Tatizo watanzania wengi kila kitu wanachukulia ni siasa,Mimi nimesoma shule za serikali,miaka hyo kjjn kwetu ukienda shule za private ulikuwa unadharaulika.Leo hii baba yangu ambaye hakusoma kabsa,amehamisha wadogo zangu wote toka shule za serikali na kuwapeleka shule inayomilikiwa na kanisa...
Kuna taarifa zilizonisikitisha kidogo hivyo naomba kwa mwenye maelezo zaidi anielimishe.Wanafunzi wa shahada za sayansi waliosoma UDOM na kuhitimu mwaka jana wanapata shida wanapohitaji vyeti vyao,hii imetokea baada ya kuambiwa wanatakiwa kulipa kiasi cha shillingi milioni moja.Kwa maelezo...
Chukulia tu mambo ya kifamilia,mpo kwenye kikao cha mtaathen jilani yako anasimama na kusema kuna nyumba nyingi zina migogoro (akitaja na familia yako) hivyo nashauri wakae na kuzungumuza matatizo yao.Nadhani wengi wetu hawatafurahia,utajiuliza jirani yangu mbona hata hajaniuliza nn kinaendelea...
sijaipitia hiyo sheria,ila kwa uelewa wangu hoja za mkaguzi zinazokuwepo kwenye ripoti ya mwisho ni hoja ambazo mkaguliwa hakutoa majibu ya kuridhisha.Hata hvyo ripoti hiyo lazma ionyeshe majibu hayo,sasa mimi nashindwa kuelewa ni majibu gani ambayo serikali inatakiwa kuwasilisha bungeni?.
Kama wewe ni mtumiaji wa hudumu za kutuma na kupokea hela kupitia mitandao yetu ya simu naomba nikutahadharishe kuhusiana na Airtel Money.Nilifungiwa akaunti yangu,nikaambiwa itafunguliwa baada ya masaa 72,baada ya muda huo kupita nikapiga simu na kuambiwa niwe mvumilivu kwani kuna watu akaunti...
Duh! huwez hata kuamini habar hz maana ni ushenz wa kutupwa.Ifike mahali Kamati ziwe zinaambatana na polisi ili washenz km hawa wawe wanachukuliwa na kuhifaziwa ndo upelelez uendele.Nasikia huko Ethiopia mtu ukiwa na tuhuma za rushwa wewe mweyewe ndani,mkeo ndan,watoto wako ndan,wazaz na...
Hima WaTZ,hatuna njia ya kuiambia serikali ikae na hawa jamaa ili wamalize huo mgomo?.Kama hakuna namna basi tukae kimya na kuangalia hiyo sinema litakapoishia.
Duh jipange kisaikolojia maana waweza ukakata tamaa kwa usumbuf utakao upata.Shida yao pia ni procedures kutoeleweka,utenda kuomba form za madai ukionyesha barua ya kuachishwa kaz unapewa,nenda kwa mwajr ajaze michango,then rudisha hz form kwao hapo ndo ngoma inapoanzia nenda rudi,nenda...
Sina ugomvi na michango ya mashuleni,lakn angetoa sababu za msingi kwa ajili ya hyo michango.Sidhani km hyo michango ina uhusiano wa moja kwa moja na ubora wa elimu inayotolewa.Ningependekeza nchi iwe na sera ya elimu ambayo haitaweza kuchezewa na wana siasa,maana nakumbuka enzi ya Mungai...
kwa somo hilo wadau mnafikiri suluhu ya tatizo ni ipi,maana hakuna hata ambaye karizishwa na huduma zao kwa wote mlio post.Je tuendelea hvhv? au nn kifanyike ?.
Inaumiza kuona wagonjwa wanavyoathirika na huo mgomo,lakn sasa madaktar wafanye nn km hawaskilizwi kwa hoja zao za msingi?.Nadhani kwny mchakato wa katiba mpya tuangalie uwezekano wa kuwa na viongozi ambao si wana siasa kwenye sekita nyeti.
NSSF ingekuwa wanafanya biashara basi ingekuwa rahisi sana kupoteza wateja kutokana na uduni wa huduma zao.
Ktk kipindi hiki cha matumizi ya teknolojia bado huduma zao ziko duni,je miaka 10 iliyopita hali ilikuwaje?
Inawezekana wengi wasielewe hili maana michango hupelekwa na waajiri hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.