Search results

  1. L

    NTAFUTA NOTES ZA GENERAL CHEMISTRY ZA NGAIZA

    Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni mnisaidie kati ya hivyo kama utakuwa unakitabu chake au soft copy yake au kama unakujua wapi naweza...
  2. L

    NOTES ZA GENERAL CHEMISTRY ZA NGAIZA

    Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni mnisaidie kati ya hivyo kama utakuwa unakitabu chake au soft copy yake su kama unakujua wapi naweza...
  3. L

    Mwenye notes za general chemistry za Ngaiza

    Mwenye notes za general chemistry za ngaiza ziwe soft copy au kitabu au anayejua wapi vinapatikana kwa morogoro naomba anisaidie na shida nacho asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    MATERIAL YA PCB

    Mwenye soft copy za somo lolote katika combination ya PCB ni PM namba yako tuonge Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    APPS NZURI ZA BURE ZA KUDOWNLOAD MUSIC

    Naomba msaada wa apps nzuru ya kudownload(kushusha) muziki Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    APPS NZURI KWA KUSHUSHA MUZIKI WA MBELE(NJE YA NCHI

    Samahani naomba kuulizw ipi apps nzuri za kudownload music hasa music ya mbele Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Diploma ya clinical medicine vs bachelor of science in chemisry vs bmv

    Naomba kuliza course ipi ni nzuri kati ya BVM,CLINICAL MEDICINE NA SCIENCE IN CHEMISTRY Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    VGEZO VYA KUSOMA CLINICAL OFFICER

    Namba vigezo vya kusoma clinical officer kwa private na chuo vya serikalini Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    VIGEZO VYA KUSOMA DIPLOMA YA MEDICAL DOCTOR

    Vigezo vya kusoma CO
  10. L

    SOFT COPY ZA NGAIZA CHEMISTRY

    Mwenye soft copy za notes za ngaiza series naomba tusaidiane kwa namna yeyote ile asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    SOFT COPY ZA NGAIZA CHEMISTRY

    Mwenye soft copy za vitabu vya ngaiza naomba tusaidiane kwa aina yeyote ile Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Je, inawezekana kurisiti(kurudia mtihani wa kidato cha 6), ukiwa chuoni?

    Naombeni msaada nimefanya mtihani wa form 6 mwaka jana. Nilisomea PCB nimekosa point mmoja tu nina E ya physics ila mengine yote na C Lengo langu kubwa nije kusoma course ya afya. Wazo langu nitafute chuo chochote mwaka huu. Je, nikiwa chuo na ruhusiwa kurisiti yaani kufanya mtihani wa...
  13. L

    MSAADA WA SOFT COPY YA GENERAL CHEMISTRY

    Naomba mwenye notes za general chemistry nikipata za ngaiza nitashukuru anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    MSAADA WA KUANDIKA PROJECT

    Naombeni msaada wa kuandika project yaan vitu vya kufuata ili uandike project nzuri kwa A level Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    COURSE YA BVM VS SCIENCE IN CHEMISTRY

    Samahani kwa usumbufu ningependa kujua course ipi ni nzuri kati BVM na SCIENCE IN CHEMISTY Sent using Jamii Forums mobile app
  16. L

    Je, naweza pata laptop gani nzuri

    Kikweli mimi siyo mtaalamu sana wa laptop nina kama laki 350 hivi mnaweza nisaidia kunitajia laptop ipi nzuri naweza pata kwa hiyo bajet yangu? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. L

    Duka la simu

    Natafuta duka la simu linalouza simu za tecno kwa bei rahisi. Ili ninunue
  18. L

    Kisa gani na weza pata simu ya tecno 11 pro

    Hivi kwa bajet ya kisa gani na weza pata simu ya tecno 11 pro kwa zanzibar Sent using Jamii Forums mobile app
  19. L

    KUBADILI KIOO CHA CX

    Ninasimu yangu ya Tecno Cx imekufaa touch nilikuwa nauliza gharama za kubadili touch Sent using Jamii Forums mobile app
  20. L

    Nahitaji kusoma Udaktari! Je, kwa matokeo haya unanishauri nikasome nchi gani?

    Nimemaliza mwaka jana elimu ya kidato cha sita mchepuo wa sayansi, PCB na matokeo yangu ni CHEM-C, BIOS-C na PHY-E Niliomba msaada wa kutaka kurudia kufanya mtihani wa somo la PHY ili nikasome MD baadhi ya watu wakanishaurii nisifanye hivyo na wengine wakaniambia nitafute chuo nje kama vile...
Back
Top Bottom