Search results

  1. M

    Natafuta kazi audit firm

    Nina experience ya zaidi ya miaka 3 benk kwenye nafasi tofauti tofauti,ila ningependa kuendelea zaidi kwenye audit and tax, nipeni njia ya kupata hizi positions, nina advanced diploma in accounts na nimegraduate CPA hivi karibuni,
  2. M

    NBAA watoa matokeo ya mwezi November 2017

    Hatimaye matokeo ya cpa yaliyochelewa yatolewa ni yale ya Nov 2017, waliopata CPA ni 450, kwa matokeo kamili pitia link hapo chini ,hongera kwa wote waliofanikisha www.nbaa.go.tz news
  3. M

    Pata ushauri, ukikufaa tekeleza, leta mrejesho

    Nimejifunza kitu kimoja, kama kila anayepata ushauri humu ndani na akatekeleza na kuleta mrejesho kama wafanyavyo baadhi ya watu wachache, basi ingezidi kujenga ari ya Ujasiriamali, ninaanza ufugaji wa kuku kwa sasa ndio naandaa material za kujenga banda (kuku wa kienyeji) nitatoa mrejesho...
  4. M

    Naomba kusaidiwa kuhusu kodi ya kampuni

    Wana jf,kampuni yetu tulisajili tangu mwaka 2010,kutokana na hali mbaya ya biashara na mimi kuwa masomoni hatukuweza kulipa kodi kwa miaka hii yote na hatukutoa taarifa tukitegemea mambo yangekua safi badae,sasa angalau tumepata fedha kidogo,tunataka tulipe,swali ni je naweza kuepuka...
  5. M

    Thanx to JF, mafanikio nimeanza kuyaona

    Salamu kwa jf members,mimi ni mhitimu wa adv diploma in acc,nikiwa mwaka wa pili nilifungua kampuni pamoja na kaka zangu,malengo hasa ilikua ni ku deal na music system hire na electrical installation and repairs,mambo hayakwenda kama nilivyotegemea,hali ilikua mbaya sana ila ninawashukuru kwa...
  6. M

    Naomba msaada kuhusu power of attorney na company resolution

    Ndugu wana jf,katika harakati za kufungua account ya kampuni,benki wameniambia nipeleke company resolution naomba msaada kwamba hii inaandaliwaje,pia katika kutafuta tender huwa wanasema power of attorney iambatanishwe hii nayo ni nini,nimejaribu kugoogle lakini maelezo niliyoyapata sijayaelewa...
  7. M

    Nimefanyiwa vitendo vya uonevu na askari wa osterbay,naomba msaada

    Wadau wa jf,nilikamatwa na askari wa kituo cha osterbay nikiwa coco beach jumatatu ya tar 23 nikiwa na mpenzi wangu,wakatupeleka kituo cha oysterbay nakatubambika kesi ya kufanya mapenz ufukweni,kitu ambacho si cha kweli na kutulazimisha tutoe elfu 50,mpenz wangu kwa kuogopa alitoa kiasi hicho...
  8. M

    Mwenye gazeti la mwananchi la leo tar 12

    Mwenye gazeti husika naomba aniwekee nafasi za advans bank,kuna mtu kanidokeza,pia kama kuna nafasi nyingine sio mbaya akatuwekea
  9. M

    China support the modernization of Tazara(a great shame)

    I greatly appriciate the support and friendship of people of china,but i am sometimes suprised,walitujengea reli ya Tazara (kwa wale wanaoifahamu au walishasafiri kwenye reli hiyo watakiri kwamba ilijegwa kwa ustadi mkubwa) wachina walitumia fedha zao nyingi sana na watu wake wengi walipoteza...
  10. M

    Naomba msaada jinsi ya kuendesha biashara ya conference facilities

    Wana jf,ninaomba kwa anayefahamu jinsi ya kuendesha biashara ya conference facilities, ninachotaka kujua pamoja na mambo mengine ni je ninawezaje kupata tenda zake bila kuwa na ukumbi,mimi nina vifaa vya kisasa vya music ambavyo vinafaa kwa kazi hiyo
  11. M

    Naomba kufahamishwa kampuni ya consultancy on food and nutritions

    Wakuu naomba kwa mwenye kampuni au anayefahamu kampuni inayojihusisha na consultany services on food and nutritions anifahamishe.
  12. M

    Nafasi za kazi NBC

    Wana jf kuna nafasi za kazi kadhaa zimetangazwa kwenye daily news ya leo tar 6 febr,kwa anayeweza azipost hapa kwa ajili ya wale watakaoshindwa kupata gazeti
  13. M

    Tusitetee madokta tu bila kuchukua hatua sisi ndio tutakufa

    Wana jf nimekuwa nikifuatilia kwa makini hali inavyoenda na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi wenzangu,asilimia kubwa wakitetea madaktari kuhusu madai yao,ila moja tu la msingi nililogundua sisi maskini ndio tutakufa kwa kukosa huduma hasa kama serikali itapuuza madai yao.sasa hali ilipofikia...
  14. M

    Hii ya waajiri kutaka experience imekaaje?

    Ndugu zangu wana jf,inasikitisha sana serikali inapotangaza nafasi za ajira halafu wanaweka experience ya miaka 3 hivi sisi graduate hiyo experience tutaitoa wapi?mfano nafasi za TANAPA zilizotangazwa leo kwenye mwananchi. Wana jf tusimame kidete kupinga sera hizi za ajira za kizamani na...
  15. M

    Hayati JK Nyerere alishawishiwa na mataifa ya ulaya kuukataa msaada wa reli ya TAZARA

    China imejidhihirisha kuwa rafiki wa mataifa mengi maskini kutokana na misaada ya hali na mali inayotoa kwa nchi hizo,na nchi nyingi za ulaya na USA zimekua adui wa chini kwa chini wa China.leo kwenye televishen ya china cctv imeonyesha hayati mwl JK Nyerere akikiri kwamba mataifa ya ulaya...
  16. M

    Mh Magufuli na msururu wa wanahabari, hii haikubaliki

    Salamu wana jf,nimekuwa nikifuatilia hali ya mambo na mbio za uraisi wa 2015,nimeamua nianze na huyu mheshimiwa ambaye kwa wasiofahamu wanaaminishwa na vyombo vya habari kuwa ni kiongozi bora kuliko wengine na angefaa kuwa raisi,mimi binafsi naukubali utendaji wake lakini naona walakini mkubwa...
  17. M

    Kova anaficha wapi uso baada ya Muro kuachiwa

    wana jf,siku muro alipokamatwa kamanda kova aliongea na waandishi wa habari kwa ukali kuhusu muro baadhi ya maneno akisema,mwandishi wa habari gani huyu mhalifu hiyo bastola na pingu zinahusiana vipi na uandishi wa habari,leo tumekupata kumbe we ni mhalifu mkubwa.ki ukweli alitoa maneno makali...
  18. M

    kama hauko serious hii si sehemu ya kupost

    wana Jf,nimekua sikosi hata siku moja bila kupitia jukwaa hili la biashara,limenijengea kujiamini kwa hali ya juu,nimejifunza mambo ya biashara mbalimbali,imekua kama lecture ya ukweli sana kwangu,ila kuna baadhi ya members hujifanya wanajua au wanaweza kufanya mambo flani au kuwa partner kwenye...
  19. M

    Nimepata mfadhili wa kunilipia masters naomba ushauri

    Wana jf nimepata mfadhili wa kunilipia masters degree,mi nimemaliza advance diploma in accountancy pale TIA,ningependa kusome MBA ya finance,accounts au marketing,naomba ushauri ni chuo gan ambacho naweza kujiunga kwa mwaka huu najua nimechelewa ila ndio mfadhili nimempata,naomba ikiwezekana...
  20. M

    Kwa wanaohitaji music system ya kukodi

    I have a company which among other things, deals with music system hire and has experienced MCs,it is highly suitable for wedding,PR functions,exhibitions,bar promotions,road shows,public announcements,concerts and other events.your order is invited 0714779110.
Back
Top Bottom