Search results

  1. A

    Natafuta line za uwakala na pia naombeni ushauli pia

    habar zenu wakuuu! binafsi niko powa,,nielekee kwanza kwenye mada mimi ni mjasiriamali nahtaj kufungua kibanda cha mpesa na tigo pesa ila kwa bahat mbaya sina kitambulisho chochote cha utaifa ambacho kingenisaidia kujisajili binafsi kama wakala pia process za kufatilia kitambulisho ni ndefu...
  2. A

    Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Mkuu we ni fayaaaa cjuw unawazaga nin Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Nimemnunulia Smart Phone ya laki Nne, cha kushangaza kila nikimpigia usiku yupo busy sana..

    Sio kila ukianza ujasiriamali upate faida papo hapo #risk taker Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Mnaojiona Kua mmeshafanikiwa acheni dharau tulikua wote Enzi hizo

    Watu kama nyie block ndo mpango mzima Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Mnaojiona Kua mmeshafanikiwa acheni dharau tulikua wote Enzi hizo

    Kwani hko kupokea cm unakokilalamikia shida ako inakua ni nin haswa ??? we huna shughul ya kukuweka bize na kama ungekua nayo usingelikua hapa unajib kila comment ya mtu Ushaul wang ni "jarib kupambana na hal yako mkuu" Ova Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Waziri Mkuu Alipokutana na 'School Mate Wake'

    kwa kwel mkuuu #maendeleo hayana chama Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    #wasoma coments mikono juu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Umetisha mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    Niliye mtongoza zamani ananitaka saizi

    Huyo ni mke wa mtu mkuu Yan kwa tafsil ndogo utamtunzia yule jamaa familia yake mkuu cku akirudisha majeshi yake ndo utakapoelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

    Huna pesa mkuu acha kulia lia Na hamna mkate mgum mbele ya chai Pesa ni mpesa ndo jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    This is manchester United [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Tofali 2000 how ??? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Naomba ushauri juu ya hii biashara inayotaka niwe mwanachama kwa laki 5

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Msaada jinsi ya kuflash simu

    Nipo kwenu wajuvi wa mambo naomba msaada ninayo simu ya kampun ya halotel double line kama mjuavyo sim hizi by default lazima utumie line ya mtandao wao ila kwa matumizi yangu situmii halotel kwa sasa hivyo nahtaj niiflash personal ili niweze kutumia line mbal na halotel naomba muongozo ni apps...
  15. A

    Tetesi: TAMISEMI yawaomba walimu wanafunzi kujitolea bure kwenye Shule za Kata na itawatunuku vyeti watakaojitolea

    Mkuu dadavua wenye sup wakiwa vyuon au waliowah kupata sup ?? je kama ni walio wah kupata sup ni kwel kua ukipata sup huwez ajiliwa??? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. A

    Utafiti: Kama uliyefunga nae Ndoa halafu baada ya miezi 17 na Siku 26 hamfanani Sura zenu jua hiyo ni Ndoa ya Kishetani na hamtadumu

    Na kwa wenzang na mimi wenye wake watatu watatu je utafiti unasemaje kuhusu kufanana??? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. A

    Naomba ushauri juu ya hii biashara inayotaka niwe mwanachama kwa laki 5

    Natumaini mko poa, Niingie kwenye mada me ni mwanafunzi wa elimu ya juu nipo hapa mjini niseme baada ya pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na tangazo la ujasiliamali motion in grobal nikahitaji kujua zaidi wanadeal na nini haswa. Hivyo nikaanza kufuatilia nini wanachofanya...
Back
Top Bottom