Search results

  1. Lucci

    Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

    The answer is savanna sio bia/lager bali ni cider. Cider ni kama wine vile. 1. Ingredients: “While beer and cider both rely on fermented sugars to produce alcohol, the two start from very different ingredients”, says Shatbhi Basu, Beverage Consultant and Director of STIR Academy of Bartending...
  2. Lucci

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Mambo makubwa niliyofanikisha maishani ni kwa sababu ya "Cleverness", everybody who spends time with me, huwa anaishia kusema mimi ni kama Yakobo wa kwenye Biblia, yaani sio Extremely Smart, but I'm Extra Ordinary Clever to a point I almost can get away with anything...CLEAN. ... Hivi Yakobo...
  3. Lucci

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Arrogancy yake ni kubwa.If he's clever and can get away with anything its kind of he can do a lot of mistakes and goes unpunished.This is not good in relationships and life in general.It will reach a point he'll glorifies himself and boosting kwamba kila alichopata ni nguvu zake.Mtoa riziki ni...
  4. Lucci

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Kusema ukweli kijana nahisi hujakomaa kiakili! Hivi unafikiri wewe una majukumu wakati husomeshi ndugu,hulei wazazi,wadogo waka huna mgonjwa una mgharamia matibabu!!? Mke mmoja na mtoto sio gharama sana wakati unaonekana una uwezo tena una bahari na akili....Wenzio tulivyoanza kazi tu tukaanza...
  5. Lucci

    Wamarekani wamtaka Rais Obama kukutana na Rais Magufuli!

    Nimempenda bure huyu raisi wa Botswana na MsemajiUkweli. Huu ni ukweli kabisa kwani mwisho wa siku nanai anasikiliza nini? Matamani maraisi wetu wangeelewa hivi siku zote kweli tungekua mbali.Gharama ya kusafiri inazidi faida itakayotokana na maongezi! Vitendo kwanza maneno baadae .
  6. Lucci

    Kwa Hili Sina Imani Na Hii Kampuni Na Ajira Zao

    Pole sana.Huu ndio mtindo mimi sipendi kwani unaweza kutoka Morogoro kuja Dar kwa interview kumbe wenzio wana mambo yao.Mimi pia kuna recruiting agencies sina hamu nazo kwani wanakuita unafanya usaili hata sehemu tano mwishowe unaambia ooh ile kampuni walitapa mtu wa jinisa fulani au wa aina...
  7. Lucci

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Lawama alizopata rais kuhusu hili bunge ni kubwa. Hivi kumbe kila dhehebu lilipeleka mtu? Kila kundi limepeleka mtu? sijui kama watasikilizana kule ndani! God have mercy.Wewe Mungu si mwepesi wa hasira na vitabu vitakatifu vinasema wabarikini wanaowaudhi.Pia tutii mamlaka iliyo kuu.
  8. Lucci

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    Hivi kwani sheria ikikataza watu wanaopenda si bado wataendelea kufanya wanachotaka?Mbona kuiba,uzinzi nk ni dhambi na hakuna sehemu zinaruhusiwa na bado watu wanafanya.Sioni sababu ya mataifa magharibi kushukia bango tukubali ushoga uwe kama haki kitu ambacho ni wazi kabisa si haki wala nini...
  9. Lucci

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Hivi unaweza kubadili lugha maana naona matangazo yao kwenye hizi MBC zao za movies ni ya kiarabu na pia subtitle za movie zaojapo ile Dubai One mengi ni ya kiingereza vipi hizo MBC2,ACTION ,MBC 3 na 4?
  10. Lucci

    Dismas Nkunda: Tanzania must learn to be good neighbour - The Observer

    United States is a neighbour to Mexico but you cannot cross border from Mexico to US without papers?There is a different between refugee and illigal immigrants...So is US not a good neighbour to Mexico? I wonder why so many people (some immigrants) want to live here freely without proper...
  11. Lucci

    Tanzania's Unusual Immigration Case

    Muungano upo kimaandishi na katiba inaelezea ,uhamiaji wa wanyarwanda na wengineo ulitokea kwa sababu ya ukimbizi wa vita,kutafuta maisha na mambo mengine? Hatujawahi kuungana na Rwanda na kua nchi moja...two uncomparable events
  12. Lucci

    Tanzania's Unusual Immigration Case

    Wao kamwe hawawezi kuusahau uasili wao bali wanauimarisha popote walipo mfano waliopo Congo... na hata wakipata uraia wa nchi nyingine wakirudi kwao bado ni raia kwa sababu wao hukubali 'dual citizenship' jamani kwa sisi ni hatari sana kwa amani yetu maana mtu anaweza kutuvuruga akarudi kwao...
  13. Lucci

    Tanzania's Unusual Immigration Case

    Ferd,umenena vyema hapo mwishoni mwa comment yako.Sasa kama hapa ni kwake kwanini aliondoka? "I cannot go back to Tanzania even if they allow me to," she said as tears rolled down her face, "Tanzania is the only country I have known since I was born yet they treated me badly. Rwanda is not my...
  14. Lucci

    Tanzania's Unusual Immigration Case

    Nendeni Marekani mkae muda muone kama mtakua raia bila kufuata taratibu za kuupata huo uraia, na Marekani ni moja ya nchi ambazo waishio pale wengi walihamia!!!kama kuondoka Tanzania mbona wengi tu wameondoka nchi kibaooo, iweje moja ndio ilalamike weeee... Kama mtu alijua yeye kazaliwa hapa...
  15. Lucci

    Tofauti kati ya wadada wa kibongo na wa kenya

    Hahaaaa hao ni baadhi tu uliokutana nao,jaribu Nyeri uone kama utatetewa ukishapigwa makofi,ngumi kipondo cha hali ya juu. Kitanda usicholala hujui kunguni wake.
  16. Lucci

    Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

    I agree with you Safari and Timothy the disciple,what I don't like is for some people to connect poverty with the Kindgom of God.:nono:
Back
Top Bottom