Search results

  1. Gajungi

    Tunawezaje kuangalia mechi ya Simba kwa sisi tulio nje ya nchi?

    Heshima zenu bandugu, Sisi tuliopo nje ya Tanzania tunawezaje kuangalia match ya simba ya leo? Asanteni
  2. Gajungi

    Kwanini Mapunduzi nchini Mali yamekemewa na AU na UN?

    Ndugu wanajamvi Sina hakika kama hii hoja imepata kujadiliwa hapa. Je n kwanini hasa Mapinduzi ya Mali yameshutumiwa na ECOWAS, UN NA HATA AU? WHAT IS ACTAULLY BEHIND THE SCENES??
  3. Gajungi

    Kenya won’t compromise health to resume flights to Dar, says Transport Minister

    IN SUMMARY Mr Macharia said all the issues had been cleared but being a health-related matter, the concerned ministries will have to agree. He maintained that the Kenyan government has no problem with its citizens being quarantined for 14 days when they fly to Tanzania...
  4. Gajungi

    GX 100 -1G E

    Natafuta mswaki wa 1G kavu mwenye nayo njoo inbox.
  5. Gajungi

    Oil pump ya gx 100 ,1G

    Habari wadau. Fundi ameshauri nibadili engine oil pump, ipi itanifaa na ni bei gani? Nimeambiwa ya Toyota ni kama laki 1.is that right?
  6. Gajungi

    Blacklion,sunfull and boto tyres

    Habari zenu watu, Naomba ushauri wenu,ninatafuta tairi 195/65R15 na mpaka sasa nimepata blacklion,sunfull na boto kwa budget yangu. Blacklion na boto n 100 000 na 105 000 respectively sunfull bado sijajua bei. Mnanishauri ninunue zipi ?Huwa Nina safari ndefu Mara chache na mostly Natumia mjini...
  7. Gajungi

    Spark plugs za toyota chaser 1997

    Guys please help me get genuine spark plugs in Dar. Engine is 6 cylinder 1G . ASANTENI.
  8. Gajungi

    SHAMBA LINAUZWA

    Habarini wanajamvi., Kuna shamba lenye ukubwa ekari 3 linauzwa maeneo ya Vianzi ,Vikindu.Anayehitaji anicheck 0769814553 Bei ni ndogo mil 9 maelewano yapo. Karibuni sana
  9. Gajungi

    Soko la mibono (jatropha)

    Habari zenu wanajamvi. Nilipenda kuulizia mwenye ujuzi na biashara ya Jatropha. Mimi nina namna ya kupata jatropha kwa wingi sana kwa hiyo anayejua soko la Jatropha anijulishe. ASANTENI
  10. Gajungi

    Ecg

    Habari za hapa wakuu. Napenda kuwajulisheni kuwa tunafanya kipimo cha ecg hapa Mbagala.Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0769814553
  11. Gajungi

    3 channel 12 leads brand new egg machine on sale

    Please follow this link ECG300G BRAND NEW ECG MACHINE. Dar es Salaam 813981 |813981 if you are intested
  12. Gajungi

    Doha and electronics prices

    Habari zenu wanajamvi Please anayejua iwapo bei za vifaa vya electronics ni nzuri mjini Doha tafadhali atujuze. Nasikia Uarabuni hivi vitu ni bei rahisi!
  13. Gajungi

    Transit VISA through Italy.

    Habari za leo wandugu Ningependa kufahamu kama kuna mwanajamvi amewahi kupitia Italy bila transit VISA.Nataka ninunue tiketi online lakini sina uhakika iwapo nitahitaji nitahitaji hii VISA au la.Pia naomba kujua kama mtu amewahi kukata ticket hapa www.kiwi.com
  14. Gajungi

    Cheap flights

    Habari za hapa Nilikuwa nikitafuta cheap flights nikapata hii website www.kayak.com ambayo inanidirect kwenda www.kiwi.com Naomba kujua kama kuna mtu ana uzoefu na hizi websites. Kama kuna mtu anajua zingine ambazo naweza kufanya booking online please anijuze. Shukrani
  15. Gajungi

    Kohiba zingine from Cuba zinapatikana

    Habari za hapa. Muda si mrefu nitapokea sigara za aina mbalimali toka Cuba. Wapenzi wa hii kitu nijulisheni kama mnahitaji. Zitakuwepo Kohiba,Romeo and Julieta n.k Pia anayejua wapi nitaweza kuziuza anijulishe Asanteni.
  16. Gajungi

    Anapokataa kutumia condoms

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa kwenye harakati za kuingia tz nimejihakikishia kimwana cha ukweli lakini katka kuchat akadai hatai nitumie condoms eti ananipenda sana. Kasema anakubali kupima lakini hakubali kutumia condoms. Sijawahi kuwa na mbongo lakini nilipo bila condoms wakati mnaanza...
  17. Gajungi

    Football academy

    Habari zenu wanajamvi. Ningependa kuuliza kwa anayejua juu ya football academy zilizopo hapa Tanzania. Je zipo ngapi,gharama na requirements za kuwachukua wanafunzi.Je zina ufanisi? Asanteni.
  18. Gajungi

    Ultrasounds machines

    Habari zenu wandugu,, Naomba kwa anayefahamu kodi inayotoza TRA kuingiza hizi machine anijulishe. Kama kuna mtu yupo kwenye hii bussiness tafadhali tuwasiliane.Asante.
  19. Gajungi

    The 50 things about women that baffle men:

    THE 50 THINGS ABOUT WOMEN THAT BAFFLE MEN: Their mood swings How shopping is more than just shopping, it's a social event The time it takes them to get ready Their ability to hold grudges How they remember absolutely everything you say Why they think men are mind readers Why they say "I have...
  20. Gajungi

    Kimwana hajiamini

    Wakuu habari za weekend.Ninaomba msaada wenu wa mawazo hapa. Kuna kimwana nafukuzia,alifikia hatua ya kunikubali lakini baadaye mawasiliano yalianza kusumbua na tulikosana but nilifanikiwa kumrudisha. Lakini wakati huo things have never been the same again. Kwa analysis yangu kuna matatizo...
Back
Top Bottom