Search results

  1. KANCHI

    Job Opportunity at British High Commission, Application Deadline 03-11-2016

    Job Opportunity at British High Commission, Application Deadline 03-11-2016 Job Opportunity at British High Commission, Application Deadline 03-11-2016 | AJIRA YAKO
  2. KANCHI

    Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

    Habari wana JF hivi ni kifaa kipi cha internet kinachofaa kwenye computer zaidi ya moderm yakawaida, maana moderm yangu inanisumbua sana.
  3. KANCHI

    Educating website

    Wana jf nilikuwa na wazo la kufungua educating website ambayo itakuwa inatoa notes mbalimbali za masomo yafuatayo ambayo nitaanza nayo, pia notes hizi zitakuwa not downlodable za kusoma ukiwa net tu. 1.Biology 2.Kiswahili 3.Mathematics 4.Chemistry Then masomo mengine yatafuatia. Wanajf...
  4. KANCHI

    Unafahamu hii

    Asilimia 40 (40%) ya Wababa waliopima DNA(vinasaba)-kuhusu watoto waliowazaa,imegundulika watoto hao wanaowatunza sio wao.- MKEMIA MKUU WA SERIKALI
  5. KANCHI

    TANESCO na EWURA Vacancy

    AJIRA MPYA EWURA {MWISHO TAR 14 MARCH 2014} NA TANESCO {MWISHO TAR 18 MARCH 2014} CHANGAMKIA... The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of...
  6. KANCHI

    Short course ya computer Dar es salaam

    Kuna ndugu yangu aliniulizia chuo ambacho kinatoa short course ya it ili ajiunge nao kwa muda huu wa kusubiria kupangiwa shule form v.
  7. KANCHI

    Mwenye tarifa

    Vp jamani wanajf centre for foreign relation wameshaanza kuita watu kwa ajili ya usaili?
  8. KANCHI

    Centre for Foreign Relations

    Wale alioapply kwenye chuo hichi vipi kuna jipya au wameshaanza kuita watu kwenye usaili au? Ahsanteni.
  9. KANCHI

    Ushauri Wako Ni Muhimu

    Kuna rafiki yangu aliomba pia katika kazi zile za FIRE aka jeshi la zima moto anauliza anaweza pia kuomba kazi hizi za uhamiaji maana mwajiri ni yule yule wizara ya mambo ya ndani. Ahsanteni sana.
  10. KANCHI

    Matokeo ya usaili wa mchujo wa tarehe 16 januari 2014 utumishi

    1. WASAILIWA WANATAKIWA KUFIKA SEHEMU WALIYOPANGIWA KUFANYA USAILI SAA MOJA ASUBUHI TAREHE 17 JANUARAI 2014 WAKIWA NA VYETI VYA HALISI VYA ELIMU NA CHA KUZALIWA. 2. WASAILIWA WA KADA ZILIZO CHINI YA MWAJIRI TPSC WATAFANYIA USAILI TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE (MAGOGONI) NA WASAILIWA WA KADA...
  11. KANCHI

    Oxford university press

    Jamani vp wanajf kuna member humu aliitwa kwenye interview na hawa jamaa kwenye post ya SCIENCE EDITOR, maana nilifanya interview nao then wakaniambia by 22nd wtatoa feedback lakini bado kama kuna mtu naye alifanya nao interview please let share.
  12. KANCHI

    Open university vipi?

    Mwenye taarifa zao vipi washaita kwa ajili ya interview au bado.
  13. KANCHI

    Oxford university press

    Wanajf kuna member humu jamvini kaitwa kwenye interview ya hawa jamaaa ktk post yao ya SCIENCE EDITOR, kwani walisharudisha feedback after that interview.Ahsante.
  14. KANCHI

    Msaada

    Laptop yangu haisomi moderm lakini mwanzoni ilikuwa inasoma vizuri sijui tatizo nini.
  15. KANCHI

    MSAADA Email ya PCCB

    Jamani wanajf naomba mnisaidie Email hiyo maana nimejaribu kuitafuta cjafanikiwa kwani hata Website yao haifunguki.
  16. KANCHI

    Open university

    Vp wanajf nadhani mu wazima kwani Mungu aliye hai yupo pamoja nac Jamani vp Open University wameshaanza kuita watu kwa ajili ya Interview kwenye nafasi za kazi mbalimbali walizozitoa Juzi ambapo deadline ilikuwa 14th september, . Ahsanten Wanajf.
  17. KANCHI

    Nauza Computer yangu kama spear parts kwa mafundi computer

    Husika na mada tajwa hapo juu Ni Dell Latitude D 610. Bei:200,000/= Nipo Dsm nauza kwa sababu nimepata nyingine inasumbua kudisplay kwenye screen. Karibuni.
  18. KANCHI

    Wana Jf wote.

    Nawatakia jumapili njema na mfungo mwema pia . Mia mia pamoja sana .
  19. KANCHI

    Keyboard ya laptop dell latitude d610

    Washikaji nilikuwa nahitaji hii kitu maana computer yangu ina matatizo kwenye keyboard.
  20. KANCHI

    Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

    Ni pm bac.
Back
Top Bottom