Search results

  1. A

    Natafuta line za uwakala na pia naombeni ushauli pia

    habar zenu wakuuu! binafsi niko powa,,nielekee kwanza kwenye mada mimi ni mjasiriamali nahtaj kufungua kibanda cha mpesa na tigo pesa ila kwa bahat mbaya sina kitambulisho chochote cha utaifa ambacho kingenisaidia kujisajili binafsi kama wakala pia process za kufatilia kitambulisho ni ndefu...
  2. A

    Msaada jinsi ya kuflash simu

    Nipo kwenu wajuvi wa mambo naomba msaada ninayo simu ya kampun ya halotel double line kama mjuavyo sim hizi by default lazima utumie line ya mtandao wao ila kwa matumizi yangu situmii halotel kwa sasa hivyo nahtaj niiflash personal ili niweze kutumia line mbal na halotel naomba muongozo ni apps...
  3. A

    Naomba ushauri juu ya hii biashara inayotaka niwe mwanachama kwa laki 5

    Natumaini mko poa, Niingie kwenye mada me ni mwanafunzi wa elimu ya juu nipo hapa mjini niseme baada ya pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na tangazo la ujasiliamali motion in grobal nikahitaji kujua zaidi wanadeal na nini haswa. Hivyo nikaanza kufuatilia nini wanachofanya...
Back
Top Bottom