Search results

  1. Triple A

    Fiat 682 N3 inahitajika

    Nahitaji Fiat tajwa hapo juu,mwenye nalo au kufaham mahali inapatikana tuwasiliane please
  2. Triple A

    Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Jamani viongozi wangu wa serikali hapa babati tunawaomba sana fanyeni kazi kwa kufuata sheria na kanuni,mimi nikiwa kama mchimbaji mdogo wa madini ya ujenzi hapa babati nashangaa serikali yangu hainipi msaada wowote ninapopeleka malalamiko yangu,mimi nina Leseni ya uchimbaji wa madini ya ujenzi...
  3. Triple A

    Mkuu wa wilaya ya Babati anachochea vurugu

    Sisi wachimbaji wadogo wa madini wa hapa babati tulipeleka malalamiko yetu kwa mkuu wa Wilaya ya babati kuwa kuna vurugu imetokea katika maeneo tunayochimba madini kati ya sisi wenye leseni na kikundi cha vijana ambao wamevamia eneo letu nakutufukuza na mapanga huku tukitishiwa kuuawa endapo...
  4. Triple A

    TMAA timizeni wajibu wenu, njoo huku Babati muone sheria zinavyokiukwa

    Wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania TMAA linajukumu la kudhibiti uchimbaji haramu na utoroshwaji wa madini ili wahusika wafuate taratibu na sheria ya madini ya mwaka 2010, Sisi wenye leseni za uchimbaji madini ujenzi tunawaomba TMAA mje hapa Babati muone sheria zinavyovunjwa mchana...
  5. Triple A

    Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    Sisi wachimba wadogo wa madini ujenzi hapa babati tunaiomba serikali yetu itusaidie kusimamia taratibu na sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2010. Kumekuwa na ongezeko kubwa la wachimbaji haramu hasa katika vijijji vya msware, Riroda, Nakwa na Endanachan. Uchimbaji huu haramu umetuathiri sisi...
  6. Triple A

    Leseni za wachimbaji wadogo wa madini hazitambuliki Babati

    Waziri mwenye dhamana hii tunakuomba ufuatilie hili, kwa ujumla hali sio nzuri tunakuomba uingilie kati leseni zinazotolewa na serikali kupitia ofisi yako hazitambuliki hapa Babati.
  7. Triple A

    Wachimbaji wadogo wa madini babati serikali haiwathamini

    sisi wachimbaji wadogo wa madini ujenzi tumeshindwa kutekeleza azma yetu ya uchimbaji kama sheria inavyotuelekeza kwani wanasiasa wamekuwa wakiingilia suala hili bila kufuata sheria ya madini inasema nini juu ya mmiliki wa leseni,wamewaambia wenye malori ya mchanga kuwa wasilipe hela wanapoenda...
  8. Triple A

    Nauza shamba Arusha

    Habari wana jf,nauza shamba langu eka 4,shamba lipo maeneo ya mbuyuni barabara kuu iendayo simanjiro,shamba lipo pembeni ya barabara kuu iendayo simanjiro. Shamba lipo umbali wa kilometa 25 kutokea kona ya mbauda,bei kwa eka ni ml 6.
  9. Triple A

    Niuzie Fiat 682

    natafuta fiat 682 yenye terius,mwenye nayo au kufaham anayeuza anijulishe
  10. Triple A

    TOL Gas Ltd

    Tol walitangaza nafasi za kazi na tuliokidhi vigezo tuliitwa kwenye interview, je kuna walioitwa kazini?
  11. Triple A

    Natafuta bedford j6 long bas

    nahitaji gari hilo hapo juu
  12. Triple A

    Bedford inahitajika

    habari jf,nahitaji gari tajwa hapo juu,bedford ya kizamani tani 7. Mwenye nayo anijulishe tufanye biashara
  13. Triple A

    betri ya samsung table

    nahitaji betri ya samsung table 10, mwenye nayo au kufaham sehem pakuipatia naomba anifahamishe,mimi nipo arusha.
  14. Triple A

    betri ya samsung table

    nahitaji betri ya samsung table 10, mwenye nayo au kufaham sehem pakuipatia naomba anifahamishe.
  15. Triple A

    Pub inauzwa Arusha

    ipo maeneo ya kibo tours barabara kuu ya lami iendayo kwa morombo,bei inaanzia m.5 maongezi yapo.
  16. Triple A

    Natafuta screntouch ya galaxy tab 2

    kwa wale wataalam kuhusu mambo ya utengenezaji wa simu za galaxy, simu yangu imekufa screntouch,anayefahamu pakuipata au anayo naomba anijulishe tafadhali.
  17. Triple A

    Nauza kiwanja Babati Manyara

    Nauza kiwanja kipo babati,inaukubwa wa nusu eka,kipo mtaa wa sawee. Bei milion 5 tu.
  18. Triple A

    Pickup inauzwa

    Nauza gari pickup....Make: Isuzu Model: kb 2001 Body type: pickup Engine capacity:1654. Imetengenezwa mwaka 1977 Fuel used:petrol. Gari lipo vizuri linapiga kazi halina tatizo lolote na halijawahi kugongwa. Picha zimegoma kuapload,najitahidi kutuma, bei milioni 5 na laki tano tu.
  19. Triple A

    Tractor Massey Ferguson inahitajika

    Nahitaji tractor tajwa hapo juu masey ferguson 165 iwe imported from uk na isiwe imetumika huku kwetu. Iwe used kutoka uk.
  20. Triple A

    Natafuta sabuni reject

    Habari wana jf,nahitaji sabuni zilizoumia au kupondeka hata kuvunjika, mwenye nayo au kufaham mahali pakuzipata naomba anipm.
Back
Top Bottom