Search results

  1. SISIS

    Ukisaidia kusomesha watoto wa watu usiwe na mategemeo la sivyo utakuja kujuta

    Nawabumbusha kuwa mtoto wako ambae anaweza kuja kukusaidia au kukumbuka fadhila kwa 70% ni mtoto wako uliemzaa yule uliemtoa kiunoni kwako au yule uliyembeba tumboni kwako huyo ndio wa kuhangaika nae kwa 100% Ukilea mtoto wa mtu au kusomesha hakikisha saidia ila sio kwa mategemeo bali toa...
  2. SISIS

    Kwa anaejua chimbo Kali la kitimoto kigamboni

    Kwa mtu anaefaham kitimoto Safi mahali inapopatikana kigamboni Msaada iwe nzuri sio ya kupunja Location
  3. SISIS

    Phone4Sale Nauza iPhone 14 Pro Max GB 256

    IPHONE 14 PRO MAX GB 256 [emoji736]BADO MPYAA IPO KWENYE CLEAN CONDITION BATTERY [emoji367] 100% FACE ID [emoji736] TRUE TONE [emoji736] [emoji3541]2,440,000 TU [emoji736]MUUZAJI NI MIMI MWENYEWE HAKUNA UDALALI [emoji736]SABABU ZA KUUZA MIMI NAPENDELEA SANA ANDROID PHONES...
  4. SISIS

    Kwa bajeti ya laki 5.5 hadi laki sita ninunue simu gani nzuri itanifaa?

    Kwa kazi zangu za mtandaoni mara kwa mara na sim yenye kasi na uwezo wa kuhifadhi vitu vingi na inayokaa na chaji sana nishaurini tafadhali ninunue sim gani kwa hiyo bajeti
  5. SISIS

    Nauza Nguo nzuri na viatu kutoka India,Uturuki na Hong kong

    KARIBUNI KWA NGUO NA VIATU VIZURI KUTOKA INDIA,UTURUKI,HONG KONG NA VIETNAM NAPATIKANA UPANGA DAR ES SALAAM 0678096545 Delivery ya viatu kwa Dar es salaam ni bure
  6. SISIS

    Nauza simu ya samsung galaxy A21s

    RAM 4GB STRG 64 GB HAINA TTZO ,KIOO TU KINa crake ndogo ila kinafanya kazi safii kabisa,betri ina nguvu sanaaaa BEI 160,000 Tu Nipo kigamboni MWasiliano 0678096545
  7. SISIS

    Phone4Sale Nauza Samsung Galaxy A21s

    Simu ni Samsung Galaxy A21s RAM 4GB STORAGE 64
  8. SISIS

    Kuwa kwenye mahusiano na wanawake wengi bila kujuana ni kipaji

    Kuwa na michepuko mingi na uweze kuimanage isijuane ni kipaji aisee. Vile vile nilichoexperience wanawake ukiwaendekeza wanafilisi, usipokuwa makini hutofanya maendeleo, mimi huwa napiga na kusepa siweki kambi, ila jifanye kuweka kambi kwa wanawake 4 uone mbungi lake.[emoji23][emoji23][emoji355]️
  9. SISIS

    Nataka iphone 14 pro max wanaojua waaminifu wanauza mpya tujulishane

    Kama mnavyojua Bongo utapeli mwingi, ni vvyema kupeana location hapa
  10. SISIS

    Dawa ya nguvu za kiume ipo Baharini na kwenye maziwa

    Nashangaa watu wanauziwa madawa ya unga mengine hawajui yamechanganywa na nn tena kwa bei gali wakati dawa ya nguvu za kiume ipo kwenye maji yaliyotuzunguka Sasa niwaambie uume ni kama jicho tu huwa linajisafisha lenyewe halihitaji nguvu nyingi, ukitaka uwe rijali hadi mwanamke aombe poo nenda...
  11. SISIS

    Huyu Harmonize ni msanii wa muziki kweli kweli

    Kijana naona anaimba mziki ORIGINAL kabiasa mashairi mazuri melody nzuri hakika mziki anaujua kila la heri kwake mskilize hapo kwenye hiyo ngoma yake mpya ya TENA
  12. SISIS

    INAUZWA Nauza LG Home theater Na Mr Uk Subwoofer og

    Mali bado mpyaa zina mabox yake na documents zake hakuna ujanja janja, sababu za kuuza ni matatizo yanayohitaji hela ya haraka Home theater Og ya LG WATS 1000 Ina spika 4 na mja ndogo mziki mnene kabisa Bei ya dukani 700,000 Nauza 580,000 tu Subwoofer ya Mr uk nilinunua 130,000 mpya dukani...
  13. SISIS

    INAUZWA Friji na kitanda cha chuma vinauzwa chap nipo Dar es salaam

    Nahama mkoa nauza chap hivyo kwa mwenye uhitaji KITANDA CHA CHUMA 5X6 NA CHAGA ZAKE BEI 140,000 TU FRIJI KALI LA MTUMBA MADE IN SOUTH KOREA BEI NI 180,000 MASHINE YAKE HAIJAWAHI KUGUSWA WALA KUONGEZWA GEZI NDANI YA DK 20 TU BARAFU UTALIONA NAPATIKANA TEMEKE DAR ES SALAAM MAWASILIANO 0678096545
  14. SISIS

    Car4Sale Nauza hii gari Nissan Wingroad 2006, DZE 12.5M

    Gari ya kuwahi nahitaji pesa ya haraka ukija kukagua ruksa kubeba mafundi wako wote kukagua NISSAN WINGROAD 2006 CC.1490 FULL AC AUTOMATIC BEI NI 12.5 TU GARI HAIJAWAHI KUGUSWA NA FUNDI BADO MPYA GARI IPO ILALA DAR ES SALAAM MAWASILIANO 0678096545
  15. SISIS

    Tshirt na mashati mazuri sana, hayachuji. Karibuni

    Kwa t-shirt nzuri za India, pure cotton na mashati mazuri yasiyochuja wasiliana nami kwa namba; Whatsapp/Call - 0678096545 Napatikana Upanga, Dar.
  16. SISIS

    Wataalam wa kuspons Instagram msaada wenu hapa nimekwama

    Wataalam kwa kusponse matangazo instagram hapo kwenye reques review jamani tusaidiane tunaandika nini ili kuchomoka kwenye guu mtego wa kufungiwa kutangazaa
  17. SISIS

    Viatu vizuri sana karibuni

    Nauza viatu vizuri sana nipo Dar pia mikoani natuma kwa uaminifu mawasiliano 0678096545
  18. SISIS

    Natafuta chumba Kigamboni bajeti 40,000

    kigamboni isiwe mbali sana na feri bajeti 40,000
  19. SISIS

    INAUZWA Viatu vizuri sana karibuni

    Kwa mnaotumia instagram bonyeza link kisha follw ukurasa wetu ili uweze pata updates za viatu vingi vizuri zaidi link hiyo hapo chini[emoji116] https://instagram.com/viatuvizuri_beinafuu?utm_medium=copy_link [emoji115]Item Vans .. 55,000 [emoji115] Item vans ... 55,000
  20. SISIS

    Google pixel camera ni fire aisee

Back
Top Bottom