Search results

  1. Joel

    CCM kunafukuta! Njooni mkatae na hili!

    Kusema ukweli Mwenyekiti wa CCM kumteua Chongolo kuwa Katibu Mkuu - CCM ni kutowatendea haki wakina Msekwa,Kawawa,Gama,Kolimba,Mangula,Mukama na Kinana. Utofauti ni wa ardhi na mbingu.
  2. Joel

    Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Kongole kwa muanzisha mada. Nimesoma michango mingi,nimeona mada kama hii ina tija katika kuleta mabadiliko ya nchi yetu kuliko zile mada zinazoanzishwa kwa minajili ya udini. Nitaweka mchango wangu kulingana na michango ya wanajamvi hapo nitakapo pata muda. CC: Bams Chige
  3. Joel

    Hivi mmejiuliza Sababu za Kutenguliwa DC wa Sumbawanga Jane Nyamsenda? Inachekesha sana!

    Umenifurahisha jinsi ulivyomwita huyo mwamba bagamoyo . Moja ya wana JF wachache wanaoweka habari na maelezo ya kutosha na kuweka chanzo.
  4. Joel

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Kwani mbunge wa jimbo "a" akipelekwa "futi sita chini" halafu kukatangazwa uchaguzi jimbo hilo "a", na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani akaambiwa gombea pale ili hatimaye uwe PM, hili haliwezekani kufanyika na kufanikiwa!!!??
  5. Joel

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Kama ambavyo wewe na wahafidhina wenzako hamna chenu ndani ya chama chenu chini ya mwenyekiti wenu aliyewapa pigo la karne!!!??
  6. Joel

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Wewe ukienda hospital leo kufanya vipimo na vikakuonyesha kuwa upo vizuri, siku zijazo ukiwa hai hautaenda tena hospitali!!!??
  7. Joel

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Sawa "team shetani mwendakuzimu".
  8. Joel

    Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Kwa nini isiwe, " hii hatua ya mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye pia ni raia namba moja kuamua kukubaki mwaliko wa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la wanawake wa chama kinzani" ipo kati kuirudisha Tanzania moja ya watu wamoja wanaoishi kwa ushirikiano na upendo huku wakiziwe pembeni itikiadi zao...
  9. Joel

    Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

    Pole "taga". Enzi za kutumia nguvu zimepita kitambo baada ya "baba wa uongo" kupelekwa kuongoza "malaika wa uongo".
  10. Joel

    Kama Rais anakiri kuperuzi JF, tujitathimini na kutumia vema Jukwaa hili

    Hujaambiwa ubadili mtazamo. Umeambiwa uchangie kwa staha.
  11. Joel

    Kesi ya Halima Mdee na Wenzake 18 leo Machi 9, Dkt. Azavel Lwaitama kuhojiwa Mahakamani

    Duuuh!! Hizi siasa za kihafidhina hazifai dada chiembe . Kwa nini hamtaki kukubaki ukweli kuwa Mwenyekiti wenu ameona ukweli nchi ilivyokuwa kwa kuanzia 2015 mpaka March 17 2021!!!??? Sisi wengine tumesamehe na kusahau madhira yote yaliyotupata kuanzia 2015, tunataka tuungane na Mh. Rais SSH...
  12. Joel

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Yaani hawa wajinga wanataka baba au mama akileta kuku, akahakikisha unakula vizuri na kulala vizuri, umpe pongezi "as if" sio jukumu lao!!???
  13. Joel

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Hakuna Mchaga ambaye hajui kuandika "huijui". Leo umenithibitishia maneno ya kaka yangu mmoja kuwa chama cha mambuzi siku hizi hakina watu wa kukipambania mitandaoni zaidi ya walevi wa chimpumu.
  14. Joel

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Ni mpumbavu wa kiwango cha "SGR" na hayawani pekee anaweza kufananisha vyama vya siasa akiingiza ukabila.
  15. Joel

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    You are too smart for a comment like this buddy. You are among them "wahafidhina" ndugu Pohamba .
  16. Joel

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Mimi shemeji yangu alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa fulani,alifiwa na mtoto wake,lakini sikuhudhuria kwa sababu ya ushenzi wake na wa chama chake.
  17. Joel

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Maneno machache yenye maana kubwa na sahihi ya "demokrasia". Kongole na Mungu akubariki.
  18. Joel

    Mwalimu Nyerere hakuishinda Serikali ya Kikoloni kwa maandamano, alitumia akili. CHADEMA ipo kwenye njia sahihi?

    Umeandika mengi ya msingi,kongole kwa hilo ndugu Mubby777 ,lakini umepuyanga ulivyoandika kuwa lengo la Mbowe ni kushinda uchaguzi ndio ninapokupinga. Lengo la ndugu Mbowe ni kuwe na maisha bora kwa kila Mtanzania. Maisha bora kwa kila Mtanzania yatapatikana tu kwa kuwa na katiba bora inayotoa...
  19. Joel

    Mwalimu Nyerere hakuishinda Serikali ya Kikoloni kwa maandamano, alitumia akili. CHADEMA ipo kwenye njia sahihi?

    Mjadala ufungwe baada ya mchango huu ndugu Robert Heriel .
Back
Top Bottom