Search results

  1. mpondamali

    Naomba kufahamu kuhusu nchi kuchoma pesa za nchi zingine kwa lengo la kulinda pesa zao

    Ninataka kujua wana wajumbe nchi kuchoma pesa ya nchi ingine kwa madai ya kulinda pesa ya nchi dhidi ya nchi ingine...wanauchumi na wataalami Wa mambo ya fedha na utawala hebu lidadavueni hili
  2. mpondamali

    DC Mangosongo: Tutafanya uhakiki wa wakulima wa korosho mpaka mashambani

    Kweli na sasa naanza kuamini kuna vitu vinaakujitokeza sasa....hili sakata LA KOROSHO lina SURA nyingi....mkulima,dalali,mfanyabiasha Wa kati,serikali,utaifa,fedha,Soko LA KOROSHO, KOROSHO YENYWE....
  3. mpondamali

    Duhhh TAIFA STARS NI PRESSURE TUUU

    Hiii TAIFA STARS cjui ni namna gani..timu Leo haikuwa hata haieleweki inacheza kwa namna gani..hakuna flow of play kabisa..Lesotho ni team nzuri ila nadhani imefanya juhudi kusoma michezo ya TZ mbalimbali....team yetu Leo haikuwa ktk mchezo kbsaaaa.....hongera LESOTHO , TAIFA STARS TUACHE YA...
  4. mpondamali

    Duhhh TAIFA STARS NI PRESSURE TUUU

    Hiii TAIFA STARS cjui ni namna gani..timu Leo haikuwa hata haieleweki inacheza kwa namna gani..hakuna flow of play kabisa..Lesotho ni team nzuri ila nadhani imefanya juhudi kusoma michezo ya TZ mbalimbali....team yetu Leo haikuwa ktk mchezo kbsaaaa.....hongera LESOTHO , TAIFA STARS TUACHE YA...
  5. mpondamali

    USD v TSHS as for today

    Hii ndio hali ya tshs yetu...inazidi kuporomoka dhidi ya US DOLLAR....Je ni nini hasa kimekolezea kuporomoka kwa shillingi? Ni uchumi ama nchi za wafadhili kusita baada ya tamko la EU almaarufu UMOJA WA ULAYA?
  6. mpondamali

    THINGS ARE GETTING SERIOUS NOW

    Dr John Magufuli Raisi Wa JMT amefanya mabadiliko ktk baraza lake LA mawaziri....Charse mwijage OUT....UNBELIEVABLE...
  7. mpondamali

    The gaddafis....mtoto wa hayati gadhafi aomba radhi kwa wananchi wake

    Libyan state television has aired a video ofMoammar Gadhafi's son Saadi in which he apologized to the nation from prison. "I apologize to the people of Libya and the brothers in the Libyan state for the disturbance and destabilization I have caused in Libya, and I admit those were wrong things...
  8. mpondamali

    Mwenyekiti wa katiba Samuel Sitta

    Samuel Sitta sii jina ngeni ktk jukwaa la siasa za Tanzania.ktk kipindi hiki cha katiba wananchi wengi sana walikuwa na shahuku ya kujua nani ataongoza vichwa 600+ ktk mjengo WA dodoma na wengi hata baadhi ya wajumbe waliouwa wanatamani sana Samuel sitta awe kiongozi WA bunge la katiba. Sitta...
  9. mpondamali

    50 yearz of freedom hangover

    Miaka 50 ya uhuru wa tanganyika na c tanzania bara ni wa mizengwe.baada ya uhuru...wananchi walikuwa na ari na nguvu ya kutaka kujenga nchi yao,walikuwa na malengo ya kizazi kijacho kipate kuwaenzi....watanganyika wa enzi zile tutapata kuwakumbuka sana.esp wana tanu pia popote mlipo hongereni...
Back
Top Bottom