Search results

  1. W

    mwenye uelewa kuhusu CAS

    Tangu jana nina mdogo wangu tunajaribu kujisajili kwa ajili ya kuomba chuo mfumo unagoma .Mwenye ufahamu kama kuna mabadiliko ya system ya TCU anifahamishe tafadhali
  2. W

    Pinda kamsusa Majaliwa?

    kwani Lowasa na Sumaye walikuwepo Kama hawakuwepo basi na wao wanahasira ya kukosa Urais
  3. W

    Kashfa nyingine ya Mbowe: Kumbe Juma Duni Haji hajakabidhiwa kadi ya CHADEMA

    Mgombea Lowasa.kapewa kadi kweupee kwanini kwa Duni Haji iwe siri kwa jambo zito kama hili
  4. W

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kwanini wengine hawatajwi Sana Kama Lowasa? Huenda akawa ndiye mgombea Wa CCM
  5. W

    Utawala huu ni kwapua kwapua?

    Mi ni mgeni kidogo katika ufuatiliaji Wa kazi za serikali.Siku za karibuni walao nimejitahidi kufuatilia.Kila bunge likikaa lazima litajadili wizi unaofanywa kwenye wizara na idara mbalimbali za serikali.Mikataba mibovu as if wanaosaini mikataba si watanzania vile.Hivi hali Hii ni utawala Wa...
  6. W

    CV ya Mkuu wa jeshi la polisi

    Humu namo kuna mizigo kama hii.Yenyewe ni kubofya tu keypads za simu mambo mengine hawayajui eti ndiyo kwanza nasikia.Alishazoea spoon feeding
  7. W

    Nimewafukuza Polisi waliopanga kwenye nyumba yangu

    Wengine hawana hata banda la kuku lakini wanajifanya eti wamepangisha nyumba zao.Hawana lolote nao ni shida tupu
  8. W

    Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

    Kwani hizo division ndiyo zinafanya kazi? Polisi wamesomea upolisi huko CCP sasa ukianza kuuliza masuala ya O level sijui advance hueleweki.Mapolisi wote wamesomea Upolisi
  9. W

    Majeshi ni kwa ajili ya form 4 failure tu

    Huyu mtoa post hajatumia ubongo wake kwa ufasaha na ndiyo maana ameshindwa kufikiri hadi akafikia kudharau kazi za watu.Kama wao ni form four failure kinakuuma nini? Isitoshe hujafanya research kwenye majeshi yetu wapo wasomi wengi na wanatenda kazi zao vizuri.Siku zote elewa wengi Wa waTz...
  10. W

    Unguja: Jambazi lauawa na Pingu mkononi

    Kazi mzuri kwa Polisi. Jambazi ni jambazi tuba awe na silaha ama asiwe nayo ni jambazi kama wenzake wametoroka nazo hizo silaha. Wawaue tu hao jambazi maana siku hizi wamewazoea sana Polisi. Polisi rudisheni heshima yenu
  11. W

    Kufungwa kwa Vituo Vidogo vya Polisi Saa 12 jioni, Nani ana jukumu la kuwalinda Raia?

    Hapa jukwaani kuna mambo sana.Wapo wanaojadili Polisi katika nchi hii hawana maana yoyote hadi kuwaita ni wapiga dili wala rushwa na kila baba ni lao.Lakini hapa wanalalamika kufungwa kituo saa kumi na mbili.Tusiwe wanafiki!!Wengine wanaona raja wakiweka mada ya kuwaponda Polisi huku wakijua...
  12. W

    RCO Iringa anaongoza kwa kuomba rushwa

    Huyu mtoa Uzi kwanza anatakiwa aseme anatuhumiwa kosa gani la kijinai ili tuweze kumjua vizuri.Maana makosa ya kijinai na upelelezi unaweza usitoe matokeo chanya ingawa mtuhumiwa kulitenda kosa.Hivyo tupe yote hadi uliyoyafanya na siyo kutupa tuhuma za kuombwa rushwa tu nawe sema ulichokosea...
  13. W

    Polisi Geita mnatia aibu,mtuhumiwa amewatoa jasho

    Kumbe we ndiyo mshenzi,huyo ametekeleza wajibu wake kama RAIA mwema.Bila shaka ubongo wako una shiida.We ni mmoja Wa watanzania ambao wanaanzisha chuki ktk jambo Fulani ingawa hajawahi kutendewa ubaya
  14. W

    Polisi wa kiume kukamata wanawake kwa nguvu hii ni sawa?

    Nyie mnazungumzia sheria gani acheni kuweka porojo.Site sheria inayokataza mwanaume asikamate mwanamke.Kama watu hawatii sharia wafanywe nini kwa misingi hiyo hats huyo mnayemtetea ametunga sheria yake ingawa maandamano yake yalikatazwa
  15. W

    Polisi wa kiume kukamata wanawake kwa nguvu hii ni sawa?

    Wapigwe tu.Nami nasema na mpigwe.Brother hakuna sheria inayosema mwanamke akamatwe NA mwanamke mwenzake usiwe mvivu Wa kusoma vitabu si kumwaga porojo hapa jukwaani.Mhalifu ni mhalifu tu
  16. W

    Sitta Ana Msongo wa Mawazo-Askofu Kilaini

    Kanisa kujiingiza kwenye sasa ni dhambi kubwa naamini Hilo kabisa lilikuwa NA uwakilishi BMK sasa iweje watoe waraka waislamu wakitoa waraka ambao ni kinzani NA wao je,nchi itakalika?Udini udini tu
  17. W

    Nimesikitika sana, kumbe UKAWA walichezewa karata tatu?

    Wivu mwingine bana.Mahakama ilishatoa uamuzi na kesi zenu zisizo macho hadi wanasheria wenu vihiyo
  18. W

    Diamond laana hiyo!

    Apone halafu pesa itaingiaje.Nyie watu wapo very strategic ktk kutafuta mkwanja huenda mshua ugonjwa ukizidi pesa zinaongezeka alaaaaah
  19. W

    Askari anayependa kuwa trafiki Fanya haya

    Huna hoja ndiyo maana unatoa matusi.Unatafuta huruma hapa mtandaoni.Kwa vile ni jeuri ngoja tukukomeshe biashara idode mwishowe tukuoe
  20. W

    Askari anayependa kuwa trafiki Fanya haya

    Usitafute huruma kwenye mtandao.Hata kama umetoa ajira lakini madereva wako na nagari yako yasiwe na makosa muda mwingine makosa husababisha makosa mengine kufanywa.Usitoe wala kushawishi rushwa fuata sheria na siyo unaleta ngonjera hapa hats useme vp hutopewa huruma
Back
Top Bottom