Search results

  1. M-pesa

    Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

    mkuu Upo? Kimya sana.
  2. M-pesa

    Ujinga wa Freeman Mbowe dhihaka kwa Taifa

    Huna jipya sisi wananchi huku nje tunawasubiri kwa hamu. Kumbuka tuna kadi za CCM na sio CHADEMA sisi. Kama hamuamini tutawaonesha kazi. Iweje mtuhumiwa apewe nafasi ya kujipatia hukumu?
  3. M-pesa

    Jaribu kutafakari kwa kina kabla ya kukubali kuwa mjumbe wa kamati maalum za kiuchunguzi

    Nimeona niyaseme haya hasa baada ya kushuhudia mapokeo ya ripoti mbalimbali kwa upande wa serikali ya chama cha mapinduzi. Tukianzia na tume ya jaji Kisanga, Tume ya katiba ikiongozwa na Jaji Warioba na sasa ni kamati ya PAC. Wote walifannya kazi waliyoagizwa kwa mujibu wa sheria...
  4. M-pesa

    Hatima ya Stanbic na Mkombozi Bank kuhusishwa na Kashfa ya Escrow Account

    Nawahurumia sana Stanbic Bank na Mkombozi kwa kusaidia kutakatisha fedha. Kuna uwezekano mkubwa sana zikaingizwa kwenye global watch list kama taasisi za fedha zinazo chochea utakatishaji wa fedha. Kwa upande wa Mkombozi bank, hizi habari si nzuri sana kwa sababu zinakuja kipindi ambacho...
  5. M-pesa

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Uhalali wa report uliyonayo utapimwa na nini? Naogopa usije ambiwa wewe ndio msambazaji wa report fake.
  6. M-pesa

    Items from dubai !

    Huyu jamaa kama vile ulikuwa unamtabiria majanga, nasikia keshakamatwa ndugu!
  7. M-pesa

    fake virgin?plz help

    Tomato hizo >>>>>ebo changanya miguu kimbia katafute bikra genuine kule ...................zipo za kumwaga
  8. M-pesa

    Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Mnampaisha kwa kumpa coverage ya mitandaoni eboo! who is shonza by the way???? Jadilini mada kubwakubwa za kuleta maendeleo ndani ya nchi hii
  9. M-pesa

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    Huu nao na ushauri? Unauhakika gani kilichoandikwa hapa ni cha kweli? Haya mambo ya mtandaoni ni magumu mno....we acha tu
  10. M-pesa

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    Beba mimba umzalie mtoto, ataanza kukuamini. Mimi mwenyewe simuamini wife mpaka kesho, sababu hasa ni mazingira niliyokulia. Mambo niliyoyaona katika maisha yanatisha mno kuhusiana na uaminifu katika relation. Kwangu advantage inakuja kwa vile mtu hawezi kunisoma kwa urahisi kwamba simuamini.
  11. M-pesa

    Utajisikiaje ukijua umemletea mumeo/mkeo UKIMWI?

    Duh afadhali yako umesoma between lines umemuelewa mtoa mada! Wengi wameishia kudhani kwamba mama amejifungua mtoto huku akiwa na maambukizi!
  12. M-pesa

    Gharama za kutangaza kwenye channel ya ITV

    Bado thread ipo open, kwani Tanzania ina channel moja tu ya TV?
  13. M-pesa

    kiwanja kinauzwa kigamboni.

    Weka bei mkuu!
  14. M-pesa

    Shamba la heka 16 linauzwa lipo kigamboni

    Eneo gomvu kwa bei hiyo???? Kalaghabaoh......kweli nimeamini ule usemi wa kwamba " information is power" Less informed dudes are most likely to fall into your trap! All the best superman Akiri=akili kichwani.
  15. M-pesa

    Kununua vitu mtandaoni is safe?

    Paypal wako poa! Mi hununua vitu vingi kupitia wao, ni safe sana.....kuna option ya kurudishiwa fedha zako pindi hujaridhishwa na bidhaa uliyonunua.
  16. M-pesa

    kwa mawakala wa m-pesa,tigo pesa

    Kawaida unachukua simub ya mteja na kisha unanakili namba ya muamala, then unawapigia tigo au mpesa ku- confirm transaction. Wakikuthibitishia imepita then unampatia fedha. Lakini mara zote unashauriwa kuweka kumbukumbu ya floating balance kila wakati.
  17. M-pesa

    Lengo la mume huyu ni nini?

    Ngoja wenye ndo zao zilizoota mizizi waje!
  18. M-pesa

    NBC: Wizi wa kutumia kitechnologia

    Wizi wa kupitia ATM upo almost every bank ndani ya Tanzania, wanaohusishwa na wizi huu nasikia ni wa bulgaria, wakenya pamoja na wazungu wa kutoka marekani. Unaweza kupata habari zaidi ya aina ya wizi huu hata kwa kutumia google search engine. Nakushauri fanya hivo kwa faida yako na jinsi gani...
  19. M-pesa

    corrugated iron machine (Mashine ya mabati) na misumari

    Yes kuna makampuni yanatengeneza misumari na bati bongo: Jeje industries ltd Import international ltd Morogoro wire rolling ltd Kilo moja ya misumari ina range kuanzia TZS 2500 hadi 3000 Hii ni biashara ambayo itakulipa sana, mimi pia nataka kufungua kiduka changu cha hardware...
Back
Top Bottom