Search results

  1. X

    Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

    Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea
  2. X

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Huyo dada yake anaitwa nani na ana umri gani,Kaolewa au hajaolewa?km ana mume kwanini kamanda ampeleke kwenye kikao cha harusi hadi sa 8 usiku?wakati kikao kinaendelea huyo kamanda alikua anafanya nini?walio mpiga risasi walikua na gari zenye namba gani na aina gani?
  3. X

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    yawezekana ni wenyewe kwa wenyewe
  4. X

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    alimkosakosa kamanda uhamiaji sasa kamalizwa yeye
  5. X

    Hatimae madawa ya kulevya yaruhusiwa Tanzania

    ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo huku likipinga uchangiaji wa sindano.
  6. X

    Kitendawiliii

    Akizaa mara moja hufa?
  7. X

    Wakina dada na wamama mkwe wanatabia ya kuingilia ndoa za kaka zao

    Kuna tabia ya mawifi yani dada wa bwanaharusi na mama yao/ mama mkwe kupenda kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao/ mwanae mara wamsakame wifi kuwa mbaya, mchoyo nk. Ndo mana ndoa nyingi zinayumba. Najua wengi humu jf ni mawifi na mama wakwe hebu elezeni kwanini mnafanya hivi?
  8. X

    Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE...
  9. X

    Mimi na mapenzi tena basi

    pole sana tulia utajapata wako MUNGU aliyekuandalia
  10. X

    wife anapokulalamikia rafiki yako anamtaka....

    mkeo si huyu dada mweupe mnene kiasi na amesokota rasta? Km ndiye ni pm nikupe khabari kamili,
  11. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    hata wa bure simtaki!
  12. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    Najua mtanishambulia sn sbb mnaogopa ukweli! Poleni lkn habari ndio hiyo
  13. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    NI KWELI NIMECHELEWA KUOA JE UKO TAYARI NIKUOE? please please! Say yes
  14. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    masonic hawauwagi ajili ya pesa wanazo za kutosha
  15. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    ndio wamachame wanatafuta hela kwa bidii sana ila mkishazipa wafa
  16. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    KAMA NI KWELI ISISEMWE? ukweli ni ukweli hata kama unakugusa
  17. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    kumbe we mrangi? Ndo mana
  18. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    ni kwa vifo vya kawaida
Back
Top Bottom