Makao makuu kuhamia dodoma ni jambo jema , hatuwez kuwa tegemezi wa dar tu na kujenga dar tu, lazma nchi itanuliwe, et kil kitu dar hio haifai, kuhusu pesa zinazotumika ni sahihi tu kwan hata kununuliwa ndege ilikuw kelel hivohivo, ila nilchojifunza hapa watanzania wengne ni wabinafsi, wanataka...
Nakuunga mkono,
Kuna vitu vinazingatiwa ili uuze mazao yako kwenye mahotel makubwa na hizo camps kama vile , quality, ways of production, kind of fertilizer , traces of pesticides , .mi binafsi naataraji kuanza organic farming ndo suluhishi
Ulichoongea ni sahihi, na sio kwamba wanaweka hizo TC's kuwabana wakulima, ila ni lazima zao lilimwe kwa utaratibu unaozingatia usalama wa mlaji, mfano mimi ni nimewah fanya kaz shamba moja, walinichukia kwa aina yang ya upigaji wa dawa, aisee wakulima wengi wanapiga dawa bila mpangilio tena...
Hiyo n fruit end rot au ukungu kati ya hayo, kama hilo doa ni gumu ni fruit end rot ,upungufu wa calcium uweke mbolea ya CAN au yeyote yenyewe calcium , kama n rain ni fungus( ukungu) upige fungicide
Mkuu hapo kuna mambo mawili either ni bacterial spots au bacterial spec , je kwenye majan nako kuna madoa na majan yanakuwa kama ya njano? Kama ndio ni bacterial spots
Bado majawabu mliyotoa hayajitoshelezi, je ni maji au material yaliyotumika ndo chanzo cha kupunguza spidi au vyote, na je bwawa hilo limevizdi uzito vtu kama mount everest?
mawazo yangu tu!
Habari za muda?
Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei.
Karibuni!
Yeah lakini Kwa huku Dodoma soko lipo, kwasabu nimewah uza wa kienyeji pure mara kadhaa Kwa mkupuo wa kuku Zaid ya 20 Kwa Bei ya juu, na kuhusu chotara soko lipo kwenye bar ,hotels na restaurants, pia yupo ndugu yang aliwafuga wakaumwa akawauz Kwa Bei ya sh 5000 kilo mmoja Tena wakiwa wagonjwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.