Search results

  1. B

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Uchafu wote uanikwe hadharani. Na tiba ipatikane.
  2. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetakakuja Moshi akitokea Halmashauri ya Chalinze idara sekondari. Ani pm.
  3. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu wa sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae. Mimi nipo Moshi nataka kwenda Chalinze.
  4. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Moshi nije Chalinze au Pwani. Idara sec.
  5. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni kweli wapo wengi. Hata mimi niloshakutana na mmoja. Ila hizo hela wanazozichukua zitawatokea puani siku moja.
  6. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara secondary natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Yeye aje Kilimanjaro na mimi niende Kibaha Pwani au Chalinze. Tuwasiliane kwa 0757170397
  7. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hivi uhamisho umekuwa mgumu mithili ya ESCROW ? Kuna haja ya walimu kuchukua maamuzi magumu.
  8. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jomba njoo Moshi mimi nije pwani.
  9. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani hamtaki kuja Moshi? Wilaya yenye hewa asilia?
  10. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetafuta mwalimu wa hesabu na masomo ya biashara kwa mkoa wa Pwani kibaha tuwasiliane kwa namba 0757170397
  11. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kilimanjaro nije kibaha.
  12. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi naona kuna haja ya kupeleka hoja bungeni kwamba walimu waruhusiwe kuhama bila sharti la kutafuta mtu wa kubadilishana nae. Chamsingi mwalimu anayehama mkoa kwa mkoa apate kibali na nafasi anakotaka kuhamia. Kwa kufanya hivyo maisha yatakuwa mazuri.
  13. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Moshi, nije Kibaha. Idara secondary
  14. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Tunaiomba serikali itutoe TAMISEMI kwani nishida tu. Uhamisho ni shida bora kubaki wizara ya elimu. Inakuwaje walimu wanakuwa chini ya wizara zaidi ya tatu? Tunahitaji kuwa chini ya wizara mbili tu. Hizo nyingine zinatutesa tu.
  15. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwendo huu wa kulazimisha walimu kukaa maeneo wasivutiwa au mbali na familia zao kunasabanisha mambo mengi. Ikiwemo kuvunjika kwa ndoa nyingi. Na wanafunzi kutopata kile wanacho kistahili, kwani walimu wanatumia muda mwingi kufikiria jinsi ya kuhama na namna ya kumudu maisha kwa familia...
  16. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu unafundisha masomo gani?
  17. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Je, upo Kibaha na ungependa kuhamia moshi? Je, wewe ni mwalimu wa secondary na unatamani kufanya kazi moahi? Chukua hatua
  18. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara secondary nipo Moshi. Natafuta mtu wa kubadilishana nae aje Moshi mimi niende Kibaha.
  19. B

    Mishahara juu

    Nyongeza ya mshahara mpya ni sh ngapi? ====================================
Back
Top Bottom