Search results

  1. K

    Nahisi napenda nisipopendeka. Je, ni uamuzi sahihi nilioufanya?

    mmh kwa kweli love haifundishwi,.,, pima mwenyewe uone ucje baadae ukajutia ushauri uliofuata, true love never end., kama moyo unauma try to re check,.. alikwambia anakupenda? ukute ni rafik 2 alaf unadhan ni mpenzi,.. mana weng 2napenda kuassume kwenye NO kuwe YES.
  2. K

    Utata maumbile ya wanaume!

    kwa mtazamo wangu,.. kile unachoanza nacho ndo huwa perfect kwako. lakin ukianza kubadilisha pale ndipo utaanza kutafuta inayofaa zaid na kuona zngne hazifai na hii hali hutokea pale mdada anapoanza na kubwa alaf afta dat akutane na vdogo lawama huanzia hapoooooo.,,
  3. K

    Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

    mmh pole sana,.. jst jipange upya na uanze tena,.. men r another people i cn say they r ol da same jst b careful in choosing.
  4. K

    Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

    mmh kwakweli,.. men wanasema wadada wabaya na gals wanasema wakaka wabaya,.. i mean kwenye kuachwa na kuachana sasa nan mbaya???
  5. K

    Sitaki tena nimuone

    Ni lazima mwanamume ale kwa jasho lake ili ajue thamani ya chakula!!,,. @ Dark city NI KWELI KABISA,.. wanaopata kirahic ndo matatzo kama hayo.,,
  6. K

    What was my mistake?

    dats gud gal no sex til ndoa,.. ukiona hvyo ameshaona weng wanatoa na kuachwa,.. gud gal n kip t up weng wanashindwa kumaintain their virginity nwdays,..
  7. K

    Sitaki tena nimuone

    dat z hw u r most of nyie wanaume,.. mkipata 2 mwakimbia. not gud at ol,,, true luv z 4m the heart n not afta somethng n leave.
  8. K

    Jaman nifanyaje?

    @ sangara, ndo yule yule yan full maumivu,,. yy anadai 2tapiga story 2 zakawaida .
  9. K

    Jaman nifanyaje?

    emwambia c mara moja still bado haamin mpaka inaboa yan,.. naona napoteza mda na upendo wangu 2.,,
  10. K

    Jaman nifanyaje?

    thanxxx
  11. K

    Jaman nifanyaje?

    usimuage unaenda sehemu,, bas amesha conclude dat,.. hata ktk story za kawaida 2 lazma aingizie ma najua una wanaume,.. sasa what z dat?
  12. K

    hii inakuaje?

    ha ha ha ,,.. nikisema outn cmaanishi nataka vyote hvyo no,.. npo tayar kama ni dala dala 2napanda tena hata nauli ntalipa mm cpend kuwa dependent kwake kwan bado hatujaoana,.. wat i needed ni jst kurefresh me na yy 2,.. wala vi2 vingne havihucki hapo. nw nimepata point alikuwa anaogopa...
  13. K

    hii inakuaje?

    thanx guys,,. ila nikisema kwake cmaanishi ndo nyumban no,.. anaish temporarly 2 na friends afta a year anasepa kwao ni mkoa.,,
  14. K

    Jaman nifanyaje?

    nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
  15. K

    hii inakuaje?

    unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa anakasirika anadai unawanaume wengine,.. hii inakuaje? is he in love au interested in other thngs? au...
  16. K

    welcome note

    hallow,.. am in nw.
  17. K

    Ni nani anatakiwa kumpigia simu/sms mwenzake?

    kwakweli ina boa ila co kwa wadada 2,.. nina evidence kabisa mkaka analalamika why uko kimya? nilishangaa kwan hata yy anpaswa kuanza,.. bado watu hawana uelewa wa mapenz ni nn?
  18. K

    Mahusiano yepi mazuri?

    ni bora kila m2 ajue hata kama ni mbaya c wako,.? ya kuficha co kabisa.
Back
Top Bottom