Search results

  1. M

    Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Nipo stand ya bus hapa atown mpaka raha jamaa wanapiga debe na kusema kama ni baraka kamanda G lema ana baraka kaingia town na bonge la mvua.. ,karibu mhe na Mbunge wetu tulie kuchagua wenyewe.. Viva kamanda G mandela.
  2. M

    Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Lema wewe ndiyo chaguo letu na tupo pamoja sana, tupo kimya tunasoma mchezo. Ushind upo ,atown unatufaham...mhe tulikuchagua na tutakuchagua tena. Viva kamanda. Viva aLema
  3. M

    Mahakama kuu kanda ya Arusha imepanga kusikiliza Rufaa ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini

    Karibu kamanda hope new year tupo pamoja , usijali tupo pamoja bega kwa bega , hata wakikueka huko ikisha miaka mitano , kura zetu unazo, wanavyo kuweka muda sis huku upendo kwako ndiyo unazid kamanda worry not. Tupo pamoja. Your still in our heart komrade.. Hata jiwe litashinda atown lakin si...
  4. M

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Tupo pamoja Max kwa jua na Mvua , mapambano yanaendelea ..
  5. M

    Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Tuache na arusha yetu na mbunge wetu, still ni chaguo letu tu ,,
  6. M

    Kwanini serikali wasiwape pikipiki vijana wa Dodoma wanawapa wa Arusha waliowakataa?

    Wacha wazigawe tunazuchukua ila wajue lema ni chaguo letu tu. Hatudanganyiki..
  7. M

    Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wanasiasa wengine

    Hahahaha , Huyu ndiye mbunge wetu chaguo letu ,tupo naye bega kwa bega , hamtutoi kwenye reli ,viva lema viva pipozz.
  8. M

    Umeme kukatika Majengo tu Arusha ni sawa?

    Naomba kujua naona kama majengo kuna mgao wa zaid ya miezi mitatu na sehemu nyingine hamna mgao wa umeme je ni sawa jambo hili , Tanesco arusha kunashida gani na majengo ? Labda kama kuna mtaa mwingine wengine pia waseme
  9. M

    Lowassa: Naamini ipo siku nitakuwa Rais wa watanzania, endeleeni kuniombea

    Huo ndiyo ukweli na hatudanganyiki he is still in our heart , haya maigizo mengine tunayaangalia tu. Sina imani nao ccm ni ile ile na wanakuja kwa style tofauti ninashida na katiba ya wananch kwanza
  10. M

    Marufuku mbunge kuzomea au kutoka bungeni bila ridhaa ya waliompigia kura

    Na hasira lema. Hayupo ila najua majembe hayata tuangusha. Chochote watakacho wafanya ukawa ndiyo tulicho watuma
  11. M

    Wizara ya Nishati, yakanusha habari zinazodai mitambo ya Umeme inamilikiwa na Kampuni binafsi

    Hahaha ulicho kiona ndiyo nimekiona hapa ni kuwapiga chini tu maana ni usanii mtupu , watu binafsi wanaishinda serikali ? Labda ni mitambo yao hiyo wanapigia fedha hapo, viva mabadiliko
  12. M

    BASATA yaonya wanaotumia vibaya mitandao

    Viva Roma Viva tutaupiga sana kwanzia Tarehe 26 /10.hahahahaaa viva Roma viva Ukawa
  13. M

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    viva ukawa hata waonyeshe nini tumesha amua viva ukawa
  14. M

    Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

    Tupo pamoja na tunaheshimu maamuzi yenu kama ukawa na tunawaunga mkono asilimia 100
  15. M

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Mimi kama mmoja wa wananchi kati ya walio wengi nauliza , raisi, wabunge, madiwani hatuku wachagua kwa kura ya wazi sasa leo wanatuambia kura ya wazi , hiyo ni ya kwake yeye na maccm wenzake wasituhusishe sisi wananchi . Tunataka kura ya siri tuuuu. Au boresheni daftari la wapiga kura alafu...
  16. M

    Press conference ya ACT-Tanzania

    Hahahahahaah ccj kiko wapi hahahahahaha. Karibun A town tuwaonyeshe demokrasia .
  17. M

    BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

    Kama kuna mtu ameongea kwa manufaa ya Taifa hili Mh Hashim Runge ni Mtanzania kamimili asiye mwoga aliye mzalendo wa kweli ,
  18. M

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    Kafanye kazi wewe sisi tutaenda kwenye mikutano, kakae oficin na magamba wenzako acha sisi tukomboe nchi yetu kwanza then tutafanya kazi tukiwa huru.
Back
Top Bottom