Search results

  1. Wordsworth

    Katazo la Mkaa

    Ilirushwa habari kwenye TBC Aridhio tarehe 9 Novemba 2022 ya mkuu wa mkoa wa Songwe Ndugu Waziri Kindamba akipiga marufuku uchomaji wa mkaa katika mkoa wake. Haya. Unamwambia mwananchi asitumie mkaa, atatumia nini? Tuwe na uhalisia tuache kufanya maamuzi yasiyotekelezeka. Maandalizi ya nishati...
  2. Wordsworth

    Jiji la Dodoma ni chafu!

    Jiji la Dodoma ni lichafu. Barabara zimejaa udongo na matope utafikiri hazijawekwa lami. Tope kama tuko shambani jamani. Mvua imenyesha kidogo maji yamekwama kwenye barabara hamna proper drainage system. Pembezoni mwa barabara hapajasakafiwa vizuri au kuoteshwa majani ili kuzitunza barabara...
  3. Wordsworth

    Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo cha afya hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka...
  4. Wordsworth

    Utakaa barabarani mpaka ufikishe miaka 90?

    Nyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo)...
  5. Wordsworth

    Kuhusu Web Series ya 'We Men'

    'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram. Technically hii series wanajitahidi. Hapa ninaongelea rangi ya picha, mwanga, namna shots na scene...
  6. Wordsworth

    Barua ya wazi kwenda kwa Rais Magufuli kuhusu COVID 19

    Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania Dk (🤔) J. P. J Magufuli, Naanza kwa kusema kwamba humu JamiiForums ni mara chache sana utanikuta kwenye mada za siasa na ikitokea nikapita huku naishia kukutetea Rais wangu, dhidi ya mada za kukukosoa, huku nikiamini wewe ni mzalendo unatetea...
  7. Wordsworth

    Fahamu zaidi kuhusu Kardashev

    Kardashev Scale ni mfumo wa kupima uwezo wa jamii iliyostaarabika (civilization) kiteknolojia kutokana na kiwango cha nishati wanachoweza kutumia. Mfumo huu ulioanzishwa na mwanasayansi Mrusi Nikolai Kardashev (1932-2019) unaweka jamii hizi katika makundi matatu ya uwezo. Type 1 Civilization...
  8. Wordsworth

    List of My Favorite Authors Playwrights and Poets

    Habari za mchana wakuu Leo nimekuja na orodha ya waandishi ambao kazi zao zipo kwa lugha ya kiingereza ninaowakubali zaidi. Wapo wengi sana ila hawa wachache ndo nimewakumbuka. Waandishi wa novel za watu wazima Sidney Sheldon Danielle Steel James Hadley Chase Jeffrey Archer Margaret Pemberton...
  9. Wordsworth

    Scientists to Announce Ground Breaking Black Hole Photograph

    Via CBS News Website Scientists to announce "groundbreaking result" in black hole telescope project BY BRIAN PASCUS Astronomers say a major announcement is on the way based on findings from the international Event Horizon Telescope project, which experts believe could be the first-ever...
  10. Wordsworth

    Mpira wa Tanzania na Uingereza Unafanana

    Jamani jamani kati ya vitu tulivyorithi kutoka kwa wakoloni wetu hawa wa mwisho ni majigambo! Mpira wetu na wao unafanana kwa kuchezwa na mdomo. Tena bora hata wao wanajitahidi timu yao ya taifa hata inafuzu kwenye michuano ya bara lao na ya dunia. Sisi sasa, hata kufuzu ya Afrika tu imekuwa...
  11. Wordsworth

    Wanawake Warefu (Tall Women)

    Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri. Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa...
Back
Top Bottom