Search results

  1. MwalimuZawadi

    Shem alioteshwa je kuna ukweli?

    Kumbe Mungu wa.com hana principles. Basi huyo sio Mungu tena ni kitu kingine
  2. MwalimuZawadi

    Na hii vipi unaionaje hii picha? Lete maneno yako

    "Only Do What Your Heart Tells You"
  3. MwalimuZawadi

    Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

    Mpaka upate shemeji wa kueleweka miaka hii, andaa albamu ya hizo bizinesi kadi. La sivyo utakuwa na kesi nyingi sana za kusimamia mahakamani kwa gharama zako
  4. MwalimuZawadi

    Ruksa kuoa wanawake hata kumi

    Omba uraia Kenya, itakuwa short cut
  5. MwalimuZawadi

    Simuelewi wifi yangu

    Labda amemimbwa au anaumwa
  6. MwalimuZawadi

    Mfanyakazi wa ndani Mwizi, Namfanyaje?

    Usiajiri tena mtoto kufanya kazi katika mazingira hatarishi
  7. MwalimuZawadi

    Mkapa huwa unatafuta nini Karagwe, Kagera?

    anakagua mipaka ya nchi kwa niaba ya ..
  8. MwalimuZawadi

    Mchina ampiga diwani makofi mahakamani mbele ya hakimu

    Kwa uzembe wa kujitawala tulionao, kuna dalili makofi yakapanda ngazi toka kwa diwani, mbunge, .... Kuna makundi 'yanapigwa makofi' sana tena kila siku kwenye jamii ya Watanzania, but who cares?
  9. MwalimuZawadi

    CV ya Dr. Francis

    Kumjengea CV mwanafunzi wangu
  10. MwalimuZawadi

    CV ya Dr. Francis

    NB: Hii nilmeiweka pia kwenye uzi wake mwingine. Mods tafadhalini unga hizi threads Francis Michael Kasab(v)ubu Ntiriniga 1. Inabidi kufahamu historia yake vizuri. Kuanzia tu akiwa mwanafunzi UD. Alikuwa na tuhuma nyingi sana za ukosefu wa maadili...waliokuwa wazee wa pale miaka hiyo...
  11. MwalimuZawadi

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Francis Michael Kasab(v)ubu Ntiriniga 1. Inabidi kufahamu historia yake vizuri. Kuanzia tu akiwa mwanafunzi UD. Alikuwa na tuhuma nyingi sana za ukosefu wa maadili...waliokuwa wazee wa pale miaka hiyo wanakumbuka. Anayeweza kupekua faili lake la uanafunzi anaweza kuleta taarifa zaidi hapa 2...
  12. MwalimuZawadi

    Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

    Vipi mwanafunzi wangu, shule imekuwa ngumu eeh?
  13. MwalimuZawadi

    UDSM, Mzumbe na SUA

    Mkuu kwa lugha hii utaendelea kushangaa sana
  14. MwalimuZawadi

    Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

    Wanaume wakiacha kutengeneza mashoga hawatakuwepo. Tatizo la ushoga linaanza na baadhi ya tabia za wanaume. Ushoga hauwahusu wanawake ingawa ni watoto wao. Mashoga si watu wa hatari kama mabasha, maana mabasha ndio wanaotesa mpaka wanawake. Uzuri/ubaya wanaopinga ushoga kwa kelele kubwa ndio...
Back
Top Bottom