa sheria za kimataifa ni bure hakuna malipo yoyote yale....fuata hizi process 1) Fungua hiyo link 2) Nenda chini kabisa ktk hiyo website 3) Click haya maneno "ASK A...
  8. S

    ELEWA MAMBO MENGI NA KWAKUPITIA HII LINK (kwa wale wanapenda maendeleo tu)

    Kama wewe ni msomi na unapenda kujua mambo mengi yakisomi hebu pitia hii link hapo chini,Hakika itakusaidia kujua mambo mengi kama 1)Utaelekezwa namna yakuandika BUSSINESS PLAN 2)Namna yakuandika barua za kuomba kazi 3)utajua namna yakuandika mikataba(contract) mbalimbali eg land cotract...
  9. S

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    mwisho saa sita usiku (28/09/2013.....jmoc)
  10. S

    44.7 Trillion ni pato la taifa na 22.7 Trillion ni deni la taifa

    Tanzania ndo nchi yetu yenye watu takriban 43 million hilo hapo juu ndo pato na deni la taifa letu...tatizo langu ni kwamba kwanini nchi yetu yenye vyazo vingi vya mapato(bandari,migodi,ardhi ya kutosha,chai,misitu etc) liwe na kipato kidogo kiasi hicho? Je tumeshindwa kutumia hivyo vyazo vya...
  11. S

    Sina Chama, Je nipo sahihi?

    Kwa kweli mimi sina chama hapa Tanzania..sipo CCM,CDM wala CUF na siwezi kuja kushabikia chama chochote maishaini.ila ninacho kifanya nikumpenda au kumchagua kiongozi bora awe kutoka CCM,CDM,CUF nk. Kwa mfano Siwezi kumchukia MAGAFULI eti kwasababu CCM au kumchukia TUNDU LISU kwasababu ni...
  12. S

    Je Power pool East Africa and Wind East Africa maendeleo yake yakoje?

    Hayo ni majina ya compuni yanayo zalisha umeme wa upepo huko Singida na yalizinduliwa na mheshimiwa KIKWETE mwaka..2012 pia compuni la Power pool East Africa pekee linauwezo wakuzalisha 100MW . SOURCE KITABU CHA HALI YA UCHUMI 2012.... je ni kweli hayo makampuni yanafanya vzr? na yapo kweli? au...
  13. S

    Tukimuacha Rwanda tutayumbisha uchumi wetu?

    Thaman ya bidhaa zilizo uzwa nje (2011-2012). RWANDA=10.6%...BURUNDI=47.7%...UGANDA=46.4%...KENYA =55.5%...WASTANI NI=45.3%
  14. S

    hii chelsea ya msimu huu..!!

    Kwa kwel wapizan wa Chelsea mtatukoma msimu huu maana lile game lilivyo chezwa dhid ya B.munic(super cup),sijaona timu ya England yakutu fungu sisi...makombe yote ye2 msimu huu... KUBALI USIKUBALI MWAKA HUU MTAKOMA KWA CHELSEA
  15. S

    Abilia(sheik ponda) mmoja ndani ya bas kubwa la mageleza

    Hatimae sheik Ponda afikishwa mahakaman tena kwa mara nyingne na kusomewa mashtaka mengne likiwemo kuleta fujo ktk nchi ye2 iliyo jaa aman alio 2achia baba etu nyerere ...lakn nilicho shangaa bas kubwa ambalo linauwezo wakubeba wafungwa zaid ya kum limembeba m2 mmoja..
  16. S

    Nimtazamo tu

    Habari za mahangako ya maisha watanzania wenzangu...siku zote najiuliza sipat jibu kwanini wananchi wengi wakitazania ni masikin?.wakati kuna rasimal nyingi sana ktk nchi ye2 kwa mf madini,misitu,bahari/bandari,ardhi na vingne vingi..kwanin sasa tuish haya maisha yakimasikin kiasi hiki? Je...
  17. S

    nokia lumia 900..inauzwa bei pouwa

    kuna nokia lumia 900 inauzwa bei ni laki nne na nusu...kama una uhitaji piga namba hii .0756505618.. kwa maongezi zaidi .....nipo dar
  18. S

    Tukemee hizi tabia

    POLENI NA MAJUKUMU WANA JF....Jf ni sehemu ambayo inanisaidia mambo mengi ya kimaisha... napata ujuzi tofauti tofaut na huwa napata faida nying sana nikiwa humu ..KIFUPI NAIFURAHIA NA PIA NAPENDA IIENDELEE KUWEPO......LAKINI kuna baadhi ya wa2 humu ndan huwa wanaudh sana, hasa pale m2 anavyokuwa...
  19. S

    Online transaction

    Jamani wana jf polen na majukum ....wazoefu wakununua vi2 online naomba mnisaidie namna yakukamilisha hii process bila yakuibiwa na jins ya kujiunga ktk hii huduma . pia ipo salama au kuna risk sana?NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUPATA BIDHAA YANGU NILIONUNUA ONLINE? NA JE NITAJUAJE KAMA KWELI...
  20. S

    Mawakala wa apple

    Samahani wana JF hivi mawakala wa bidhaa za apple kama iPhones, iPod nk kwa Dar nitawapata sehemu gani?.....
Back
Top Bottom