Search results

  1. D

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    GREAT ADVICE: Mithali 3:5-6. "mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,wala usizitegemee akili zako mwenyewe;katika njia zako zote mkiri yeye naye atayanyosha mapito yako. usiziamini na kuzitegemea sana akili za binaabamu! usijaribu kutatua matatizo ya kiroho kwa akili za kibinaadamu na wala usifanye...
  2. D

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Great advice! the problem is this; most of them want to solve spiritual problems intellectually!
  3. D

    Sakata la Jairo, kamati teule ya bunge si halali!

    learn to learn! usipende hoja nyepesi.
  4. D

    Sakata la Jairo, kamati teule ya bunge si halali!

    ufisadi is a very crucial and serious matter to discuss,hata tuwe na mipango mizuri kiasi gani kama ina mianya ya ufisadi na mafisadi wapo tusitegemee kupata ma matokeo mazuri ya mipango yetu.
  5. D

    Sakata la Jairo, kamati teule ya bunge si halali!

    sijakurupuka! tofautisha hoja kuungwa mkono na kuafikiwa.hoja inaungwa mkono kwa wabunge wasiopungua 10 kusimama ila ili iafikiwe na kuridhiwa na bubge ni lazima wabunge wahojiwe.naibu spika hakuwahoji!!! pengine Mh Mkono alitaka kuweka mambo ya kikanuni sawa lakini jazba za wabunge na Mh Naibu...
  6. D

    Sakata la Jairo, kamati teule ya bunge si halali!

    bila kufuata sheria,kanuni na taratibu mtaendelea kuwaona mafisadi wakiwa wanapeta mitaani.tuache unafiki wa kujifanya tuna hasira na mafisadi wakati huo huo tunawaachia milango ya kutokea.ni lazima kuwa makini kwenye sheria na kanuni ili wasipate upenyo wa kutokea
  7. D

    Somo la uraia kufundishwa kwa kiingereza ni kupotoka au ni usanii?

    nimesoma malengo ya somo la civics(uraia) kwa shule za sekondari na nimegundua hakuna sababu hata moja ya msingi ya kwanini somo hilo lifundishwe kwa kiingereza.zaidi ya 98% ya mambo yanayofundishwa ni ya kitaifa.huwa najiuliza, kwani somo hili ni kwa maslahi nani?kama ni kwa maslahi yetu,lugha...
  8. D

    Sakata la Jairo, kamati teule ya bunge si halali!

    Kumbukumbu za bunge zinaonesha kuwa hoja ya Mh Sendeka kuhusu kuundwa kwa kamati teule ya bunge kuchunguza sakata la Jairo iliungwa mkono baada ya kutolewa lakini haikuafikiwa kwa mujibu wa kanuni za bunge! Licha ya Naibu Spika kurejea kuisoma kanuni kabla ya kuamua,hakuwahoji wabunge ili hoja...
Back
Top Bottom