Search results

  1. M

    Msaada kuhusu PUT na PHTS

    Kwenu wadau Naomba kufahamishwa kuhusu hizi scale za mishahara PUT & PHTS... PUT-2 ni tsh ngapi kabla ya makato na PHTS-8 ni tsh ngapi? Hizi scale ni za mtu mwenye masters aliyeajiriwa kama assistant lecturer katika taasisi mbili tofauti. PHTS imetolewa DIT na PUT 2 UDOM. Happy valentine great...
  2. M

    Ushauri ununuzi wa gari

    Salam zenu wakuu. Naitaji kupata usafiri kwa bajeti yangu ni 8m maximum.. nimepitia tradecarview nimeona Toyota paso $950,60000km 1200cc ya 2004, na Toyota IST $ 1350, 65000km. 1500cc ya 2003. Kwa wenye uzoefu kuna uwezekano wa gharama zote hadi mojawapo ya haya magari kunifikia mikononi kuwa...
  3. M

    Siasa za nchini... HAKUNA Kitu!

    Mimi siyo muumini wa chama chochote cha siasa bali mara zote nimekuwa nikiangalia mgombea mwenye uelekeo wa kiuwajibikaji ila hakuna hata mmoja aliyefikia robo ya matarajio yangu na wapiga kura wenzangu kwake, nimekuwa nikijiuliza tatizo liko wapi na sasa ninaelekea kupata majibu.. 1. CDM...
  4. M

    Udom.......

    Kwa wale waliofanya usaili mwaka jana college of "mathematics and natural science" mwishoni kuna mwenye taarifa zozote za waliofanikiwa kufaulu usaili kuitwa kazini?? ama nini kinaendelea please tujuzane kama kuna jipya lolote
  5. M

    Prof Jay mwisho wa reli

    Ukipata wasaha wa kusikiliza nyimbo zake kama, Bongo Dsm, Ndiyo& Siyo mzee, Jina langu na hata zile ndani ya HBC kama chemsha bongo, mamsap n.k utakubaliana nami kwamba huyu jamaa hakuna mfano wake kwa tungo za kuelimisha na kuburudisha sioni kwa sasa hata anayekaribia tungo zake hizi za mid...
  6. M

    Utofauti wa PUTS na Vyuo vikuu vya umma

    Kwa wale wanaofahamu hizi ngazi za mshahara (basic salary) katika PUTS i.e PUTS 1-2, je zinatofautiana kutoka chuo kimoja mpaka kingine? please kwa mwenye ufahamu aweze kunifahamisha na kama kuna utofauti kwa nini zitofautiane mfano katika vyuo vya SUA, UDSM, na UDOM. na hiyo PUTS 1 na PUTS 2 ni...
  7. M

    Nature ya written questions for interview UDOM

    Habari wana JF Nilituma maombi ya kazi pale UDOM nafasi ya taaluma katika college ya Mathematics & Natural Sciences, ninafikiri nitaitwa kwenye interview labda kama barua yangu haikufika mahala husika. Naomba msaada wenu kwa wale waliokwisha fanya interview za tutorial assistants ama assistant...
  8. M

    Saint Joseph University

    Kwa wale waliofanya interview trh 29/8/2012, walishapata taarifa zozote kuhusu kuitwa kazini?
  9. M

    Safari hiyoo kwa wairaque

    Baada ya baba yake kukataa binti yake kutolewa posa yangu kisa bado mdogo (22yr), mzazi huyo kaja na mpya anaitaji kwanza niende kwao waweze kunifahamu na hii ni baada ya binti kushinikiza. Upande wangu sina tatizo kwani yeye ndiyo chaguo langu hivyo nimepanga wkend ijayo niende kutambulika...
  10. M

    Safari hiyooo kwa wakwe

    Wrong room
  11. M

    Wazazi wake wanagoma, nifanyeje?

    Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa miaka 2 sasa nafsi yangu imeridhika naye na tulipanga baada ya yeye kumaliza masomo tuanze mipango ya ndoa, sasa kamaliza masomo yake....aliwaeleza wazazi wake kuhusu mimi na kwamba tunaitaji kupeleka posa kabla ya mipango mingine ya harusi cha kushangaza...
  12. M

    Alinikimbia.... anapiga goti.

    Nilikuwa naye kwa miaka 4 kipindi tukiwa masomoni yy secondary mm University miaka kadhaa nyuma. Hatukuwai kufanya sex kwa makubaliano hadi aitimu masomo yake kwani hakuwa amewai kuduu kwa kuwa nilimpenda sana tulifanya kila kitu isipokuwa sex inshort i was crazy on her, kwa kipindi hicho...
  13. M

    Key za game torrent

    Nimedownload game na kuimount kwa ISO ila nikitaka kuinstall inanidai key nitazipata wapi ni fifa 2011
  14. M

    Kucheza game kutoka torrent

    Msaada tafadhali Nimedownload FIFA 2011 gb 4.5, Football menager g.b 4.3, nikizifungua zinaenda direct kwenye kuburn kwanza.. nimeburn ila CD still hazikubali kuplay kwa mwenye kufahamu hizi game zinachezwa vipi naomba msaada
  15. M

    Kifo cha barca

    Timu ya kuweza kuimaliza Barcelona ni hii.... mtizamo binafsi waweza toa na kuingiza mchezaji yoyote. 1. Joe Harte 2. Marcelo 3. l. king 4. Paolo Cannavaro 5. Paolo De Ceglie 6. Yaya Toure 7. Gareth Bale 8. A, Pirlo 9. R. van Persie 10. C. Ronaldo 11. Frank Riberry, Reserves Cassilas, Gomez...
  16. M

    Sielewi tatizo....

    Nina g.f ambaye tumepanga kuoana muda si mrefu Mungu akijalia. Siku za nyuma nimewai kuwa na mahusiano tofauti na wasicha wengine ila nilikuwa mgumu sana katika kutoa pesa yangu na mapenzi niliona kitu cha kawaida sana, ila kwa huyu binti sijui ni limbwata ama ni nini coz nahisi mapenzi yangu...
  17. M

    Nimeridhika na binti nataka nimvishe pete

    Nimekuwa katika uhusiano kwa mwaka sasa na hatimaye nimeridhika na huyu binti awe mke wangu wa ndoa. Naitaji nimvishe pete ya uchumba ingawaje sijamfahamisha itakuwa ni wakati gani. 1. Pete nzuri za kawaida naweza pata kwa tsh ngapi? nimeanda 100,000 2. Na kwa wale wa DSM ni wapi naweza...
  18. M

    Msaada how to install dowloaded fifa11

    Nimedownload fifa11 yenya Gb 4.5 kupitia utorrent ila kuinstall inashindikana. Nimeopen file ila sioni option ya kuinstall cha zaidi ikanitaka niiburn nikanuunua DVD nikaiburn still imeshindikana kuinstall msaada tafadhali nitainstall vipi hii kitu ili nifaidi hii kitu?
  19. M

    Wanawake bana

    Nilikuwa na g.f enzi za O-level kwa miaka zaidi ya 2 tulipendana sana hadi nilipoitimu na kwenda mkoa wa mbali kwa ajili ya A-Level. Mawasiliano taratibu yakafa baada ya muda nilipata taarifa kuwa alienda South Africa baada ya miaka tele nikaja kumtafuta facebook kweli nikampata mawasiliano...
  20. M

    Wairaqw ndivyo walivyo?

    Nina g.f ambaye ni m2 wa Babati kabila la iraque ana muonekano mzuri sana ila huyu binti ni mkimya saaana na msiri sana sijui ni tabia zao plz kwa anaye fahamu tabia za asili za kabila hili anisaidie cz nampenda sana ila hili la ukimya lanipa wasiwasi coz nafahamu kuna tabia za asili za watu wa...
Back
Top Bottom